Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimeingia getto muda sio mrefu, nikaona ngoja niweke mawingu fm nisikilize michezo extra..Nakuta ndo kwanza kipindi kinaanza...Moja ya mechi walioiongelea ni game ya Namungo na Raja casablanca na...
3 Reactions
5 Replies
989 Views
Hongera sana Simba na Vunja bei kwa makubaliano ya kihistoria mlioingia hii leo, kiukweli Simba imepiga hatua ukilinganisha na ilipokuwepo. Twende kwenye facts sasa. Uwekezaji uliofanyika ni wa...
6 Reactions
69 Replies
7K Views
Injinia Hersi bhana yaani baada ya kuona Mashabiki wa Yanga SC sasa wanaanza 'Kukumaindi' kwa Ahadi yako kuwa Yanga SC isipokuwa Bingwa Msimu huu uulizwe Wewe leo umeamua uyageuze Mawazo yao na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kauli ya Injinia Hersi Ligi ikianza "Kwa jinsi Yanga SC kupitia Sisi GSM tulivyofanya Usajili huu mkubwa naomba kila mwana Yanga SC ajigambe na tusipokuwa Mabingwa Msimu huu wanihoji Mimi na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
MAONI YANGU KWA SIMBA NDANI YA KARIAKOO DERBY Simba kuwa makini sana na wachezaji hasa hasa wale wote machachari kuna uwezekano UTOPOLO wakawaumiza wote kwa pira gwaride, hivyo 8 may kwenye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesikitika sana leo, nimekwenda kwenye workshop moja ya Chuma | Welding kufuatilia kazi niliyopa cha kushangaza nikaambia wahusika wamekwenda kutizama mechi ya Simba Vs Kagera ,so ni subiri...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kungfu ya China--Ngumi Taiji NGUMI TAIJI ILIYORAHISISHWA YA MIKAO 24 二十四式简化太极拳 HOW TO DO TAIJIQUAN...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mungu aliumba dunia na maajabu yake, Mungu alimuumba Clatous Chama na kipaji chake, mpira umetupa tena sababu ya kutabasamu, baada ya Gaucho kuweka viatu kabatini, Diego Maradona kulala zake...
8 Reactions
5 Replies
2K Views
Njia ya muongo ni fupi sana. Wiki iliyopita club ya Yanga ilitoa taarifa striker wao ana majeraha aliyoyapata Zanzibar. Nimefuatilia taarifa za ndani sana, habari hizi hazina ukweli wowote...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga SC Juma Mwambusi, amesema kwamba kitendo alichokifanya mchezaji wake Saido Ntibazonkiza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania VPL, dhidi ya Gwambina FC ni kutokana na furaha...
2 Reactions
80 Replies
11K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Aprili 21, 2021 ambapo Kagera Sugar wanacheza na Mnyama Mkali Kuliko Wote Mwituni, Mabingwa wa Nchi, Simba SC...
10 Reactions
136 Replies
49K Views
Tetesi, baadhi ya wachezaji 5 muhimu wa Yanga, Mukoko Tonombe, Tuisila Kisinda, Sappong, Yacouba na yule mrundi aliyezingua jana, wapo mbioni kuikacha Yanga kutokana na madai wanayoidai klabu hiyo.
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku? Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa...
7 Reactions
52 Replies
6K Views
SUPER LEAGUE MFALME WA SOKA ANAEKUJA KWA KASI [emoji573] ELcapitano Maestro [emoji2788] Je umepata kusikia uwepo wa mashindano ya Super League ambayo yatahusisha timu bora barani ULAYA, ambapo...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Kama unajua kusoma alama za nyakati, anza kuomba uongozi waikabidhi timu kwa Mwarabu. Kuna kila dalili za wewe kuondoka kwa aibu hasa baada ya mechi zinazofuata. Tunawajua wapenzi wa utopolo na...
1 Reactions
1 Replies
824 Views
Maswali yalikuwa mengi sana kwanini Feisal anachezeshwa kwenye double pivot, kwanini Feisal aisipelekwe namba [emoji647]? Naamini Mwananchi ulijiuliza sana Kwanini Feisal anachezeshwa eneo la...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mchezaji wa Klabu ya Soka ya Hafla FC ya nchini Guinea Latige Camara amefariki dunia leo asubuhi baada ya kudondoka uwanjani akiwa mazoezini. Taarifa za awali kutokea nchini humo zinataja chanzo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
UEFA wamezitahadharisha vilabu vya ulaya vianvyojihusisha na kwenda Super Legue kwamba wanaweza kupigwa marufuku kwenye ligi zao za ndani na mashindano ya kimataifa kama wakiunda mshindani wa...
6 Reactions
129 Replies
15K Views
Ed Woodward amejiuzulu wadhifa wake kama Mwenyekiti wa Klabu ya Manchester United. Kujiuzulu kwake kunakuja baada ya wadau waandamizi wa klabu hiyo kuitikia wito kuwa klabu hiyo imewadharau...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nipo katika Mpira wa 'Bongo' na bahati nzuri hata Michezo yote ya 'Kimjini Mjini' naijua na hata Kushiriki nimeshiriki pia hivyo nasubiri leo Biashara United FC afungwe Magoli 4 au 7 aliyofanya...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…