Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huyu mwamba sijui ana shida gani kwa kweli, siku ile wanaenda Zimbabwe wenzake wamevaa jezi juu na tracks chini wengine vibukta vyeusi sare yeye kapigwa yale mashati ya maua ya Hawaii na kipensi...
10 Reactions
106 Replies
14K Views
Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo. Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema...
33 Reactions
205 Replies
16K Views
Ni Taddeo Lwanga raia wa Uganda Timu alizowahi kucheza ni Express&Vipers (Uganda) na Tanta ya Misri === TADDEO LWANGA NI MNYAMA 🦁 Karibu Msimbazi kiungo mkabaji (defensive midfielder) wa...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Ndio hivyo simba atashinda goli moja kipindi cha kwanza na magoli mawili kipindi cha pili.. Ndivyo nilivyoona matokeo ya hii game
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii ndio maana halisi ya Utopolo La Deportivo. Kama kilabu cha ndondo. Leo hii kimyaaaaa. Wazazi tujitahidi watoto wetu wasiishie kuwa Utopolo
7 Reactions
11 Replies
3K Views
Kulwa FC katoka Sare tano na Dotto FC Kapoteza Mechi mbili tu je, Kiuchambuzi / Kimpira tu nani kati yao hawa Mapacha ndiyo ameharibu sana?
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Jamaa alitoka Nkana akaenda timu ndogo huko Egypt kagongesha magoli hadi ma-giants wamemchukua. Hongera sana Bwalya naona ndugu yetu Okwi huko Al Itihad hata namba ni shida kupata.
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Kuna kitu sijakielewa na hiki ni vigumu sana kukiona kwenye nchi zilizo endelea hasa Ulaya huko. Haji Manara ni Msemaji wa Club ya Simba na Mdhamini au mmiliki wa Club ni Mo, Mo ana bidhaa zake...
1 Reactions
168 Replies
13K Views
JE, TUTAENDELEA KUWA NA IMANI NA MO DEWJI? Sakata la usajili likiwa linaendelea, habari inayosambaa kwa kasi ukiachana na ya Jonas Mkude kusimamishwa kwa madai ya utovu wa nidhamu kuna hii inshu...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Hivi haka kadude kanauzwa pesa ngapi hadi TFF na Azam FC, Simba SC, Yanga FC wameshindwa kuvinunua. Hadi leo wanatumia kidude kama cha sheli za kienyeji. Nchi inamiliki Uwanja mkubwa kama...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Watalaam wa karate naomba mnisaidie hili, Ni kwa sababu gani Bruce Lee akiwa anapigana alikuwa anajikaza Sana mwili na kutoa sauti Kama za paka, Mara apige kelele za ajabu. Yaani kajamaa unkuta...
7 Reactions
117 Replies
18K Views
Leo nimeshangaa sana Kaseke na mwenzake kwenda goli la mpinzani kuanza kutikisa nyavu kama wanatafuta kitu hivi kwa chini,baadaye wakaenda hadi kwenye taulo la golikipa na kulikung'uta!Nilipigwa...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
TFF na bodi ya ligi nadhan ni wakati sahihi wa kwenda Kenya na kujifunza ili hii tekinolojia ije iwekezwe kwenye ligi yetu.
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo anaweza Kukuelewa ukisema Kipa wa Yanga Metacha Mnata ( Yanga SC ) na Beki wa Kushoto Mohammed Hussein Zimbwe Jr (Tshabalala ) walistahili Kuachwa (Kutojumuishwa )...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa. Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema...
5 Reactions
33 Replies
6K Views
Vijana wawili wanaokuja juu katika sekta ya uchambuzi wa soka nchini. Wote wamebahatika na wanafanya kazi katika taasisi ambazo ni miongoni mwa brand kubwa ukizungumzia nyanja ya michezo na habari...
6 Reactions
35 Replies
6K Views
Wakuu Salaam, Hii timu sielewi ni kwanini inapata matokeo mazuri uwanjani kwa siku za karibuni. Mechi za karibuni ni hizi: Aston Villa inashinda mechi nyingi kuliko hata Man Utd tena kwa...
9 Reactions
92 Replies
9K Views
"Siridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu nje ya uwanja. Nimekuwa mnyonge kuona uwekezaji tuliouweka kwao, baadhi yao, huutumia kama fimbo ya kutuchapia."- Mo Dewji...
11 Reactions
37 Replies
8K Views
Kama kawa wadau leo kutakuwa na mapambano nane wadau wakirushiana makonde pale kati, fuatilia hapa Mapambano ya leo Mfaume Mfaume Vs Chikondo Makawa (Malawi) Twaha Kiduku Vs Guy Tshimanga...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Mchezaji wa zamani wa timu ya Arsenal, kutoka Togo Emmanuel Adebayor amefikia hatua ya kutaka kujiua kwa sababu ya visa na mikasa na ndugu zake. Hata timu yake ya sasa Tottenham imebidi impe...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom