Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Pata updates za mechi hii ya friendly inayochezwa uwanja wa Taifa mapinduzi day 12/1/20121. === Both teams were using the game to prepare for the Chan competition to be held in Cameroon Tanzania...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Leo Yanga wakitwaa ubingwa Simba watamfukuza kocha na watabakiwa na nani? Atakae ongoza Benchi la Timu hiyo!
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Hawa jamaa nilishuhudia wakipigwa 4-0 last week na kutolewa kombe la shirikisho ila wanahitaji support kali watapanda daraja kitendo ambacho Geita Gold wamekishindwa miaka mingi,wapewe sapoti...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa anayefuatilia michuano ya Mapinduzi Zanzibar atakuwa shahidi wa hili,post match interview kwa makocha,hasa mfano wa yule wa Azam,George Lwandamina anayetumia lugha ya malkia...
14 Reactions
30 Replies
3K Views
Kamati ya rufaa ya nidhamu ya TFF leo imemfungulia wakili, Damas Ndumbaro aliyekuwa amefungiwa miaka saba kujihusisha na masuala ya soka Huku rais wa TFF hatma yake ikiwa haijulikani hadi july 30...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Huu utakuwa uzi rasmi wa taarifa zote kuhusu mapinduzi cup 2021, michuano inayofanyika pale Unguja, Zanzibar kwaajili ya kusherehekea miaka 57 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar. Leo siku ya...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
DROO ya mashindano ya kimataifa, kombe la shirikisho na Ligi ya mabingwa Afrika imefanyika mchana wa leo huko nchini Misri na wawakilishi wawili wa Tanzania katika mashindano hayo wametambua...
8 Reactions
98 Replies
10K Views
Nimepata tetesi kuwa kuna timu ya watu wa Yanga waliojipanga kufanya matukio ya kuchafua taswira ya mpira wa Tanzania hususani wakati Simba wanacheza. Tunaendelea na uchunguzi kwani kwa taarifa...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Ni vyema wanasimba wenzangu tukaanza kujiandaa kisaikolojia. Intelijensia yetu imefanikiwa kufika hadi Hotelini na kufanya udadisi katika lugha ya ki ZIMBABWE [emoji1269] . Wachezaji wote wa...
5 Reactions
108 Replies
9K Views
Huyu Kitenge Hapa akajibiwa na Haji Huyu naona hafai hata kuchambua rede. Akachambue tembele
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Sangoma atinga uwanjani, dah ebu cheki hii video hapa chini. Sangoma
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Michezo miwili ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi imepigwa leo hii katika Dimba la Amani visiwani Zanzibar. Mchezo wa awali uliwakutanisha miamba wa michuano hiyo Azam FC dhidi ya Yanga...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Leo ni mechi ya pili mfululizo namuona huyu kipa wenu Mapepe asiyetulia golini akifanya vituko na kuigharimu timu. Balola ni mkurupukaji na asiyejua muda gani afanye nini, muda gani asifanye...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Nasikiza mechi ya utopolo na Azam hapa kupitia UFM dah mtangazaji anajitahidi ila mchambuzi bwana Macha hapana kwa kweli. No nafkiri kuchambua mchezo unaoendelea ni kipaji kwelikweli na kujua soka...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mpira umemalizika kwa matokeo kuamuliwa kwa penati ( Yanga 4- 3 Azam) Yanga waneonyesha kiwango cha hali ya juu sana cha mchezo katika mechi ya leo Dakika 90 timu zote zilitoshana nguvu ya bao...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna shangwe kubwa mtandaoni kutoka kwa mashabiki wa deportivo la utopolo baada ya picha kusambaa mtandaoni ya mchezaji aliyevalia jezi ya Wolves akisaini kandarasi na team hiyo ya jangwani...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Yanga mmesikia hii? Shafiq Batambuze amerudi Singida United na atacheza daraja la 3. Nazani hii imetokana na athari ya Covid-19 ambapo ligi nyingi zimesimamishwa. Najiuliza hivi Yanga wanalijua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yanga SC labda mkamsajili Chama wa Tandale kwani inasemekana hapo pia kuna Njemba moja nayo inajiita Clatous Tandale Chama. Mmeumbuka! Taarifa: ShaffihDauda na Mwanaspoti
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu, Kama mliangalia kwa umakini Azam TV walijiepusha sana na picha ambazo zingeweza kutumika kama ushahidi wa matukio muhimu ikiwemo yule mganga feki na paka! Huu ndio uzalendo sasa! Mambo ya...
16 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…