Habari!
Kwa maelezo ya huyo msemaji na mbwambwajaji wa watani zetu ukiyafanyia kazi kama yalivyosema unaona kabisa pale wana mropokaji kiwango cha lami.
Mara watani wanajikuta wapo wenyewe si...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemhakikishia Pierre Gumbo(Liquid) kuwa kuna tiketi yake kwa ajili ya kuambatana na Taifa Stars kuelekea Misri.
Waziri Mkuu ameyasema hayo alipozungumza na Pierre...
Natumaini wote mu wazima,
Mama lao sina maneno mengi ila tuseme tu ukweli Kili Marathon ishapoteza mvuto sio kama zile Kili za zamani tulizokuwa tunazosikiaa kipindi hicho. Kili Marathon ya siku...
Shirikisho la Mpira wa Miguu limesema Shabiki yeyote anaruhusiwa kuingia kwenye mechi ya mpira, ikiwa havunji taratibu za mchezo huo
TFF imekemea kauli zinazolenga kuzuia haki ya mashabiki...
Leo Dimbani Ni Simba VS Plateus United
Hapa tupeane matokeo pamoja na matukio yanayo jili Katika uwanja wa Benjamin Mkapa Stadium
Ni Uwanja wako sasa kutoa updaUpd Zote.
Klabu ya Simba imesema kauli ya kubagua mshabiki katika mechi kati ya Simba na Plateau United haikutolewa kwa maelekezo ya Klabu ya Simba
Desemba 2, Msema wa Klabu ya Simba, Haji Mnara alitoa...
Hawa wote wamesajiliwa majira haya ya kiangazi, Pepe akitoka Lille kwenda Arsenal kwa usajili wa rekodi ya klabu. Wakati James akitoka Swansea kwenda Man Utd.
Ukiambiwa chagua mmoja kati yao...
Najaribu kujihoji na kutafakali kwa kina sipati majibu
Hivi plateau wanajiamini Nini kuja siku moja kabla ya mechi na simba ambayo kuifunga kwa mkapa Hadi ufanye kazi nzito
*Wamekata tamaaa
*Ni...
By Polycarp Auta
Jos, Dec. 2, 2020 A 45-man contingent of Plateau United FC of Jos has departed for Dar Es Salaam to face Simba SC of Tanzania.
This is for the return leg of the first round of...
Ama kweli tenda wema nenda zako, na Fraga alitenda wema kaenda zake, na sasa anahangaika kujitibu yeye na familia yake huku club ya Simba ikiwa imemtelekeza, kwa kweli hii ndio tabia ya Wahindi...
Ikumbukwe baada ya Hans Pop kuwashutumu baadhi ya wachezaji kucheza chini ya kiwango Mo alisema hakuna kiongozi yeyote atakae ruhusiwa kuingelea Simba bila kupata ruhusa yake.
Je, yaliomo yamo,na...
Klabu ya Arsenal imeruhusu mashabiki 2,000 katika Uwanja wa Emirates kushuhudia mechi yao dhidi ya Rapid Vienna jana. Hii ni mara ya kwanza kwa mashabiki kuruhusiwa katika mechi kubwa tangu Machi...
Klabu ya Soka ya Simba imesema haitaruhusu Shabiki wa Klabu ya Yanga kuingia katika mchezo wao wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau United mchezo utakaopigwa katika dimba...
Kwa Tanzania imekuwa kama utamaduni. Ushirikina umeshika chat sana katika mpira wetu. Mbaya zaidi ni wachezaji wa Team mmoja kufikia hatua nao wanarogana wakigombea namba.
Team moja kubwa hapa...
Kuelekea mchezo wa Marudio kati ya simba na plateu ya Nigeria kombe la Klabu bingwa Afrika.
1. Aishi Manula.
2. Shomari Kapombe.
3. Mohamed Hussein.
4. Pascal Wawa.
5. Joash Onyango.
6. Erasto...
Karibu katika Uzi maalumu wa kilabu ya mpira wa miguu ya Ndada toka Mkoani Mtwara.
Jina la timu: Ndanda Fc
Jina la utani: Ndanda Kuchelee
Uwanja: Nangwanda Sijaona
Watazamaji:15000
Mkoa...
Naomba uongozi wa Simba hii mechi inayokuja watangaze kabisa kabla watu hawajanunua tickets kwamba hakuna kuingia bila jezi ya Simba au nguo nyekundu, itangazwe kwamba hakuna kuingia ukivaa njano...
Inakuwaje?
Shaktar Donetsk inaongoza sasa hivi goli 1 bila dhidi ya Madrid na wabane hivo hivo hadi kipenga cha mwisho halafu baadaye Inter iichape moncheglabad ya Ujerumani itakuwa safi sana...
CEO wa Simba SC Barbara (Babra) Gonzalez katika Kurasa zake za Mitandao amesema kuwa wamejitahidi vya kutosha tena kwa Kuhangaika huku na kule ile Mechi ya Simba SC na Plateau United unaochezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.