Hiyo ndiyo kauli ya msemaji wa Ruvu shooting akijitetea dhidi ya kauli yake ya jana baada ya mechi ya yanga kwamba kwenye timu kuna"Yuda" Kauli ambayo ilitafsiriwa kama kuna msaliti kwenye timu...
Miqsonne
Samata
Bila kujali timu wanazochezea. Bila kujali nafasi wanazocheza. Kwa kuangalia viwango vyao kwa kuzitendea haki nafasi zao katika timu; nani mkali kati ya Samata na Miqsone
Kuelekea mpambano wa klabu bingwa Africa hatua ya awali, kwa upande wangu naona Kuna kila dalili ya Simba kufanikiwa kumtoa Plateau United ya Nigeria. Ikumbukwe kuwa kwanzia janga la corona...
Uongozi wa Simba kulingana na taarifa zilizotolewa na Haji Manara ambaye ni Mkuu na Mkuu wa habari wa habari mbele ya mechi yao dhidi ya Plateau United jambo hili halijakaa poa. Wangetafuta namna...
Tuliongalia game ya Leo, Simba dhidi ya Plateau ya Nigeria, tunashangaa kuona kwanini Kocha ameona kabisa watu hawa wawili, Boko na Mzamiru wamecheza fyongo lakini anakua mzito sana kufanya...
Ndugu zangu wapenzi wa michezo katika jukwaa hili;mimi nishabiki wa dar es salaam young african tanzania dammm
Lakni kuelekea game ya leo kati ya watani zetu mikia fc au mo fc ni vema nikatoa...
Nyota wa Kikapu nchini Marekani LeBron James amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na Los Angeles Lakers, mkataba wenye thamani ya ($85 million) ambao utamuweka kwenye timu hiyo hadi msimu wa...
Wapenzi wa ndondi, leo ni siku nyingine dunia inashuhudia pambano jingine kali la kufungia mwaka kati ya hawa mafundi wawili wa uzito wa 'welterweight'; Errol Spence ambaye ni bingwa, na Danny...
Kwanza niwaze hongera sana Simba kwa kufikia hatua ya pili ya mitano, baada ya kuwatoa Nigeria, sasa mnaenda kukutana na timu ngumu, msibweteke.
Naomba mkajitahidi angalau muwafunge kwao hao...
Kupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.
Nauliza tu kwenu wanasiasa kitendo hiki...
Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali Kuliko Wote Mwituni Jumamosi ya leo Disemba 5, 2020 watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kupapatuana na Plateau United, kutoka nchini Nigeria kwenye mchezo wa...
Nimapenzi makubwa sanaa yalipo kwenye mioyo na mashabiki wakereketwa wa club yetu ya wananchi kutoka nigeria...hakika meza itapinduliwa kibabe sanaa jumamosi
Daima mbele nyuma mwikoo
Nyie Simba shukuruni mtacheza na Platinum ya Zimbabwe. Kuna Platinum ingine Africa ya Kusini kwa mzee Madiba mngepangiwa huko huyu dogo msingerudi nae, angebaki huko huko. Hela yangu ya kiingilio...
Kama kuna wajinga nchi hii ni utopolo ,hizi mechi za kimataifa tumewabeba ,kuna video kwenye mitandao wameenda kuwapokea planteau airport huku wakiimba Planteu! Planteu! Simba underdog...
Simba mnatia huruma sana.
Mnataka tuwape baraka, tuwashangilie then mkishinda muanze kututukana na kutuita majina ya ajabu!
Jana tumewapokea kwa kishindo Plateau na leo tutakwenda uwanjani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.