Pamoja na maneno ya kashfa aliyoyasema Saido habari za kula Mayai Viza n.k sisi hatujali na tumemsamehe bado ana utoto. Ila aulize wenzie watamweleza. Na ashukuru kuwa amesafishwa nyota yake sasa...
Hivi kweli wana Yanga SC kulikuwa na Umuhimu wowote wa Kuachana na Kocha Mwambusi na kutuletea hawa Wala Tende wa Tunisia Nabi na Wenzake?
Hivi kweli GSM ni wa Kutusajilia Yanga SC yetu hii...
Karibuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL.
Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi
Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba
Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda...
Kwanza nijitambulishe, mimi ni Simba Sc fun, naipenda Simba Sc to the Climax/Fullest. Leo ni kilele cha wiki ya mwananchi, uwanja wa Mkapa, nimefungua uzi maana naona dalili mbaya, nawaonea huruma...
Wale mafundi wa kusakata kabumbu africa mashariki na kati, wanajangwani,kipenzi cha watanzania wapenda soka,Dar es salaam young african tanzania,leo wanatarajia kuwa na mechi kali kati yao na...
Hongereni watani zangu a.k.a Utopolo.
Sajili zenu zinatushangaza sana ukizingatia hali yenu ya kiuchumi hivi sasa.
Ila tutakutana uwanjani tuwagonge bao 10.
Mimi ni shabiki wa Yanga kama nijulikanavyo hapa jukwaani.
Ila nimeshangaa kinoma kuona Mwakalebela akiitisha vyombo vya habari na kuanza kulalamika kuhusu kuonewa na waamuzi viwanjani, cha ajabu...
Nikiwa kama mwana Yanga SC tena Mwanachama wake kabisa GENTAMYCINE mapema kabisa kabla hata 'Dirisha' la Usajili halijafungwa Usiku wa leo nakuwa wa Kwanza kabisa Kupinga 'Usajili' huu 'Mbovu'...
Wakuu habari zenu
hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!!
Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na...
MOTO uliouwasha Prince Dube sio wa kitoto kwani jamaa unalijua goli balaa. Mpaka sasa Dube ndiye unayeongoza kwa mabao kwenye Ligi Kuu ukifungana na mfungaji bora wa msimu uliopita Meddie Kagere...
Akiongea kwenye kipindi cha michezo Radio UFM. Afisa Habari wa Azam FC Thabit Zakaria 'ZakazaKazi' amekemea na kutoa Vitisho vikali kuhusu wenye mpango wa kuhitaji huduma ya mshambuaji hatari...
Rais wa shirikisho la soka Ulaya 'UEFA' Aleksander Ceferin amethibitisha vilabu vyote 12 vilivyotaka kushiriki mashindano mapya ya 'European Super League' vitaadhibiwa.
''Pamoja na mpango wao...
Yanga imekuwa katika wakati mgumu baada ya mtu asiyejulikana Hans Pope kumuweka kwenye mikono salama striker wa Yanga Saido.
Katika hali ya kushtua Saido amefuta picha zote akiwa na jezi za Yanga...
"Nimezunguka Nchi Nyingi Kisoka Ila Yanga Ndio Timu Iliyonishangaza Kimfumo, Sizani Kama Ni Sahihi Afisa Uhamasishaji Kupanga Kikosi Yani Amekuwa Na Nguvu Kuliko Kocha, Binafsi Sijavutiwa Kubaki...
Ditram bado anaonekana mwenye furaha baada ya kufunga goal siku kadhaa zilizopita. Huku na Saido naye kwa furaha kabisa baada ya kufunga goal aliomba atolewe nje ili aende kushngalia.
Kwa kweli...
Wadau wa michezo humu ndani, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ninaomba msaada wa kitabu cha sheria za mpira wa miguu, na pia kama kuna mwenye kitabu cha mazoezi ya viungo...