Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mwenyekiti : Khalid Lushanga Katibu : Faustini Mussa Wajumbe 1.John Yuda 2.Andrew Mlungu 3.Restituta Joseph 4.Zakia Mrisho Wajumbe wateule, wanatakiwa wawe ni wanariadha waliowahi kushiriki...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nachukua nafasi hii kuwapongeza TOC kwa kufanya Uchaguzi wao kwa mujibu wa katiba yao. Pili, niwapongeze Shirikisho la Kenya (AK) kwa kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwake wakifikia mafanikio...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, nakumbuka mheshimiwa Jakaya Kikwete aliwaasa Azam FC kutoendekeza Usimba na Uyanga kama wanataka kufika mbali zaidi kisoka pale alipoalikwa kama mgeni rasmi miaka zaidi ya saba hivi sasa...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Hawa ni wanandinga wastaafu, kwasasa wamehamia kwenye mabonanza, je unamfahamu nani hapo?
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Formula 1 world champion Lewis Hamilton has been voted BBC Sports Personality of the Year 2020. One of F1's all-time great drivers, he equalled Michael Schumacher's record of seven world titles...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Plateau United have blocked Tanzania media house Azam TV from streaming their CAF Champions League preliminary round first leg fixture against Simba SC. Plateau United (who owns all the media...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kutokana na sakata la usajili wenye utata wa mchezaji Shiza Kichuya kutoka Misri kwenda Simba, tumeambiwa hapa juzi tu kwamba Simba ilipigwa faini ya takriban milion miatatu na mchezaji tajwa...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
GORDON Brown, Waziri Mkuu wa zamani wa England aliwahi kuulizwa ni kitu gani kizuri Waingereza wanazalisha kwa sasa na dunia nyingine inaweza kujivunia. Alijibu kwa maringo yaliyopitiliza. Alijibu...
9 Reactions
32 Replies
4K Views
Mnaacha Kujadili Manchester United nao 'Kufungwa' Bao Sita 'Mishipa' yenu 'imewakakamaa' tu Kuisema na Kuijadili tu Klabu pendwa ya 'Geniuses' wengi duniani Liverpool. Kama FC Barcelona miezi...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Timu ya Gor Mahia Fc inayoshiriki Ligi Kuu nchini kenya imeanza mipango ya kutafuta Saini ya kocha Msaidizi wa sasa wa Simba Selemani Matola. Hii inakuja Baada ya Mabingwa hao Wa Kenya kukaa kwa...
1 Reactions
2 Replies
37K Views
Goli lake la kwanza VPL ile kipa kaufata mpira wapiiiii,huyu fundi bana.what a goal kwako kashasha .watu eti wanamwita antibiotiki
11 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii kusema eti anamiaka 26 ni uwongo uliopitiliza
4 Reactions
93 Replies
11K Views
Hii timu ndio iliaminika kuwa mbadala wa Simba na Yanga katika mfumo mzima wa uendeshaji na ili hilo lithibitike lazima timu iwe competitive, lakini naona kama Azam inakoelekea siko kabisa...
1 Reactions
9 Replies
965 Views
Tumekuwa mashuhuda kwa waamuzi wetu wa ligi ya vpl kwa namna wanavyo fanya upendeleo na makosa ya wazi kwa kisingizio kuwa eti nawao ni binadam! Kuna makosa ambayo dhahiri yanaoekana wazi lakni...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuuu Habari za wkend, Kuna hili suala la Wachezaji wanaokaa Benchi pale Simba yaani Akina Ajibu, Ndemla, Morrison, Gadiel nk nk Lakini kule Yanga napo kuna akina Zawadi Mauya, Ninja, Wazir...
9 Reactions
49 Replies
5K Views
Simba leo imeondoka kuelekea Zimbabwe ,kwenye kikosi cha wekundu wa msimbazi wanaoenda kukabiliana na Platinum ya Zimbabwe Morison hayupo ameachwa Dar es salaam ,pia ikumbukwe aliachwa pia kwenda...
10 Reactions
30 Replies
6K Views
Sio kwa hawa mlio nao aisee. Nimewafuatilia mara nyingi hawana viwango pia wamekuwa wanatabia ya "kucopy na kupaste". Kwa mfano leo walikuwa na mada ya kwanini ligi yetu inakuwa na magoli...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukisikia timu inasajili mchezaji kutoka South Africa,Zimbabwe,au Uganda,utagundua kuwa ina watu wasio na uelewa wa kutosha kuhusu mpira na vipaji vya mpira. Nasema hivi kwa nini? Hapa Tanzania...
3 Reactions
5 Replies
887 Views
diramakini.co.tz Goli la Yanga SC lamng'oa kocha Azam FC Diramakini 3 minutes Baada ya ushindi wa Novemba 25, 2020 ambao Yanga SC iliuchukua nyumbani kwa Azam FC katika...
7 Reactions
62 Replies
7K Views
Hawa ni wanandinga wastaafu, kwasasa wamehamia kwenye mabonanza, je unamfahamu nani hapo?
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Back
Top Bottom