Kwanza awali ya yote niipongeze klabu cha Yanga kwa kutwaa ubingwa Jana.
Moja kwa moja kwenye mada. Niseme tu wazi kwamba huyu Morison inatakiwa apewe ushauri abadilike. Haiwezekani anapewa pesa...
Miaka ya nyuma tunanua Yusuph Manji alikuwa anawanunua sana waandishi wa habari waandike kuhusiana na yeye na Yanga. Na moja ya magazeti ambayo yalitumika sana ni MWANASPOTI.
Gazeti hili...
Eti anaacha soka kwasababu ya adhabu aliyopewa kuwa ni kubwa sana.Aende zake akafanye biashara, soka limemshinda kwani Tanzania hii ya watu milioni 40 ndie mchezaji pekee? Hata timu nzima ya Yanga...
Mzee mmoja kutoka Bukoba ambaye kwa sasa yupo hapa Dar es salaam anadai kwamba Mshambuliaji wa Simba SC Tanzania Meddie Kagere ni mwanae na anaomba uongozi wa @simbasctanzania umkutanishe na...
SIMBA SC YAACHANA NA KOCHA SVEN
DAR ES SALAAM: JANUARI 07, 2021
#HABARI: KLABU ya SIMBA SC imetangaza kuachana na kocha wake Mkuu Sven Vanderbroeck kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Taarifa...
Baada ya kina Francis Mhando wa Efm kumfanyia dhihaka Barbra na kumuita pisi kali chombo ya fundi wakihusisha maneno ya mtandaoni kuhusu mkude kusimamishwa kwamba alimtongoza nilianzisha uzi hapa...
Aisee Simba ina bahati mbaya sana na makanjanja kwa kweli, juzi kaulizwa matola kajibu jana kasema hana match fitness, inawezekana wanatudanganya lakini ukiniambia hawezi kukimbia tena...
Yeeessss mambo ni fayaaaa ranking mpya ya CAF mwezi january imetoka simba iko nafasi ya 17 ikiwa na points 14, utopolo wako namba 69 wakiwa na point 1, Gor Mahia ni ya 29, kwa Afrika mashariki...
Nasisitiza Maamuzi haya ya CAF siyo kwa Ushindi wa Namungo FC bali ni kwa Ushindi mnono wa Simba SC na Kufuzu Kwake Makundi CL iliyopo.
Taarifa: Mtandao rasmi wa CAF
Ni matumaini yangu sasa Timu...
Huu ni ujumbe mahususi kwa Mashabiki wa soka nchini Tanzania , tunafahamu furaha ya Yanga (Kipofu kaona mwezi) , lakini sisi Simba tunalenga michuano ya CAF champions League tu.
Sitaki maswali .
Sasa ndio naamin team yangu pendwa simba bila mchezaji aina ya chama hatuna mbinu za kufunga
Hasa tunapocheza na team kubwa nashindwa kuamin mfungaji Bora wa Mapinduzi Cup hajapiga hata mpira...
Nikiwa kama mpenzi wa soka, nilifanikiwa kuangalia baadhi ya mechi za kombe la mapinduzi hasa zinazohusu timu kubwa za Simba na Yanga.
Niliangalia game ya Simba na mtibwa, binafsi sikuona ubora...
Simba na Yanga ni watani wa muda mrefu, utani unaendana na majigambo na tambo za hapa na pale, sasa kwa miaka hii ya karibuni Simba imeiacha mbali sana Yanga zaidi ya kuwa bingwa wa Kihistoria...
Wakuu leo ni siku nzuri sana, kwa mashabiki na watani wa jadi wa mpira wa miguu. Mimi ni mshabiki na mpenzi wa mnyama Simba SC.
Utabiri wangu leo ni Simba kuondoka na kikombe kutokana na timu...
Yanga tuna bao 2 Simba 0. Ushihidi ni huu uzi. Yanga tumeadhamilia kushinda hii match. Wakati Simba tayari wanaonekana kushindwa hii match mapema sana. Hivyo nawashauri wana Yanga tuanze...
Namungo FC watakutana uso kwa uso na Primeiro de Agosto ya Angola katika hatua ya mtoano ya mashindano ya Kombe la shirikisho barani Afrika.
Timu hiyo ya Ligi Kuu ya Tanzania ambayo inacheza...
Nimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball..aisee najuta sijui kwanini nilichelewa kuijua basketball yaani uku pesa nje nje hakuna vyuma kukaza.
Jana nitumia sh300 tu nimeshinda laki5...
Habari wakubwa,
Moja moja twende kwenye fact awali kulikua na sinto fahamu juu ya kuondoka kwa Seven msemo wa "time will tell" umekuja na majibu kamili
Awali imeripotiwa aliondoka kwasababu...
Napenyezewa habari hapa kutoka Simba SC jikoni kuhusu maombi ya ajira ya ukocha Simba SC. Nimeambiwa mpaka jana kuna makocha 108 ndani na nje ya bara la Afrika wametupa maombi.
Kati ya makocha...