Dar es Salaam. Rais wa chama cha ngumi za kulipwa cha WBF Howard Goldberg atawasili nchini Jumatano kwa ajili ya usimamizi wa pambano ubingwa wa mabara super-welterweight kati ya bondia Hassan...
Mwakinyo wewe ni mtu imara sana nimeielewa kazi yako kweli una uchu wa mafanikio nguvu unayo ya kutosha
Wanaotaka kila siku mapambano wa wewe wakuwekee mapesa ya kutosha ndio upambane...
Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.
Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na...
Nimeshangaa kumbe timu yetu ya wanawake under 17 wamechukua ubingwa wa COSAFA na hii habari
Haina hata buzz yoyote..why?
Wasouth Africa wanaipamba Sana timu Yao ya wakubwa imechukua ubingwa...
*
MUKOKO
Mechi 4
goli 1
Assist 0
Dube
Mechi nne
Goli 3
Assist 3
MESHACK WA GWAMBINA
Mechi : 4
Goal : 4
Assist : 2
Mchezaji Bora MUKOKO
Au Kuna Kigezo Kingine Kimetumika Ili Kumpata...
Form is a temporal class is permanent. Mpira wanaocheza timu ya taifa kipindi hiki ni mzuri sana mapungufu ni kidogo tu tulikuwa tunalaumu washambuliaji kuto kufunga lakin jana tatizo limeonekana...
Habari!
Timu ya Taifa bado hali ni tete na itaendelea kuwa tete kila kuchika.
Huu U-Simba na Yanga unadumaza sana timu ya taifa isisonge mbele na kunajikuta tunarudi nyuma kila siku.
Kocha ni...
Kikosi kilichoanza ajana ni wachezaji wa wili tu ndio hawajawahi kuvaa jezi ya azam fc (Mkude na Nondo)
Walioingia sub ni moja tu ndio hana DNA na Azam fc nae ni fei Toto
Wachezaji regularly...
Makocha wanajua zaidi lakini sikuona kabisa mantiki ya kumchezesha Boko wala Farid mechi ya ugenini ya Taifa Stars dhidi ya Tunisia.
Boko alikuwa cut-off kutoka kwa wenzake, akipewa mipira...
Wadau naombeni msaada juu ya hili.
Mwanafunzi wangu anayetarajia kuhitimu kidato cha nne mwaka huu ameniomba nimwangalizie kwenye mtandao namna anavyoweza kuwa referee.
Ameomba kujua kiwango...
Mwezi wa nane mwaka huu Yanga walituaminisha kuwa wamekata rufaa FIFA katika kiengo cha CAS kupinga kitendo cha kamati ya TFF kuamua kuwa mkataba wa miaka miwili na Morrison ni batili. Baadaye...
Chonde chonde GSM, Eng Hersi na wana uto wote, tuachieni Chama wetu kama kisasi ni Morrison sisi tutawarudishia na tutawapa Ajibu kama nyongeza.
Kinachoendelea huko Istagram kinatuumiza sisi...
Hapo Kesho Kwenye Mtanange wa Tanzania Vs Cape Verde kwa tadhimini za haraka haraka Kutakuwa na msukumo mdogo sana kwa mashabiki wa Taifa Stars kuiangia kwa Mchina/Taifa.
Hata kama ingekuwa bure...
Leo zime tolewa tuzo za mwezi September.. kama kawaida yao kocha Bora Cedric kaze katoka Yanga.. mchezaji bora Serge Mukoko22 katoka yanga.. duh hapa najiuliza yaani biriani lote simba tunalo...
Habari za muda huu.
Tukiwa tunasubiri kama masaa machache team yetu ya Taifa kuingia viwanjani na kuonesha kandanda safi huko Cape Verde
nimejikuta kuwa na mashaka zaidi maana hapo mwanzo...
Nimeona kwenye Gazeti la Mwananchi Ndugu Makonda akitambulishwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars , huku katibu wa Kamati hiyo akitajwa kwa jina la Herisi Said , hivi hii kamati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.