Yanga SC wakitaka kuepuka kipigo kizito kutoka kwa Mnyama Mkali Simba SC, hapo Mei 8, 2021, basi wafanye kama walivyofanya mashabiki wa Manchester United na kusababisha game yao na Liverpool...
Utawasikia wapenzi na mashabiki wa yanga wakikalili kile walichoaminishwa kuwa kila mchezaji aliyesajiliwa na Simba basi walikuwa wao ndio wakwanza kuwa na nia na huyo mchezaji as if Simba...
Mashabiki wenye hasira wa Man United wamejikusanya Old Trafford muda huu huku wengine wakiwa wamevamia pitch kushinikiza kuondoka kwa mmiliki wa club hiyo Glazer.
Kuna hati hati mechi kati ya Man...
Hiyo tarehe 8 hatimaye imebaki siku 5 tu tutembeze kichapo cha mbwa koko. Tutawachakaza mpaka mashabiki wenu wakimbie uwanjani.
Wakati mnategemea mazali na kudra za Mungu mjiandae kisaikolojia...
Lengo langu ni kuhamasisha michezo nchini Tanzania na baada ya muda mfupi tutafika East and Central Africa , wadhamini wa ndani na nje ya nchi wamepatikana na mazungumzo yamefika pazuri ...
Beki wake mahiri kabisa wa katikati kwa wakati huo,na akiwa beki pekee tegemezi wa Taifa Stars Ndugu George Masatu akiwa na Timu ya Taifa alimdhibiti vilivyo mchezaji hatari Kabisa Afrika na...
Tumewazoea kwa ramli zenu dhidi ya mnyama na uchambuzi uchwara ambao hatuusilkii sana sasa hivi ya kuwa simba ni wazee. Badala yake mmeanza kampeni ya kuililia Simba iwape mikataba minono hao hao...
Inter Milan imetwaa ubingwa wa Italy baada ya miaka 11 kupita na kumaliza utawala wa Juventus ambayo imetwaa ubingwa kwa Mara kumi(10) mfululizi.
Mara ya mwisho inter kutwaa ubingwa ni msimu...
Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina...
Kuna matukio mawili yameacha UTATA na kupelekea kuvurugika kwa mechi mbili tofauti.
1. Golikipa alishika mpira na baada ya kushika vizuri, fowadi alikuwa mitaa ile ndani ya 18. Kwa mshangao...
Habari wakuu, wapenda soka, hususan li kule kwa kina Berlin (Andrés de Fonollosa).
Moto unaendelea kuwaka huko Spain. Mminyano wa hali ya juu kati ya timu nne za juu, Atletico Madrid, Real...
Everton imejiunga na Chelsea, Leeds United, Tottenham, Barcelona na Inter Milan ambao wanataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero, ambaye atapatikana kwa uhamisho huru atakapoondoka...
Naona wanaohangaika sana na hili suala ni baadhi ya wachambuzi na Mzozo. Nadhani kama Simba wanamuhitaji wataongeza wau wangemwongeza.
Sioni issue inakuaje kwa Mohammed Hussein aonekane bila yeye...
Refer hili angalizo ambalo nililitoa kabla ya mechi.
https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-leo-inaishinda-tz-prisons-kirahisi-isiposhinda-nipigwe-ban.1683064/page-2#post-34214992
Tunafahamu...
Nimepenyezewa za ndani kabisa kutoka kwa Watu wa Yanga SC ( ambao wanajua Mimi ni mwenzao ) kuwa wamezungumza na Wachezaji wa Kagera Sugar tunaocheza nao FA Jumamosi ili 'Wawaumize' Wachezaji wetu...
Leo nimebahatika kusikiliza mahojiano kati ya gift macha na benjamini wa prison (captain) kuna tusi amelitaja natumaini sheria na taratibu zitafuatwa nawasilisha wana jamvi
La liga kwa kipindi kirefu takribani miaka 10 ililitawa soka la ulaya kwenye michuno mikubwa ya uefa na ile michuano ya losers wengi wanaiita futuhi Europa.
Lakini msimu huu kuna kila dalili uefa...
Kuna Watu mmenishangaza kweli kweli kwa Hoja yenu kwamba inawezekana vipi Yanga SC kutaka Kuhonga Tsh Milioni 40 wakati hata Kombe lenyewe halina Kiasi kikubwa cha Pesa?
Kitu pekee ambacho wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.