Ukiangalia ubora na hali ya timu kati ya mbeya city na mwadui fc , nikama wote wanahali mbaya!
Kuelekea mechi ya leo kati ya mbeya city vs Mikia fc,naona kabsa mikia wanaenda kujipigia tu (kama...
Kwenu wadau wa Soka
Haruna Niyonzima na Clatous Chama Hawa ni Wachezaji ambao Wamejibebea Umaarufu Mkubwa kutokana na Uwezo wao wa Kucheza Soka la KIWANGO cha Juu katika Ligi Yetu ya Tanzania...
Kwa ufatiliaji wangu wa mitandao ya kijamii mpaka muda huu katika harusi ya ndugu yetu Manara Jana, sijamuona kuongozi yeyote wa Bodi ya Simba, sio Moo, Hans, Babra wala Rage. Je, hii inamaana...
Kila mechi anayokosekana chama Simba inapata ugumu sana wa kupata matokeo chanya?
Lakini anapoingia Chama tu basi matokeo huonekana.
Je, chama ni Simba chanya?
Je, kama ni hivyo Simba...
"Bashungwa tumekupeleka kwenye michezo tunataka tushinde, sio tukilala tukiamka mabao 10, wote mtaondoka hata wewe Naibu Waziri Ulega, tukashinde, na Simba na Yanga zimetuchelewesha ikiwezekezana...
Jana kabla ya mechi, alidai iwapo hakutakuwa na makando kando hasa waamuzi kuibeba Simba, ana uhakika atashinda mechi leo.
Jambo la ajabu timu yake ndio ikebebwa leo kama ilivyo kwa wenzie...
Kikao Cha Kamati ya Fedha cha Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limevurugika baada ya wajumbe wa kamati ya fedha kugundua matumizi mabaya ya Fedha ambayo haikupewa idhini na kamati hiyo, pamoja...
Wakati umefika sasa club ya Simba ichukue hatua za tahadhari kuwalinda wachezaji wake maana faulo wanazofanyiwa ni za hatari na zinaweza kupelekea kwa wachezaji hawa kupata madhara makubwa.
Kwa...
Wadau,
Nakumbuka kwenye miaka ya themanini mchezo wa mieleka ulitokea kuwa maarufu sana hapa bongo. Kulikuwa na wababe kama Power Bernado, Power Vuru Mroma, Power TX Chaka, Power Bukuku na...
Katija dirisha kubwa la Usajili, Simba iliwasajili wachezaji
1. David Kameta "Duchu"
2. Charles Ilanfya
3. Chris Mugalu "The Animal"
4. Rally Bwalya "Magician"
5. Benard Morrison "mkuki wa sumu"...
Former Italian footballer Paolo Rossi, who led the national team to victory in the 1982 World Cup, has died aged 64, his family says.
His wife Federica Cappelletti posted on Instagram a picture...
Ndugu salaam....
Katika mambo ambayo mchezaji Benard Morrison aliyasema kuwa "Simba ni chuo cha soka" kweli nimekubali.
Ebu mtazame Cloutas Chota Chama "Mwamba wa Lusaka THE MVP unapata wapi...
Katika mechi ya Leo na matokeo yanayotafutwa ,aina maechi ,ubora wa Kagere na Boko ! ....nimeanza kuamini kuwa huyu kocha ana timanyongo na Meddie Kagere!
Povu ruksa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.