Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakati dirisha dogo la usajili likikaribia kufunguliwa Desemba 15, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba kuwa, wakae tayari kumuona mchezaji...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwanza kabisa niseme wazi timu yetu ya taifa ni nzuri na inaupiga mwingi sana sio kibonde tena huko tushatoka. Ukiangalia mechi za Taifa Stars na Congo DR huwa hazina mnyonge. Lolote humkuta...
3 Reactions
6 Replies
839 Views
Tuweke hapa idadi ya wachezaji ambao wameifungia team ya Taifa mabao mengi waliopo timuni mpaka sasa. 1. Simon Msuva 2. Mbwana Samatta 3. Feisal Toto Na makipa ambao wameibeba sana team ya...
2 Reactions
4 Replies
728 Views
Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ? Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea |...
4 Reactions
17 Replies
822 Views
Sijui kwanini ukielekezewa tu Mic na Waandishi wa Habari jambo la kusema Sekunde 45 utalisemea dakika 17 Unaboa.
2 Reactions
5 Replies
481 Views
Watanzania mkae muelewe Sisi kama wa Guinea lazima tushinde Leo, mtaongea yote lakini Sisi kama wananchi wa guinea tunaoishi Tanzania kikazi tunawapasua Leo. Kumbukeni hii sio Guinea-Bissau au...
8 Reactions
29 Replies
871 Views
Just imagine squad yote kuanzia kipa, beki winga viungo mpaka washambuliaji wote ni wa hapa hapa ligi kuu ya NBCPL, Mnataka wacheze soka safi la kufunguka bila mipango ili iweje? Hivi mnajua...
13 Reactions
26 Replies
1K Views
Niliwacha kuishangilia stars tangu siku ya mechi ya stars dhidi ya bukina faso walipoitungua 2-1 nafikiri 2007 kama sikosei niliipuza baada ya kuingia siasa za maricio maximo na baadhi ya...
2 Reactions
56 Replies
906 Views
Taifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani...
9 Reactions
481 Replies
17K Views
Wakuu mmesikia huko? Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
1 Reactions
102 Replies
3K Views
Tulipoandika tulitukanwa sanaaaa wengine wakaenda mbali mpaka kuwatukana wazazi wetu kisa habari za Moalin Wengine wakatukataza kuandika habari za Yanga et tunaipa kashfa...🤣 Kiko waaaapi...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Hili kuna haja ya Wapenda soka wa Tanzania walielewe. Bali haifahamiki pia kwanini Nchi hizo hazibandiki Mabango ya Rais wao Uwanjani, Japo Sheria za FIFA hazikatazi. Je hawa ambao hawabandiki...
12 Reactions
31 Replies
978 Views
Tukiwa tunaelekea kwenye mchezo wa mwisho na Guinea 🇬🇳 na ndio utakao toa maamuzi tutakwenda Morocco AFCON au laa nimesikitishwa na jambo moja. Tamaa zenu za kisiasa hakika leo zinaweza...
5 Reactions
19 Replies
476 Views
Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) leo majira ya saa 12:00 jioni katika Uwanja wa Taifa uliopo jijini Dar inacheza na timu ya Taifa ya Uganda(The Cranes) katika mchezo wa kufuzu kucheza...
19 Reactions
1K Replies
110K Views
Picha: Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wamenunua jumla ya tiketi 4,000 za mechi ya kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania na...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Hivi wasiwasi unatoka wapi, Huyo Guinea Alikaa mchezo wa kwanza akiwa kwao.. Mpira ndugu zangu umebadirika pakubwa.. Mlitegemea Comoro angeweza kufuzu kwa kuongoza kundi mbele ya Giant Tunisia...
2 Reactions
44 Replies
917 Views
NCHI tano zinatarajia kushiriki Uhuru Open Squash Tournament yanayotarajia kuanza Desemba 6-9, 2024 Jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama cha Squash Tanzania (TSA), Marwa...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
WAGOMBEA 20 wa nafasi za uongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), uchaguzi unaotarajia kufanyika Desemba 14, 2024 Jijini Dodoma. Kwa mujibu wa Kamati ya Uchaguzi wa TOC, Ibrahim Mkwawa...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Yaani mambo ya nyuma mwiko ndo kama lile tukio la Madaktari wa Muhimbili, Mgonjwa wa kichwa wakampasua mguu na wa mguu wakampasua kichwa. Timu imejaa wastaafu telee , badala waimarishe kikosi...
11 Reactions
58 Replies
1K Views
Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwahiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale. Mchezo uliisha 3 - 3! Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe...
37 Reactions
216 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…