Leo timu ya taifa ya soka ya Tanzania imechapwa Jijini Kampala na Uganda The Cranes , Tena kipigo chenyewe ni kizito 3-0 , kiasi cha Timu yetu kurudi kule kule kwenye KICHWA CHA MWENDAWAZIMU...
Leo Taifa Stars itapokea kichapo cha goli 2 kwa nunge.
Hatujawahi kuwa serious kwenye hatua za mechi za mwisho huwa tunafunga timu ambazo hazina wachezaji mhimu na wala hamna hicho kiwango...
Caf hawajafanya fair kabisa kwa kumuacha kinda wa yanga kwenye orodha ya mchezaji chupikizi au kinda Clement Mzize mchango wake ni mkubwa alistahili kuwepo kinda hilo cha kushangaza hata jina lake...
Kuna wengi wasiojua kiini kikuu kilichofanya gamond aondolewe na kufungashiwa virago, wengi wao wanadhani sababu kuu ni kufungwa na Azam na Tabora united, icho kitu akikuwa kipaumbele kwenye...
Wakati uwanja wa Mkapa unazinduliwa, watanzania walijaa uwanjani na kuishangilia timu yao kwa bidii Sana.
Ghafla CCM mkaanza kuyafanya mafanikio ya Taifa stars kuwa ni mafanikio ya chama chenu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza ofa ya kipekee kwa watanzania kuiona mechi ya timu ya taifa, Taifa Stars, bila malipo. Ofa hii inalenga kuongeza...
Nimeona taarifa juu ya uyu mchezaji Elias Mpanzu ambae Simba ilijaribu kutumia nguvu kumpata ila wakashindwa kwasababu ya ofa kubwa toka ulaya ,kwa bahati mchezaji uyo ameshindwa vigezo vya...
Naona dalili za Simba kutumia mechi ijayo dhidi ya Pamba kumuaga rasmi golikipa wake Ayoub Lakred.
Ni basi tu ila ungekuwa uamuzi wangu ningebaki na Lakred hadi mwishoni mwa msimu ndiyo nifanye...
Nkane kutoka winga kawa beki
Aziz andambwile kutoka kuwa kiungo kawa beki
Max nzengeli kawa kama kiungo mkabaji
Duke abuya kutoka eneo la kiungo kawa beki
Msize haeleweki anacheza namba gani...
Kumekuwa na maelezo mengi kuhusu nafasi ya Mpanzu kuanza kukipiga mechi zinazofuata. Wengine wanasema anachosubiri ni mechi za Ligi ya NBC tu lakini mechi za Shirikisho kila tayari.
Wengine...
Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya. Just imagine, derby ilikufa kabisa. Kila Simba na Yanga zilipokutana, unajua kabisa kolo anaenda kuchezea. Kwa ufupi, aliwafanya ubaya ubwela kuwa kapu la kuvunia...
...Maisha ya Makocha wa Football kwenye Timu huwa hayategemei mafanikio uliyowapa huko nyuma bali mwenendo wa timu kwa wakati huo.
Maisha ya Makocha wa Klabu za Simba na Yanga huwa hayategemei...
Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi...
Boban wa pili kushoto.
Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba, Haruna Moshi Boban jana alikuwa kivutio kwa mashabiki, wasindikizaji na hata baadhi ya wasafiri waliomuona wakati wakiondoka...
Wengi mlioangalia Boxing match kati ya Youtuber Paul Logan na bondia nguli Mike Tyson, mnaweza kudhani Mike Tyson ameshindwa, ila kiuhalisia Mike Tyson alipangwa kuuza match hili amfanye Paul...
Ukiondoa mpira mguu, mchezo wa draft ndio mchezo ambazo unachezwa katika wilaya zote nchini, hakuna wilaya hapa nchini utaenda utakosa wachezaji wa mchezo huu, nenda wilaya yoyote draft lipo na...
Match Day.
KIKOSI CHA TANZANIA KINACHOANZA LEO
Mpira ndio unaanza sasa.
Updates
Game on
05'
Tanzania wanafanya mashambulizi hafifu kidogo kwenye lango la Ethiopia.
Tanzania wanatawala game...