Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

vs Mechi saa Kumi Jioni Uwanj wa Taifa Dar Es Salaam Nimebahatika kuwaoana hawa Platinum wakipasha leo asubuhi, kwa kweli wameshiba Kila la Heri Yanga Africa, wawakilishi pekee wa Tanzania...
2 Reactions
453 Replies
54K Views
Ni kombe la FA kesho saa moja usiku uwanja wa mkapa ambapo mtaalamu mzungu wa simba toka ubelgiji Sven Vaan Debroeck ambaye ni kipenzi cha mashabiki wa simba anatarajia kucheza wachezaji wasiopata...
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Hizi ndo timu zilizofuzu hatua ya makundi kiukweli kabisa navozijua hizi klabu kwa uwezo wao uwanjani sioni kama Simba kuna kutoboa hapo. Anayeonekana underdog ni Simba tu.
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Ikiwa ugenini nchini Sudan, Namungo imetoka sare ya goli 3-3 Magoli ya Namungo yamefungwa na Sey Bigirimana Manyama Namungo imesonga mbele kwa jumla ya magoli matano (5) kwa matatu (3).
13 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani Simba raha ila mmenitia hasara acheni tu! Kuna manzi wangu mmoja ananijua mimi shabiki wa Simba! Sasa alipoona matokeo ni 4-0 basi chap chap akanipiga mzinga! Nikiwa bado akili haijatulia...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanasimba wenzangu tujiandae kisaikolojia. Dalili zipo wazi kwamba hatutaweza kuwatoa FC Platnum. Shida kubwa ni dalili zinazoonyesha kwamba play off tutakayoangukia tutajikuta miguuni mwa UD...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Habari wanabodi Kwangu mimi kama mwanasimba nafikiria siku hiyo katikati acheze nyoni kuwaprotect onyango na wawa au onyango acheze na ame/nyoni ktkt acheze kapombe kusaidia kukaba. Lakini kule...
4 Reactions
62 Replies
8K Views
Klabu ya Simba Jioni ya leo inashuka uwanja wa Taifa Mjini Harare kuchuana na FC Platnum ya Zimbabwe katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya mabingwa Afrika. Sema neno lolote kuwatakia kheri...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Watanzania tukiamua jambo tunaweza. Tumeifukuza corona kwa umoja wetu...kujifukiza, kula malimao, ndimu, tangawizi, vitunguu swaumu n.k Sasa Simba na Namungo wameibeba Tanzania kimataifa. Nia...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii kitu unawekaje?
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa miaka 19, Nina kipaji kikubwa Cha kucheza mpira wa miguu, urefu wangu ni futi7 na uzito wa 73kg, npo Temboni-KIMARA. Naombeni msaada wenu wadau
2 Reactions
81 Replies
11K Views
Leo klabu ya Simba imefanya mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wake na timu ya Platnum kutoka Zimbabwe. Pamoja na mambo mengine, msemaji wa Simba, Haji Manara amesema wameliomba...
3 Reactions
17 Replies
38K Views
Jamani nataka nikawaone Simba uwanjani 6/Jan/2021. Napata wapi hizo tickets za ki digital?
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari wadau..! Binafsi napendekeza Namungo FC ndio hiwe timu ya Taifa .Au wadau mnasemaje??? Na kwa kuwa mheshimiwa waziri hii timu ndio inatokea kule kwake naamini atalifanyia kazi.
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu, Ujue watu wamejiuliza sana kwanini wachezaji wazuri walipokuwa team zao kila wakienda Simba wanazikwa? Gadiel wakati yupo yanga alimpokonya mpka Tshabalala namba national team alikuwa...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
They sit at the foot of the Primera table as the solitary group without a success yet they have drawn six of their nine matches played so far with just three thrashings. They will go to Osasuna...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Carlinhos Avunja Ukimya Yanga SC Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Instagram, Carlinhos hivi karibuni aliandika kwa kuanza kumshukuru Mungu lakini alienda mbali kwa kukiri kusumbuliwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni shabiki wa Yanga lakini hapo awali niliitabiria Simba kuweza kumtoa plateau United ya Nigeria. na kutinga inayofuata. Kuelekea mechi ya jumatano, kwa wale wenzangu mashabiki wa Yanga...
2 Reactions
2 Replies
945 Views
Shabiki anayedhaniwa kuwa ni wa Mbeya Cirty ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alipoona ‘kosa-kosa’ zimezidi kwenye goli la KMC FC dakika za majeruhi, kwenye mchezo wa VPL jana [Jan 2...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kikosi cha Timu ya taifa "Taifa Stars" kimeendelea na mazoezi leo katika uwanja wa Gymkhana kwa ajili ya kujiandaa na michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya DR Congo na mashindano ya...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Back
Top Bottom