Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

MJUE DI MARIA Angel Fabian Di Maria (alizaliwa 14 Februari 1988 huko Rosario, Argentina) ni mchezaji wa soka ambaye alichezea Paris Saint German [PSG] ya Ligi daraja la kwanza na timu ya taifa ya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Salaam: Mashindano ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya kwa hatua ya makundi yanaanza rasmi leo kwa mechi mbalimbali kupigwa viwanja tofauti. Ni timu ipi huenda ikaibuka mshindi kwa...
4 Reactions
100 Replies
8K Views
Hello Tanzania na Ulimwengu kwa Ujumla... Karibu katika Patashika ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL ) Jumamosi ya leo November 7, 2020 kunako Uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Yanga SC kutoka mitaa ya...
7 Reactions
207 Replies
17K Views
Bruno Fernandes sasa amehusika moja kwa moja kwenye magoli 23 katika mechi 21 za Ligi Kuu, wastani wa goli kila dakika 76.6 Katika mashindano yote, amefunga goli 18 na kutoa assist 13 katika...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauliza tu hii imekaaaje? Mechi nyingi waandishi wa habari wengi na hata pia watu maarufu hukaa upande wa Yanga? Ambapo huwa mpaka siti za wanaolipia VIP A wanakosa siti. Pamoja na kutengewa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Toka kipindi cha kwanza hadi mpira unaisha naona comment nyingi zikiwa zinaelekeza lawama kwa wachezaji Mzamiru Yasin na John Bocco Napenda kuuliza hivi ni nini kosa lao?Maana huwa wanajituma...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Na Brayan Nyanda Baada ya mechi ya watani wa jadi iliyochezwa jana kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa sare ya goli 1-1 Aliibuka mmoja wa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya simba na...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama tuliona wachezaji wazawa hawafai kwa namna fulani, now it's a high time to bring in professional referees kwani hawa wazawa wamekuwa ni kizungumkuti. Mechi ya derby ya Simba na Yanga ijayo...
2 Reactions
8 Replies
860 Views
Bruno Fernandez amewasili Man Utd januari hii, na mpaka sasa ameshawaacha wale aliowakuta mbali sana, impact yake katika EPL na Man Utd imekuwa kubwa sana yaani ya moto[emoji91][emoji91][emoji91]...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Msidanganyike na asiwadanganye Mtu 85% ya Mechi ( Derbies ) za Simba SC na Yanga SC nchini huwa zinachezwa sana nje ( namaanisha Kishirikina ) 10% Kuhonga Wachezaji au Waamuzi na 5% ni Ufundi...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeumia sana kwa kitendo cha jana. Pamoja na Simba kutokuwa na washambuliaji wao Mahiri bado wanafunga ktk wakati ambao tuliamini tumeshinda. Mimi ni Mwanayanga ambaye huwa siumi umi maneno...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mungu buana sijui kwa nini ameliweka jambo hili namna hii..kwamba Yanga Imepata sare kwa penati.Achilia mbali issue ya penati ile kuwa ilikuwa halali au la.?....manusura ni ile penati...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa Upande Wa Simba Niwe MuwAzi Kabisa Sina Imani na Huyu Mzee anaitwa HANS Pope, Nafikiri Huyu Mzee Yupo Pale Kwaajiri Ya Kuiharibu Timu. Hawa Ni Wazee ambao Umri umeenda sana na Akili Zimekwisha...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Penalty waliyopewa Yanga si halali kabisa na huku Simba wachezaji wetu wakichezewa faulo ndani ya 18 na mwamuzi anapeta. Kulikuwa na sababu gani kuamuru adhabu ya penalty bila kuwa na uhakika ama...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Kesho matokeo Simba tunawapiga Yanga goli 3 na wao watapata goli moja ya utata. Mwana Jangwani yeyote alete mwanasheria Simba wasipopata goli 3 au zaidi nifungwe jela miaka 5, Yanga wakijipapatua...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimemsikia Kocha Mkuu Sven kuwa Wachezaji wetu muhimu, mahiri na tegemezi kabisa katika Kuamua 'Ushindi' Kiungo Clatous Chama na Washambuliaji Meddie Kagere na Chris Mugalu Kesho 'watakosekana'...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Homa ya Kariakoo Derby imekuwa kubwa, ukipita katika viunga mbalimbali vya Dar es Salaam, habari kuu ni mechi hii! Hii ni mechi ambayo ni kubwa katika nchi, Yanga wanaelekea katika mechi hii...
2 Reactions
50 Replies
3K Views
Na kinachonishangaza ni kwamba inanyesha tu maeneo baadhi na nimeambiwa baadae itanyesha Regency Hotel kisha Jangwani Bwawani na ikifika tu Saa 10 jioni itanyesha kwa muda pale kwa Mkapa Stadium...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Wachezaji wa Simba wote tumewafunga matofali miguuni. Kipa ndo mbaya zaidi amevalishwa miwani ya mbao. Mtaalamu katuambia hamna shida refa tu naye awe muelewa. Hili pambano tumejipanga nalo sana...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
First Eleven ya simba Vs Yanga hapo kesho November 2020. 1. Aishi Manula 2. Salum kapombe 3. Mohamed Hussein 4. Pascal wawa. 5. Joash Onyango. 6. Jonas Mkude 7. Luis Misqueson 8 Muzamiru...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…