Ukiacha timu yetu pendwa ya taifa, Taifa Stars ni timu gani nyingine ya taifa huwa unashabikia? Taja timu yako unayoshabikia uone wenzako unaoshabikia nao.
Karibu utujuze
1.Hakuna beki tatu Tanzania mwenye kuufikia au hata kuukaribia uwezo wa Mohammed Hussein hilo naomba wanasimba wenzangu tulijue.
2. Ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa sana kiasi kwamba tukimpoteza...
Hizi kelele za Tshabalala ni za kutaka kuongeza value ya mchezaji sehemu husika au katika soko na sio jambo baya kutafuta njia ya kumnadi mchezaji thamani ipande.
Ila
Kuna njia nyingi za...
Mojawapo ya madai ya yule meneja muhuni Herry Mzozo ni kwamba Zimbwe jr hajawahi kualikwa ofisini kwa Mo dewji kupiga naye picha
Najua simba mlikuwa kwenye utaratibu wa kumuongezea mkataba ila kwa...
Nilijua tu mwisho wa yote watajinasibu kwamba wao ndiyo wamefanikisha sasa ikitokea Mo kapiga naye huyo kijana wao niseme boss wao anayewapa hela yaani Mohamed Hussein Zimbwe Junior captain...
Mungu akupe maisha marefu Mo Dewji, Bodi ya Simba, CEO Barbara, Mwamba Haji Manara.
Mungu awape maisha marefu na ufanisi technical bench.
Mungu awaongezee umaridadi wachezaji wooote first...
Ameshamalizana na Simba SC dakika 15 zilizopita na anaendelea kubakia Simba SC mpaka pale atakapozeeka kabisa.
Na sasa kuna Clause tumeweka ambapo Timu za ndani kama Azam FC ikimtaka itoe Tsh...
Nimesikia interview ya kaka mkubwa Heri Mzozo. Kwa alicho kisema Ni wazi kuwa Zimbwe ataenda Yanga.
Kikubwa wanacho kitazama wao kama walezi na management ya Tshabalala ni maslahi ya kijana wao...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Aprili 27, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Vinara wa Ligi, Mnyama Mkali Simba SC anapepetana na Dodoma...
Kwenye siku mbili tatu za sakata la Mohamed Hussein kuna vitu vingi binafsi nimejifunza ambavyo baadhi nimepata majibu na baadhi sijapata majibu.
Nilichojifunza kuna haja kubwa ya Wachezaji wetu...
Leo tuangazie nchi ya Uholanzi, kwa miaka nenda rudi imekuwa ikitoa wachezaji wazuri haswa duniani. Hebu leo tuambie mdachi unayemkubali zaidi katika soka!
Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi...
SIMBA NI TEAM KUBWA. MOHAMMED HUSSEIN ni mchezaji kama wachezaji wengine waliopita Simba wakaenda zao. Huyu hawezi Isumbua Simba hata kidogo.
Mwacheni Meneja wake asiye na Shule amchukue ampeleke...
Huyu jamaa kwa sasa sidhani hata kama kuna mtu anamchukulia serious kama mchambuzi, hata madogo kama Alli Kamwe, kina Ambangile na wale kina Tigana wa East Africa wanajua kuchambua kitaalamu na...
Mtendaji Mkuu (CEO), Barbara Gonzalez ameitangaza kampuni ya Vunja Bei kuwa mshindi wa tenda ya jezi za Simba.
Kwa mujibu wa Barbara mkataba wa tenda hiyo unagharimu shilingi bilioni mbili na ni...
Mchambuzi mahiri na ayetikisa kwa sasa kwa uchambuzi wa kina wa soka wa kipindi Cha sports Arena na sport court Cha Wasafi Media George Ambangile hapo Jana amepewa zawadi ya gari Aina ya CROWN na...
Wakuu Hivi Wacheza mpira wanawake wa Tanzania. Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa mchezaji mpira na kujiweka kiumeume?
Frame 1: Ivan Fuso plays for Brasil and ManUtd women teams.
Frame 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.