Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ukicheza kiurojourojo tunakufyeka mshahara!
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika siku za hivi karibuni kumetokea wachambuzi wengi katika soka letu la Tanzania, ambapo wengi wao wanatumia forum ya Azam Tv katika kujitafutia umaarufu wakati katika jamii ni watu ambao...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
lets go champs,lets go boys,captain boko ongea na wenzako waambie tunataka furaha tu nothing else TUPO NYUMA YENU HADI MR KISHINGO TUPO NYUMA YAKE TUTAENDELEA KUGOMBANA NAYE BAADA YA HAPO ILA...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni 5G. Pongezi Gadiel Michael Kamagi, C. Mugalu,Moquisone, M.Kagere na beki kitasa Ame. Kongole kwa S.Ndemla kwa attempts za hatari..S.S.C na sisi mashabiki tunajivunia Kahata, Ajib kwa zile...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Efe Ajagba bndia Mnaijeria anayeishi Texas Marekani kwa sasa ni bondia aliyepata ushindi sekunde moja baada ya pambano kuanza Ilikuwa Agosti 24, 2018 Minneapolis Marekani ambapo alikuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Timu zetu za VPL zimejaa vijana wengi wanaocheza kwenye viwanja vibovu sana. Vijana hawa wanapambana ili kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga na pengine Azam na nje ya nchi. Simba kuna hela...
6 Reactions
61 Replies
6K Views
Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa taarifa kuhusu maendeleo ya kesi waliyofungua dhidi ya winga wao wa zamani Bernard Morrison. Akizungumza mapema leo kutoka jijini Mbeya, Makamu Mwenyekiti wa...
8 Reactions
58 Replies
7K Views
Yanga kwa sasa inaweza kukupa burudani ambayo hata mpenzi wako hawezi kukupa, inafurahisha eeh? Wana umoja, hawakati tamaa kizembe, spirit ya kufight. Na safu nzuri ya ulinzi. Wanapewa sifa wengi...
12 Reactions
42 Replies
5K Views
Tinman Elite professional athlete Sydney Gidabuday took second in the opening section of the men's 10,000 meters in a personal-best 28:15.41 at the Sound Running Track Meet. Gidabuday, who ran his...
0 Reactions
1 Replies
577 Views
Wakuu hawa wazee wa Simba ndo walikuwa wachawi wa kuzuia maendeleo ndani ya Simba,sasa hivi wamekosa nguvu wanatapatapa. Hawa wazee wangejiheshimu na kuacha vurugu Simba isingewatupa. Leo hii...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Tunashukuru leo bwana Mesut Ozil ameshusha mikono chini na kuitakia ushindi Arsenal Chelsea kama hakuona bac ndio kilichowaponza Asante Ozil ombi langu nadhani limekufikia
2 Reactions
2 Replies
815 Views
1. Posho ya Wachezaji imekuwa ikipunguzwa na kuna muda hawakupewa kabisa isivyo kawaida na Mo Dewji anafichwa 2. Kuna Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji hali ambayo imesababisha Chuki na Majungu...
15 Reactions
55 Replies
8K Views
Wasalaam wakuu. Nimejaribu njia nyingi, kuangalia tutorials,Kucheza online, kudownload checkers, kucheza na watu lakini mara nyingi naishia kula za uso tu. Hivi hakuna app ya kunifunza...
7 Reactions
84 Replies
8K Views
Mawazo yangu. Ligi kuu uingereza siyo ligi ya Belgium. Hamna team yakutoa 10m kwa mchezaji wa 25yrs kutoka ligi ya kawaida. He is a winner in a country of less than 3 professionals. Baki Genk piga...
5 Reactions
58 Replies
7K Views
Jana ameiangamiza timu yetu, jana ametuumiza Wanasimba. Na hii si mara yake ya kwanza kutufanyia hivi. Wale Platinum FC kwa jinsi nilivyowaona si wakali sana wa kututisha (najua game ijayo...
11 Reactions
73 Replies
6K Views
Kutoka siku ya kwanza David Beckham alipopiga mpira kwa miguu yake alionyesha ni mtu bora na mwenye kipaji cha hali ya juu,anaandika Ferguson."Mimi na Beckham tulitandika daruga msimu mmoja huku...
7 Reactions
30 Replies
11K Views
OZIL OZIL OZIL...... [emoji27][emoji27][emoji27] Brother nmekuita mara tatu [emoji18][emoji17] Please tunakuomba Wana Arsenal shusha hyo mikono mkuu tumekomaaaaa Inatosha Ozil tumekubali...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
LURAKOZE Shane Tanzania Saido Ntizabazonkiza. Ni Kirundi kinachomaanisha karibu sana Tanzania. Namkaribisha staa mpya wa Yanga. Hii ndiyo Tanzania na yuko katika jiji ambalo Mkuu wake wa Mkoa...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Yule kocha mtukutu na msema hovyo ambae aliwahi kuwata Watani kwamba Manyani, kauli yake hiyo inaendelea kumtafuna. Baada ya Eymael kutupiwa virago na Vyura wa Bwawa la Jangwani, miezi michache...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
CAF CHAMPIONS LEAGUE QUALIFICATIONS. Raundi ya kwanza, mkondo wa kwanza. (Oooh, Ataepita mikondo(aggregates) yote miwili ataingia hatua ya makundi moja kwa moja. ) 10:00 JIONI: FC Platinum...
17 Reactions
308 Replies
26K Views
Back
Top Bottom