Tumshukuru mungu kwa kila jambo. Mwenyezi mungu hawezi kukupa kila kitu. Unaweza ukakufuru kwa baadae.
Mungu katupa amani, maliasili ambayo Tanzania ni nchi ya pili duaniani kuwa na maliasili...
Kuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi...
Je, Simba huenda yakawakuta kama ya Yanga na Manji? Ni suala la muda tu
Mo ndiye:
1. Afisa habari wa timu
2. Mwekezaji
3. Mtendaji mkuu
4. Mwenyekiti wa Bodi
5. Mkurugenzi wa Ufundi.
Leo Ijumapili 30, Aug 2020. Kutakuwa na mtanange murua wa Ngao ya Jamii 'Community Shield'. Simba Sc v Namungo, Arusha Shekh Amri Abeid Stadium. 1530Hrs.
Natabiri kikosi changu. 1. Aishi Manura...
Charlton Athletic Goalkeeper Sam Bartram Alone On Pitch After Game Was Abonded Due Thick Fog. | 25 December 1937 |
JUA KIUNDANI KUHUSU HILI
Unafahamu ya kua mnamo tr 25-12-1937.nchini...
Karibuni wazalendo tumnyooshe Tunisia nyumban kwake
Mechi ni ya kufuzu Afcon ikiwa ni mechi ya 3,Tanzania alishinda mechi zake 1 na kupoteza 1
Tunisia yeye alishinda mechi zote mbili
kikosi cha...
IJUE MECHI YA KWANZA KUONYESHWA KWENYE TV.
Mechi ya kwanza kuonyeshwa kwenye Tv ilikua ni timu ya Arsenal vs Arsenal.
Hapo namaanisha ilikua ni mechi zidi ya kikosi A cha arsenal na kikosi B...
Kiukweli kabisa timu yetu imepita kuwa miujiza tu, ni timu mbovu kabisa ambayo uwezo wa wachezaji tu ni mbovu.
Tulipaswa kutengeneza timu yetu hata kwa miaka 20 kama ilivyofanya Senegal...
Habari!
Naona wahujumu wa watani (Wamatopeni) wanaendelea kuwahujumu hadi mechi za kirafiki.
Leo tena kile kikosi wanachoamini ni kipana yaani hata waliokuwa Sub ukiwaweka uwanjani wanaaminiwa...
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
Tunafahamu Dismas Ten ni moja wa maofisa ndani ya klabu ya Yanga. Kimsingi anaitambua mipaka yake nje na ndani ya ofisi
:
Yanga SC ni mshindani wa Simba SC kimasoko. Kila mmoja ana wajibu wa...
Wakuu habari ya Muda huu na poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Nije moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kusaidiwa sample ya katiba ya timu yeyote ya mpira wa miguu .Anayeweza kunisaidia ndugu...
Huwezi ukawa na Timu ya Taifa yenye Wachezaji mahiri wa Klabu ya Simba SC kama akina Manula, Kapombe, Tshabalala, Nyoni, Mkude na Boko halafu ukafungwa Goli / Bao nyingi na Timu yoyote ile...
Ili kutusahaulisha na ile bil 20 iliyoahidiwa bila kuletwa na anayewapa hela ya kula, basi wanaamua tu kutuzuga na dhuluma za usajili kwa kuitegemea TFF ambayo imejaa wana simba.
Hivi baada ya...
Nitoe pongezi kwa wadau wa masumbwi nchini kwa kuendelea kutupa furaha tena sisi wapenda masumbwi nchini. Kwa kipindi fulani unaweza kudhani kua mchezo wa masumbwi kama vile ulikua umesahaulika...
Bondia Hassan Mwakinyo na Jose Carlos Paz wa Argentina Next door arena leo
Mataifa sita, mapambano manne, ulingo mmoja
Bondia Jose Carlos Paz ana rekodi ya kupanda ulingoni mara 35, ameshinda...
"Kwa jinsi ninavyocheza kama nikibahatika Kucheza pamoja na Wachezaji kama Chama, Mkude, Morisson, Dilunga, Miquissone, Morisson na Kipa bora Tanzania Manula Kazi yangu itakuwa nzuri na rahisi...
Hakuna ubishi jana tumeionyesha Afrika na Dunia kuwa sisi soka bado saana. Mambo machache niliyoyaona mimi kweny emchezo wa jana na ambayo yamekuwa yakijirudia rudia:
1. Wachezaji hawana kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.