Nashuhudia hapa game ya Azam FC na Namungo. Dakika ya 91 Azam ikiwa mbele kwa goli 2-1. Zikiwa zimeongezwa dakika nne Namungo wakapata kona. Dakika ya 94 Kikoti anapiga kona maridadi kabisa Steven...
Wasalaam
Kwa miaka takriban minne sijaonekana humu jf,nimerudi Tena Kwa kasi
Kichwa Cha habari kinajieleza.
Mwaka 2004 Kuna michuano iliyokuwa inaandaliwa na Kituo Cha yosso Cha Rollingston ya...
Ratiba ya Uefa Champions League hatua ya 16 bora imetoka mchana huu! Unaipa nafasi timu ipi ya kusonga mbele zaidi kwa ratiba hii? Game gani itakuvutia zaidi?
Karibuni
SIMBA &YANGA 20/21 MBIO ZA UBINGWA
1. UBORA WA VIKOSI
Simba SC Tanzania ina kikosi bora zaidi ya Young Africans Sports Club
2. MAKOCHA
Makocha wa timu zote mbili hawana CV kubwa sana. Sven wa...
Simba SC assistant head coach Selemani Matola has been reportedly linked with a move to Football Kenya Federation Premier League side Gor Mahia.
Gor Mahia have been without a coach since Roberto...
1. Alisson
2. Anold Trente
3. Alfonso Davies
4. Sergio Ramos
5. Van dike
6. Thiago alcantara
7. Joshua Kimich
8. De bruyne
9. Robert Lewandowsik
10. Messi
11. Ronaldo
•Best men fifa player of the...
Sote tumekuwa Mashuhuda wa matukio mbalimbali katika soka yanayofanywa na marefaree wetu hapa Bongo. Imefika mahala mechi zinaharibika kutokana na utashi mdogo wa watu hawa katika kuchezesha soka...
EDIBILY JONAS LUNYAMILA . Macho yangu yameshuhudia mengi na Moyo wangu umebahatika kujawa na hisia tosha kwa Uzalendo wa Taifa langu la Tanzania.
Miaka mingi tumekua tukiimba nyimbo za kuitukuza...
KIDAO aagiza, Mkataba wa Morrison na Simba wabadilishwa rasmi TMS
Mkataba wenye utata kati ya Bernard Morrison na Simba umebadiliahwa rasmi kwenye mfumo wa usajili was TMS, baada ya Katibu Mkuu...
Wanabodi kwa takribani miaka mingi sasa Simba, Yanga na Ujio wa Azam kumekuwa na tatizo la kifedha kwa vilabu kama Simba na Yanga. Lakini ujio wa MO simba na GSM kwa yanga inaoneakana kuna uhai...
Kwa mtazamo wangu Chama alifanya makosa ya kumsubiri Miquissone asogee wakati Kagere alikuwa kwenye position nzuri tayari huku akiomba mpira kutoka kwa Chama. Matokeo yake shambulizi hilo lilikuja...
Habari!
Wamatopeni nilikuwa napenda kuwapa taarifa mapema lengo ni mjiandae kisaikolojia mapema maana mnaenda kukalia dhidi ya KMC.
Maana kwa mechi zenu hizi za nyuma mbeleko mbeleko leo...
Majira ya saa 1:00 usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki, Mabingwa wa Nchi, Simba Sc watashuka dimbani uwanja wa Benjamin Mkapa maeneo ya Temeke, kumenyana na KMC Fc ya Kinondoni!
Machampioni...
1. Simba & Yanga kuwa kubwa kuliko T.F.F
(Mfano: Timu hizi hukiuka kanuni wazi wazi na hakuna hatua yoyote inachukuliwa)
2. Viongozi wa T.F.F wengi ni "vilaza"
(Mfano: Kwenda kuokota wachezaji...
Mfaransa, Gerard Houllier aliyeiongoza Liverpool kutoka mwaka 1998-2004 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73. Houllier aliiongoza Liverpool kushinda mataji matano ikiwemo kombe la FA, Ligi na...
Hakuna kitu kinaumiza mtu anakuja kwenu anamchukua dada yako kumkamua...mbaya zaidi wewe unalipia gharama za guest house au lodge ambayo anaenda kumgegedea dada yako.
Hii ni dharau na inaumiza...
HABARI WADAU,
Hususan viongozi, wanachama, wapenzi na mashabiki wa timu ya yanga na wapenda michezo kwajumla. Sisi tunakusudia kuanzisha tawi la yanga hapa maeneo yetu ila naomba anayejua...
Mchezaji wa klabu ya Simba ameonyesha utovu wa nidhamu kwa kuonyesha kidole cha kati kwa wale wote wanaomchukia. Kitendo hicho kimeonekana kwenye kipande cha video inayozunguka kwenye mitandao ya...
Nilikuwa namsikiliza katika kipindi cha sports arena Mwina Kaduguda akizungumza kuhusu swala la Meddie Kagere kupata nafasi hafifu ya kucheza kwa siku za hivi karibuni. Mashabiki wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.