Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Na hapa ndipo Kipimo halisi cha aina ya Wanamichezo (hasa wapenda Soka) wa Tanzania walivyo ukichanganya na Waandishi wa Habari na Watangazaji wa 'hovyo hovyo' tulionao Tanzania kwa sasa. Yaani...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
1.Manula 2.Kapombe 3.Zimbwe 4.Onyango 5.Wawa 6.Nyoni 7.Miquisonne 8.mkude 9.Bocco/Kagere/Mugalu 10.Chama 11.Morisson Hiki kinatakiwa kuwa kikosi dhidi ya Plateau Utd nje ndani
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kuvurumishwa leo November 21, 2020 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha, ambapo Wagosi wa Kaya, Coastal Union...
7 Reactions
102 Replies
9K Views
Kukiwa na tuhuma mbali mbali juu ya upangaji wa matokeo, ambapo timu ya Simba ilishapeleka mashitaka yao juu ya tabia ya upangaji wa matokeo ndani ya ligi kuu unafanywa na klabu ya Yanga kupitia...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea kuvurumishwa leo Oktoba 27, 2019 ambapo Singida United wanawakabili Mabingwa wa Nchini Simba SC Mnyama Mkali Mwituni, kwenye dimba la Uwanja wa Sheikh Amri...
2 Reactions
77 Replies
10K Views
Baada ya Taarifa ya jana kutoka tume ya ushindani kuwa uongozi wa Simba ndio wanaochelewesha mchakato wa mabadiliko, leo uongozi wa Simba wamekuja na majibu.
2 Reactions
24 Replies
3K Views
1.Mo ni mfadhiri wa Simba au ni Mmiliki wa Simba? 2.Kama ni Mmiliki huo Umiliki umekamilika lini? hizo 49% kazipata lini? Pesa zake ziko wapi? 3.Kama yeye ana 49% na Club ina 51 % kwanini yeye...
13 Reactions
28 Replies
5K Views
Ligi kuu bara inaendelea leo kwa timu ya Simba na Coastal Union zitakutana katika mzunguko wa pili, ikumbukwe Simba ikishinda leo moja kwa moja wanaenda kuongoza ligi na kupata nafasi nzuri ya...
4 Reactions
214 Replies
19K Views
Wakosoaji karibuni tena. Simba hatuna baya
7 Reactions
64 Replies
6K Views
Pole sana Mzee Hamis Kilomoni na Siku zingine ujue kwamba nchi hii ni zaidi ya Wewe pamoja na hao Wanaokutuma au Kukutumia. Wenye Akili walikushauri sana kuwa tulia ili uheshimike zaidi lakini...
13 Reactions
101 Replies
11K Views
Sio Press realese Ni Press release
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii ni habari mbaya kwa washabiki wa GSW waliotegemea kupambana na Lakers msimu huu baada ya kuburuza mkia kwa sababu za majeruhi msimu ulioisha. Tuendelee kusubiri mpaka msimu mwingine tena, ila...
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Walizimiwa umeme kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo kabla ya mechi! Zama hizi kweli tunafanya ujinga huu? Daah soka letu lina safari ndefu sana...
6 Reactions
57 Replies
5K Views
Commoros ni visiwa vilivyojirani sana na nchi yetu lakini kwa miaka mingi walionekana mpira sio fani yao kabisa. Ambapo vilabu vyao kufungwa 8,7,6,5 na simba,Yanga hata na Mtibwa nilikuwa jambo la...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Baada ya mechi kati ya Yanga na Simba pamoja na kuwa na waamuzi 6 ilishuhudia maamuzi ya ajabu kama penati ya makosa yaliyofanyika nje ya 18, rafu bila kutolewa kadi, game kupozwa bila sababu na...
0 Reactions
3 Replies
851 Views
Nimekaa nimewaza sana. Hivi sisi Watanzania kuna wachezaji wengi wa kutoka nchi za nje wanakuja kucheza huku kwetu, na wengineo wana viwango vizuri tu ila timu zao za Taifa wanakotoka hawapati...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunisia 10 wanafuzu kucheza AFCON 2021 baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Tanzania [emoji1241]. Equatorial Guinea [emoji1095] wanashika nafasi ya pili kwenye Kundi J kwa pointi 6, Tanzania nafasi ya 3...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom