Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni kocha wa zamani wa team ya taifa ya Uganda na pyramids ya misri anataka dollar 22,000 kwa mwezi Simba walitaka wampe 13,000, bado wanajadiliana.
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Nimeangalia jinsi marefa wanavyochezesha Mpira huko Cameroon nikafurahi Sana kuona wapo vizuri na wanajali standards za sheria zote, ndipo nilipopata hamu ya kujua je ni akina nani na wanatoka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1.kikosi bora Cha Afcon 2019 alikuwepo 2.Abdul Razaq alimpita magoli Salah kwenye mechi za kuqualify AFCON
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kuna kelele nyingi sana kuwa timu fulani ina wazee sana na hivyo wanaamini ingeweza kufanya vizuri zaidi iwapo wangekuwa vijana. Sasa niwauluze,hawa wanaoshindwa kuwafunga hawa wazee,ni vijana...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Kaimu Kocha wa Simba SC Selemani Matola mara baada ya Michuano ya Mapinduzi Cup alipohojiwa na Press alisema kuwa amewapa Wachezaji likizo mpaka Ijumaa ya Wiki hii (22 January 2021) kisha...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Hii duo ilikua on fire sana wanapotangaza mpira, yaani walikuwa wanaiva saana. Baada ya Enock kutangaza nia ya kugombea Ubunge huko Mbozi, mara akapata ajali ila akatoka mzima akaendelea na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Taarifa hii nimeipata kwenye moja ya magazeti hapa nchini
3 Reactions
67 Replies
7K Views
English Premier League has a long history. Some of clubs of the League is even older than League itself. Each club has their own culture, where their nickname come from. Let's talk about some...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
! ! Samahani sana humu jukwaa la michezo hasa kama kuna post inayofanana na hii, ni vile natumia mchina na siwezi kusearch ila imebidi niulize tu. Hivii huu mchezo wa cricket unachezwajechezwaje...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Kocha hamtaki Meddie Kagere na aliomba Mshambuliaji mahiri kutoka Afrika Kusini au Zambia asajiliwe kakataliwa. 2. Kocha kaamua kwa aina ya nidhamu mbaya ya kiungo Jonas Mkude hamtaki tena...
33 Reactions
95 Replies
10K Views
Aliandika kua yeye anazifahamu Simba na Yanga kwa zaidi ya miongo kadhaa, akajisahau kwamba mambo yanabadilika.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sina mengi ya kusema lakini enough is enough Tutu vengere a.k.a Rage aliweza enzi hizo kuna kanjanja moja tu lililokuwa linaivuruga simba na habari z auongo likiwa redio one kwa sasa limeajiriwa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
KHERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI . Haikua bahati tu , bali ni neema ya siku ya jumapili ya tarehe 5 ya September 1993 kwenye uzao wako mtukufu , haikua baraka ya jiji la Bujumbura tu , bali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ilikuwa dakika ya 8 tu ila mechi imeisha statistics zenu zinasema simba haina shot on target au zinahesabiwaje hizo shots? Anyway hongerenei deportivo la utopolo maana tangu 2007 hilo kombe...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5. Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana. Ifike mahali ukweli usemwe
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Usiku huu nilianza kuona tetesi za usajili wa Chikwende! Kama ni kweli, hiki ni Kielelezo kingine cha kukosa weledi katika menejimenti ya Soka! Inawezekana Rais alikuwa sahihi aliposema Tatizo...
9 Reactions
67 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu Simba ina wachezaji 11 wa Kigeni baada ya ingizo la Chikwende, Je watalazimika kupunguza mmoja? Au wameshapunguza? Wawa Onyango Chama Bwalya Luis Kahata Kagere...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Yanga imeibuka na ushindi huo baada kuifunga Simba SC kwa mikwaju ya Penati. Yanga SC walifanikiwa kufunga mikwaju 4 kwa 3 ya Simba Sc Mchezo huo ulifikia hatua ya matuta Baada ya Dakika 90...
6 Reactions
116 Replies
12K Views
Hatimaye Clouds FM moja kati ya redio kubwa Tanzania imeanzisha kipindi cha michezo asubuhi kiitwacho Hili Game. Ikumbukwe Efm ndio mwasisi wa kipindi cha michezo asubuhi kitwacho Sports HQ...
24 Reactions
97 Replies
14K Views
Baada ya kumsajili attacking midfielder Chikwende kutoka zimbabwe simba wamemsajili mshambuliaji wa zamani wa team ya taifa ya nigeria super eagles na team ya esperance de tunis aitwaye Junior lokosa
7 Reactions
59 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…