Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Washabiki wa Yanga wameahidi kuisaidia timu ya Plateu kwa hali na mali ili kuhakikisha Simba inafungwa na timu hiyo. Na wamesema Plateu wakija hapa wao ndio watakuwa wenyeji wao rasmi na watawapa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya Mshambuliaji hatari wa Simba MEDIE KAGERE kuwa mfungaji Bora kwa misimu miwili (2) mfululizo. Hii ndio List ya Washambuliaji ambao wanafanya vizuri :.. 1. Prince Dube 2. Adam Adam 3...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Timu ya Yanga leo inashuka dimbani kuwavaa JKT Tanzania,katika mchezo huo Yanga wataingia kwa lengo la kuongeza tofauti ya points 7 dhidi ya watani wao wa jadi Simba ambao kesho wanatarajia...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
BONDIA Hassan Mwakinyo amepanda hadi nafasi ya 43 kwenye viwango vya ngumi vya dunia. Bondia huyo namba moja nchini ametajwa kuwa bondia wa nyota tatu duniani ,akihitaji kutafuta nyota nyingine...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika, Namungo FC leo Jumamosi ya November 28, 2020 wanawakaribisha Al Rabita FC kutoka Sudan katika mechi ya mkondo wa...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Hawa jamaa ni hatari na wanawapa watangazaji wetu katika wakati mgumu kutangaza magoli. Hasa hao wafungaji wawili wa mwanzoni.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Burdaaan murua kabisa,
0 Reactions
5 Replies
800 Views
Siku hizi hata simu zangu viongozi hawapokei na wengine wame niblock kabisa zaidi na ambiwa tu kua nikipona nitafute timu nyingine sina tena nafasi."Balama Mapinduzi. Chanzo: simbascdaily Na...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika, Namungo FC leo Jumamosi ya November 28, 2020 wanawakaribisha Al Rabita FC kutoka Sudan katika mechi ya mkondo wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hata ningekuwa ni Mimi GENTAMYCINE ndiyo Wewe Samatta kwa jinsi Watanzania walivyo na nongwa hadi kisununu na wakisahau Kushukuru nami pia ningeongopa (ningejivunja) kama Wewe kwa kusema kuwa...
7 Reactions
49 Replies
6K Views
Yanga leo wamekwea daladala kuelekea Chamazi wakipitia Mbagala kucheza na Azam FC. Mechi itaanza saa moja jioni. Dube atakuwepo. Sure Boy atakuwepo shimoni pale. Usiondoke Mashine za Azam...
4 Reactions
95 Replies
8K Views
Huo ndiyo ukweli. Hongereni sana Yanga na miamba ya soka ya Ulaya na dunia AC Milan. Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda na kuwaongoza katika kuilinda rekodi hii ya kuvutia. Yanga: Daima Mbele...
13 Reactions
37 Replies
4K Views
Pambano la Mtanzania Ibrahim Class na Mzambia, Samson Ngoma watapigana round kumi kuwania mkanda GBC Ibrah ameibuka mshindi na kuchukua mkanda wa GBC Mapambano ya Utangulizi 1. Maisha Samson...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais wa Argentina Alberto Fernandez, ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa nchini humo kufuatia kifo cha gwiji wa soka duniani Diego Armando Maradona, aliyefariki kwa maradhi ya moyo akiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini 1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24 2. Azam imefunga jumla...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
---- FUTA NYUZI HII ...... Moderator
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Wakuu kwakweli nimevutiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya watanzania katika ligi kuu ya tanzania yani kwa kipindi hiki watu wamekuwa wakiangalia hata mechi za kawaida katika ligi ambazo hazina...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
BOGDAN DOCHEV AFARIKI: Mshika kibendera Mbulgaria Bogdan Dochev aliyeshindwa kuona bao la 'Mkono wa Mungu' la Diego Maradona amefariki dunia akiwa na miaka 80.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya maneno mengi kuzungumzwa kuhusu mgawo wa pesa kutoka caf kwenda tff ,hatimae shirikisho limetolea ufafanuzi
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom