Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Imeelezwa kiungo Mapinduzi Balama anatarajiwa kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu zaidi ya majeraha yake Balama amekuwa nje ya uwanja wa miezi sita sasa akiuguza majeraha...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Hello wanasport!! Anayefahamu tafadhali anipe mtiririko hapa nina hiyo ndoto siku moja. Na inaanzia daraja la ngapi kwa hapa nchini?
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Katika kipindi cha Sports Extra jumapili nilimsikia Shaffi Dauda akizungumzia michuano ya CAF CHAMPIONS LEAGUE hatua ya awali. Mechi aliyokua anaizungumzia ni Plateau vs Simba, aliponda sana...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Waendesha mashtaka nchini Argentina wanamchunguza Daktari wa, Diego Maradona(60) kwa uwezekano wa kuua kufuatia kifo cha nyota huyo wa soka kilichotokea Novemba 26,2020. Polisi Mjini Buenos Aires...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati umefika sasa tuwathamini wachezaji wetu wa ndani kama Erasto Nyoni ambaye ni mchezaji wa viwango ambaye amekutana na changamoto kubwa ya kupata nafasi katika club yetu ya Simba ambayo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mnataka wafanye nini tena ndio mchukue hatua kali. Wapeni adhabu ya kutoingia uwanjani msimu mzima. Haiwezekani watu na akili zetu tunaenda kuangalia soka tunakutana na mambo ya kipumbavu toka kwa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwanza niwape pole kwa mnayoyapitia tangu mwaka 2016 baada ya kuingia uongozi mpya kwenye Shirikisho la Riadha. Ninafahamu walio wengi hawatafahamu nini kinachoendelea ndani ya Riadha Tanzania...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Hili bao video yake mpaka sasa imeshindikana kupatikana. Wengine wanasema waki upload baada ya sekunde tu ile Video inapotea. Ni kama inakuwa deleted. Hili wameniambia jamaa wawili ambao walikuwa...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Leo sikutaji kwani nakustahi sana tu kwakuwa nakujua una tatizo Kubwa la Presha na hilo Tumbo lako Kubwa ila kaa mbali na Plateau United oky?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Lilikuwa goli la kulazimisha na juhudi binafsi za Luis Jose
10 Reactions
1 Replies
3K Views
Tuliofuatili World Cup 2002 tunamkumbuka huyu Mwamba Mchezaji wa zamani wa Kimataifa wa Senegal, Papa Bouba Diop amefariki akiwa na umri wa miaka 42 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Diop...
7 Reactions
65 Replies
9K Views
Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuendelea kupigwa leo November 29, 2020 ambapo, Klabu ya Plateau United, inawakaribisha Mabingwa nchini Tanzania Simba SC, Mnyama kunako dimba la New Jos nchini...
9 Reactions
235 Replies
26K Views
Mchezaji maarufu wa mchezo wa mieleka- Undertaker amethibitisha rasmi kujiuzulu kutoka WWE baada ya miaka 30. Aliingia ulingoni kwa mchezo wa mwisho katika mchezo wa mwisho wa Survivor Series...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
WAKUU. MIMI NATABILI SIMBA KUANZA NA WACHEZAJI 11 WA KWANZA WAFUATAO. 1.Aishi Manuara. 2.Shomari Kapombe. 3.Mohamed Hussein. 4.Joash Onyango. 5.Pascal wawa. 6. Erasto Nyoni. 7.Luis Misquison...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Hiyo Plateu ni kama imeisha tolewa, mechi inayofuata Simba itacheza na mshindi kati ya AS Sonidep ya huko huko Nigeria na Mogadishu city ya Somalia. Hiyo AS Sonidep ni timu ngumu kidogo itabidi...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Pamoja na mimi kuwa mshabiki wa team nyingine ila hili wanalofanya Plateau ni soka la Kizamani sana. Fitna na Hujuma havisaidii mpira. hawa ni kuwatibu kama wydada vs mamelodi waarabu wa morroco...
15 Reactions
56 Replies
5K Views
Simba kama tukitolewa na hao wanaijeria ambao hawajacheza karibia miezi simba mechi za kimashindano mtafute la kutusmbia. Simba kama tukitolewa na team ambayo kwao hawatakua na mashabiki na sisi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kocha aliyefukuzwa ndiye huyohuyo ambae aliiwezesha Azam kuongoza ligi kabla ya mechi na Yanga. Yanga walifukuza kocha lakini matokeo yamebaki yaleyale ya ushindi mwembamba kila mechi. Mtibwa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamii forum. Matumaini mko poa. Wale wazee wa ngumi tofali, wapenzi wa mitulinga mizito kuliko ya mwakinyo na myweather, ebu tutoe tathmini zetu kuhusu kurejea ulingoni kwa mzee...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Sehemu ambayo ni Sports bar naweza angalia mpira wa ligi kama England / Achana na hizi bar za kawaida ukienda wanaweka mziki unaangalia gemu ya mpira kama vile unaangalia pilau. Sauti zero. Mi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom