Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Matani sio mazurii...hichi ndicho kinaendelea uswahilini kwetu
1 Reactions
2 Replies
902 Views
Kwenu wahenga nani ana kumbukumbu na hawa miamba wa Italy AC Milan, ilikua ya moto kweli kweli.
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Mbona hachezi wala kuwepo kwenye benchi, Anaumwa nini hadi lini? ameuzwa wapi? ametolewa kwa mkopo timu gani?, mmeshindwana mshahara? Kiwango chake kiko chini? Haya ni maswali sisi wadau tunajiuliza
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Kila kitu na zama zake na huu ni wakati wa Yanga kuwa katika zama zake. Shukrani kwa GSM ambaye anasababisha mashabiki wa yanga tunasonga ugali tu mboga utaipata kwenye mechi yanga wanavyosakata...
9 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi huwa navutiwa sana na Gentamycine hapa jukwaani , kwa mwaka huu 2020 kautendea haki hasa sisi tunaopenda soka la nyumbani. Japo kuna stori zake nyingine huwa ni za kutunga hasa za kumfagilia...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Tukiachana na Tuisila kisinda, Serge mukoko wachezaji walionesha kiwango kikubwa kwa muda mfupi. Unaongeleaje usajili wa yanga kwa huyu jamaa Tanzania 0 vs 1 Burundi Comoro 1 vs 1 Burundi Burundi...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Mods tafadhali msiunganishe uzi huu na mwingine wa kuhusu PELE` Jamani hamna wa kulinganishwa na Pele` wa Brazil. Hamna wa kumfikia Adson Arantes Dos`Nacimento(PELE). Pele wa Brazil ndiyo...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu Afrika imekuwa ikitoa viungo, washambuliaji na mabeki wazuri wanaotamba kwenye ligi mbalimbali barani ulaya. Toka enzi za akina George Weah, Samuel Etoo, Jayjay Okocha, Michael...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Naona kipindi cha kwanza tu kashamchapa mtu 2 kavu nimeamini hizi timu zetu za asili ( simba na yanga) yawezekana zikawa kikwazo kwa maendeleo yetu ya soka Sent from my Infinix X680 using...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Azam imempokea Mpiana Moziz kutoka FC Lupopo kuziba pengo la mcameroon Thiery Akono aliyeuzwa Malaysia. Imefanya mapokezi yasiyokuwa na 'mbwembwe'. Wakati ikiendelea kujiimarisha Azam imeshindwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
FACT :D:D Je, wajua beki wa Yanga SC. Lamine Moro ana magoli mengi (3) kuzidi jumla ya magoli ya Bwalya, Mkude, Ajibu, Morrison, Kahata, Ilanfya? FACT :D:D Je, wajua Bernard Morrison tangu...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
INAELEZWA kuwa Kiungo bora kwa msimu wa mwaka 2018/19 alipokuwa Simba, James Kotei yupo kwenye mazungumzo na Uongozi wa Yanga ili ajiunge na mabingwa hao wa kihistoria waliotwaa ubingwa mara 27...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Zikiwa zimebaki mechi tatu kwa kila timu ya ligi Kuu ya Uingereza, Ligi hiyo inaenda ukingoni kuhitimisha msimu wa 2018/19. Ni msimu wa aina yake, kwani mpaka kufikia sasa bado bingwa...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia...
6 Reactions
58 Replies
7K Views
Hii timu ilikuwepo kwa ajili ya kuipa yanga point. Timu ya kijinga mno.Timu iliyokuwa tayari kushuka daraja kwa ajili ya kuibeba yanga?!! Nimeshangaa kumbe imeshashuka hadi daraja la tatu! Yaani...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Tangu niliposikia tumeingia fainali ya under 17 na Uganda nilijua tuna nafasi ya asilimia 30 tu za kushinda, na kweli tumebamizwa 3 na hii ni baada ya juzi juzi tena kupoteza fainali nyingine kwa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Hivi ni kweli mchezaji wa KMC alishika mpira kwenye mechi ya Simba vs KMC? TFF mnangoja nini kitokee kabla ya kuchukua hatua? Nini kinashindikana kumwambia Azam tv afanye marudio kwenye matukio...
7 Reactions
64 Replies
5K Views
Ambazo Kwa Sasa Ziko Sokoni ,, Hili Linakuja Mara Baada ya Mashabiki wa Yanga Hususani Wanawake Kusema Kuwa Wao ni kama wanatengwa katika Jezi Kwani Wanahitaji Waletewe Madela Ikiwa kama Jezi Kwao...
8 Reactions
53 Replies
10K Views
Kichuya aliruhisiwa vipi na TFF kuichezea Simba bila taratibu za uhamisho kukamilika?
4 Reactions
67 Replies
8K Views
Kwa wale wenye umri mtakuwa mnamkumbuka pele wa Brazil miaka ya 60 na 70, lakini baadae miaka ya 80 aliibuka Maradona. Miaka ya hivi karibuni akatokea De lima,Ronadinho, kaka nk.Sasa hivi...
0 Reactions
131 Replies
12K Views
Back
Top Bottom