Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mjionee wenyewe, mambo ya uwanjani mtuachie Msimbazi.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watu wengi washafika uwanjani lakini wakatisha tiketi wanaonekana ndani na machine zao lakini Wala hawataki kutoa huduma. Je, huu sio uhujumu uchumi? Serikali mnataka mapato gani zaidi ya haya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Final Champions League itakua kati ya PSG vs R.Madrid Kombe atabeba PSG Europa League final itakua kati ya Man U vs Arsenal Kombe atabeba Arsenal Tuombe uzima Shusha utabiri wako.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari wakuu Naandika huu uzi kama ombi kuhusu nyuzi zinazopigwa pin huko juu hasa hizi za timu. Kwanini timu ndogo zinazocheza Europa zinapata airtime huko juu? Timu kama Arsenal, Yanga, Spurs...
1 Reactions
10 Replies
683 Views
Hii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Wenye nchi ni wasomi wana mipango wanaujua mwingi. Wananchi wengi hawana elimu,wanakwenda kwa mkumbo tu,wana ujuaji mwingi wa maneno.Leo tunataka mpira uchezwe. Wenye nchi wanafanya mazoezi...
2 Reactions
2 Replies
537 Views
Simba SC mna ujinga flani hivi mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga SC. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni. Uhalisia ni kuwa Yanga SC Jumamosi hatupotezi match. NARUDIA, YANGA SC...
10 Reactions
50 Replies
4K Views
Ni ushauri tu kwa mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Gondwe, maana vitu vingine ni bora tujifunze kuchukua tahadhari mapema isije kutokea majuto tena tukawapoteza. Ni wazi mambo yanakwenda kuwa...
0 Reactions
4 Replies
709 Views
Wana JF hebu nifahamisheni kile kipigo cha Yanga jana dhidi ya mtani wake Simba je wana Yanga watakuwa wamejifunza nini, maana nimetafakari toka jana lakini sijapata jibu sahihi mpaka naleta maada...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Waasalaaaam Jf Kichwa cha thread hii chajieleza. Natabiri kuwa kuna timu kesho wakati wa mechi ya watani itazua vurugu . Kuna mtani mmoja atacheza rafu sana, nyingine zitapelekea kusababisha...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna watu wamechachawa na mechi ijayo ya watani ya tarehe 8 May, presha juu hawalali. Simba na Yanga wamecheza dabi toka miaka ya 30s hadi leo, na wataendelea kukutana miaka mingi ijayo labda hadi...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu CROATIA Bana League yao ina timu 10. Na kila timu head to head ya home&away zinakutana Mara 4 Yaani twice at home and twice away. Jumla inachezwa Gemu 36 Mpaka apatikane mshindi. Bingwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Pamoja na kufanya vizuri kwenye champions league bado hofu ya Simba inabaki kwa Yanga kuliko timu yeyote ile, ukweli ndio huo na hili tunaliona haswa kupitia hata washabiki wake huku mitaani...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Ng'olo Kante, alitamani kombe la dunia lichezwe nchini Ufaransa kila mwaka, kwasababu mwaka 1998, alifanikiwa kuzoa taka nyingi kuliko miaka yake yooote ya kuzoa taka mitaani. Kante alizaliwa...
4 Reactions
8 Replies
4K Views
Bado jamani tusione kama tayari tushaingia fainali kikubwa ni kumuomba mungu pia tuingie fainali ya mashindano haya hii ya kusema Madrid nyumbani hatoki tusijipe asilimia zote kwani lolote...
0 Reactions
4 Replies
875 Views
Siku zinazidi kuchanja mbuga kuelekea pambano la kukata na shoka Kama sio Mundu Kati ya Watani wa Jadi Katika uwanja wa Benjamini Mkapa.Mchezo huo utachezwa majira ya saa 11:00 Jioni Kuelekea...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakuu NW anamaanisha Kuhusu kufanya mabadiliko ya katiba? Au kuhusu nini, maana sijamuelewa Mhe Waziri
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Michezo miwili ya nusu fainali ya Europa kurindima hii leo majira ya saa 4:00 usiku katika viwanja viwili tofauti ,ambapo Roma itakuwa nyumbani kuialika Manchester United huku Arsenal...
2 Reactions
3 Replies
935 Views
Usiku wa jana imeshuhudiwa Timu ya Manchester City kutoka Uingereza ikishinda goli 2-0 dhidi ya PSG na kutinga Fainali Usiku wa leo majira ya saa 4:00 Timu ya Chelsea itakuwa nyumbani kuikabili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Aliyekuwa Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Mexime ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa kituo cha kuibua, kuzalisha na kulea vipaji vya soka cha Cambiaso Sports Management. Akizungumza leo mapema kwenye...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom