Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wadau kesho Simba inacheza na Platinum kufuzu hatua ya makundi mimi binafsi kama mpenzi wa Simba FC cjaona mbadala wa Mkude ambaye huenda asicheze kutokana na madai yake ya utovu wa nidhamu...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Hii dunia imeshuhudia mabondia wengi mahiri na wenye uwezo mzuri wanapokuwa kwenye ring. Tumeshuhudia mabondia kama Tyson, Holyfield, Lennox Lewis, na kona Forman kwenye uzito wa juu. Kina Ray...
8 Reactions
43 Replies
6K Views
Jamani sven kasema lini kwenye interview haya maneno? Nimeamini utopolo wako vizuri kwenye propaganda ila uongozi wa sasa kama mazezeta hivi ..Chukueni hatua kwa huyu blogger haraka sana First...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Kipindi cha Malinzi ilikuwa aibu kubwa sana kwa nchi kwa jinsi waamuzi walivyokuwa wakichezesha. Msimu uliopita na msimu huu, tumeshuhudia makosa yakifanywa na waamuzi ama ya kibinadamu ama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ama kwa hakika Maisha yanaenda kasi sana. Wachezaji waliokuwa magarasa kiasi cha kuwachukiza Wanasimba na kufikia hatua ya kutaka kutolewa kwa Mkopo Nyota zao zimeanza kung'aa masaa 72 tu baada ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu swali limejieleza vizuri sana , sasa naomba kufahamishwa mwenye mamlaka ya kuleta kocha na kutimua , na huwa wanatumia vigezo gani ? Taarifa nyingi za kutimuliwa kwa makocha wa vilabu hivi...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Kufuatia performance kali ya Saido Ntibazonkiza weekend pale Arusha, wana Yanga wameanza kusema huyo ndio mchezaji bora na hakuna wa kufanana nae kwenye VPL! Ikumbukwe amecheza mechi moja tu...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Kwa hatua iliyofika Simba Sports Club kuingia hatua ya makundi CAF Champions League inatupa changamoto wapinzani na sisi tukae chini. Tutafakari;Je, siku tukipata nafasi yakuwakilisha nchi je...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Aliyekuwa kocha wa timu ya Simba ya Tanzania Sven Vandenbroeck amejiunga na timu ya Far Rabat ya nchini Morocco
11 Reactions
60 Replies
6K Views
Kwa mjibu wa caf timu zitakazoingia makundi yaani 16 bora watapata pesa za kitanzania bilioni moja na milioni mia mbili
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Ni vyema kusherekea pamoja na Simba na pia kuipongeza Simba kwa kile alichokifanya ili kuwatoa timu ya Platinum fc. Hii itasaidia sana kwa Yanga kutokuwa na presha kubwa sana kushindana na Simba...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Huyu mtu mpira halazimishi, kwa umri wake ni ajabu na kweli! Fundi wa mpira, bingwa wa penati, kiraka! Mpe majina yote! Akiwepo timu inatulia! Huyu fundi tumpe heshima yake. Hebu piga...
27 Reactions
34 Replies
5K Views
Hii simba inayokwenda kushiriki champions league ndii ina mabeki wachovu namna hii kumbuka game nyingi za huko utakazo kutanazo zinafanania na hizi ambazo yanga amekutia presha. Viungo wa simba...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Binafsi nashauri timu apewe Mwinyi Zahera aisaidie kuifikisha mwisho wa msimu wakati Simba wakitafuta mbadala wa Sven ambaye atakua ni wa muda mrefu. Mwinyi si kocha mbaya japo anaongea mno kitu...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Mchezaji huyo amewapoteza wapendwa wake hao usiku wa kuamkia leo Ni huzuni kubwa Ni majonzi Taarifa zaidi kutolewa na Uongozi wa Yanga Chanzo: Msemaji wa Klabu - Nugaz --
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Upangaji wa makundi unaendelea muda wakati tayari kombe la shirikisho wawakilishi wa Tanzania timu ya Namungo imedondokea kwa timu ya CD1 de Agosto ya Angola
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mtanzania Mrisho Halfani Ngassa ndiye mchezaji aliyefunga hat trick nyingi kwenye mashindano ya CAF Champions league tembelea African Cup of Champions Clubs and CAF Champions League records and...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nasikiliza kipindi cha michezo muda huu Clouds FM,namsikia mtangazaji anasema timu ya AC VITA imefuzu.....hili ni kosa na limekuwa likirudiwa mara nyingi na watangazaji na wachambuzi wengi wa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, Ni muda mrefu sasa nina mashaka na uwezo wa benchi la ufundi la Simba. Hata ushindi tunaopata ni juhudi binafsi zaidi kuliko maelekezo ya kiufundi. Mechi ya leo ni mfano bora kabisa...
18 Reactions
135 Replies
13K Views
Huyu kocha naona huu ndo muda muafaka kwa uongozi wetu kumtimua maana kila siku anazoendelea kubakia timu nayo inaendelea kuwa mbovu. #kishingoout#kishingorudikwenu
2 Reactions
94 Replies
9K Views
Back
Top Bottom