Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu natanguliza Uzalendo na naomba kujibiwa kama kuna anayefahamu . Kwamba kama kuna raia wengi wa nchi zingine wanafundisha soka nchini mwetu , basi bila shaka kuna watanzania pia...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Neno "HAT TRICK" nani anaweza kujaribu kuelezea limetokana na nini? Zawadi ipo kwa atakae jibu kwa usahihi.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama ningekuwa refa yeyote atayembutua huyu dogo kiwango hiki ni red card. Nadhani ukilima kadi wawili hawatarudia. Kinachomsaidia ni kuwa flexible na anapiga judo, tofauti na hapo angeshafunjika...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hapa katikakati umemlazimsha mkwambi aliyechaguliwa na wanachama ajiuzulu ili mipango yako ovu ya kujimilikisha Simba ikamilike Kumbuka mkwambi amechaguliwa na wanachama wewe unamfukuza kazi...
3 Reactions
53 Replies
6K Views
mara paap Simba tumechukua ubingwa wa VPL,Azam FC kawa mshindi wa pili, Ruvu shooting kashika nafasi ya tatu na Azam confederation Cup(FA) kabeba Namungo hatuombei ila najaribu kuwaza watani...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Tangu jana nimekuwa nikisikia maoni ya watangazaji wanaoonesha wazi kuumizwa na matokeo ya Simba hasa kwa kuwa yamewa prove wrong. Wamekuwa wakitumia vyombo vya habari kuikejeli kwa maneno mengi...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Aliwahi kuichezea Simba miaka ya nyuma. Huenda kabla ya Kaseja
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale waliobahatika kutembea, ni kiasi gani kuanzia kiasi Gani cha chini nachotakiwa kuingia nacho casino, Laki moja, laki tano, au Zaidi
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Uchaguzi Mkuu wa RT unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza, huku nafasi ambazo zitahitajika ni nafasi ya Rais na Makamu wake pamoja na Wajumbe 6, ikiwemo moja ya Viti Maalum...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Premier League, ligi kuu soka ya Uingereza ikifahamika vyema hapo awali kama BPL kabla ya mabadiliko mnamo mwaka 2015 toka BPL iliyokuwa ikiuza kupitia chapa ya Barclays Premier League chini ya...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Bakari Mwamnyeto Kasajiliwa kwa Bei ya juu na Yanga SC na Gari bovu ( japo aliambiwa ni jipya) ila anaishia tu Kucheza VPL, Mechi za Kirafiki za Chamazi na ile Michuano ya Kombe la Mapinduzi...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Mchezo wa michuano ya Klabu bingwa barani Afrika umepigwa hii leo katika Dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam ambapo Wekundu wa Msimbazi Simba alikua nyumbani akiikaribisha FC Platinum ya...
11 Reactions
60 Replies
8K Views
hii ni hatua kubwa sana kwa simba mwaka juzi tulikuwa pot 4 leo tuko na kina as vita pot 3,way to go champions #CAFCL Group Stage Draw POT1 Al Ahly SC TP Mazembe ES Tunis Wydad Casablanca...
6 Reactions
62 Replies
9K Views
Nampongeza Kocha wa Simba kwa kazi nzuri anayofanya hakika anastahili, Mitano tena. Kwa falsafa yake yeye anachojali ni kuvuka stage moja na kuendelea na mashindano , hii itatufikisha mbali...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Simba SC have been placed in Pot 3 for Friday's Caf Champions League group stage draw to be conducted in Cairo. As a result, the Msimbazi-based charges have now been placed in Pot 3 alongside...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tukutane hapa wadau wote wa mccfc
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hellow Football Fans..!! Kwenye soka kuna kuna aina mbalimbali ya vionjo vinavyochochea burudani zaidi.. Kuna style nyingi za kushangilia magoli pale mfungaji anapofunga na kushangilia goli lake...
5 Reactions
141 Replies
14K Views
Nimekuwa shuhuda siku ya leo majira ya alasiri wakati timu ya Platinum kutoka Zimbabwe ikipokelewa uwanja wa ndege JNIA.Ukweli zile mbwembwe na amsha amsha kutoka kwa wenzetu 'Wananchi' kwenye...
14 Reactions
37 Replies
4K Views
Fainali ya kombe la EFL Cup maarufu kama Carabao itapigwa siku ya tarehe 25 Aprili 2021 katika Dimba la Wembley ambapo inamkutanisha Bingwa mtetezi wa kombe hilo, Manchester City dhidi ya...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Back
Top Bottom