Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sheria 17 za Soka na Ujio wa Teknolojia Viwanjani......... Katika soka kuna sheria mama 17 zinazounda mpira wa miguu (soka) na kanuni zake nyingi zinazozitafsiri. 1. Uwanja 2. Mpira 3. Idadi ya...
2 Reactions
4 Replies
11K Views
Leo tena timu ya wananchi wanaibuka na ushindi wa saba katika VPL hapo kanda maalumu kwa kina Matiku,Marwa,Mwita,Mwikwabe na sasa tunabanana hapo kileleni na wale wauza ice cream wa Chamazi,mambo...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Guardiola anasisitiza kuwa muda wake katika klabu ya Barcelona umekwisha baada ya mkufunzi huyo wa Manchester City kuhusishwa na uhamisho wa kurudi katika mabingwa hao wa Uhispania. Mgombea wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sheffield United ikiwa nyumbani imelazimishwa kichapo cha goli 1 kwa 0 na vijana wa Pep Guardiola, Manchester City katika Dimba la Bramall Lane Huu ni mwendelezo wa matokeo mabaya kwa Sheffield...
0 Reactions
1 Replies
605 Views
Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara VPL, kuendelea leo Jumamosi 31, Oktoba 2020. Leo zitapigwa mechi nne(4) katika viwanja mbalimbali.Hii ni baada ya hapo jana kinara wa VPL 2020/21 wanalambalamba...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Chelsea imeendelea kujihakikishia nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kuipiga Burnley bao 3 kwa 0 kwenye mchezo ambao Burnley alikuwa nyumbani katika Dimba la Turf Moor...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo Sasa. Bashiri mechi hizi kwa stake ya 2000 au zaidi sisi tutakupatia bonus yako chap. Hapa Madrid, Liverpool, Bayern wazee wa 7 na Intermilan ugumu wa mambo unataka mwenyewe. Kwetu ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
USIKU WA VITASA: Vitasa kutoka PTA Sabasaba ambapo wababe Twaha Kiduku na Sirimongkhon watashuka ulingoni kuzichapa, hapa utavisikia tu paaaah paaah paaaah Bendera Chuma Mlingoti Chuma Records...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Wakuu Salaam: Huyu mchezaji kafanya nini mbona maneno mengi sana? Siyo kwa kudhalilishana huko hadi kupelekwa timu ya vijana!
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Masau Bwire Afisa habari wa Ruvu Shooting leo atakuwepo kwenye kipindi cha Head Quarter katika kituo cha EFM. Baada ya jana kuwashughulikia Simba baada ya kuwasambazia kichapo uwanja wa Uhuru...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shirikisho la kandanda Afrika Caf limelazimika kuarisha fainali ya ligi ya mabingwa iliyokuwa ichezwe Novemba 6 kwa sababu zisizoweka kuepukika. Kulingana na taarifa ya Caf kuahirisha huko...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana watu wengi walishangazwa na maamuzi ya refarii kuipa Yanga penati iliyo nyepesi nakupelekea kuonekana Yanga imebebwa ili wasazishe. Jana washabiki wa Simba walipovuka sana tukio hilo lakini...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Beki na nahodha wa zamani wa Man Utd, Gary Neville ametaja kikosi chake bora cha Man Utd bila wachezaji wa Kiingereza! Mchezaji aliyewashtua wengi ni Bruno Fernandez ambaye ametua Man Utd January...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Miaka mitano iliopita kiungo mshereheshaji wa zamani wa baadhi ya vilabu vya Soka barani Ulaya ikiwemo AC Milan Ronaldo de Assis Moreirra maarufu kama Ronaldinho Dinho Gaucho alipata ajali baada...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Utabadilisha makochaweee kuanzia Julio, Kibaden,......Omog lakini Simba itafungwa tu. Mfano, Tambwe aliachwa Simba akiwa mfungaji bora wa ligi, Niyonzima lazima acheze Simba hata kama ujanja wake...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Habarini za mchana wakuu, Mimi kwa ridhaa yangu bila kushawishiwa wala kushurutishwa na mtu nimeamua kufanya maamuzi sahihi nikiwa na akili timamu kuwa NIMEACHA RASMI KUSHABIKIA YANGA kutokana na...
14 Reactions
103 Replies
9K Views
Mpira ni magoli. Hii dhana ya kucheza entertaining football naona ni ya kijinga sana.Maana inategemea vitu vingi sana ili ifanikiwe. Mfano mechi ya jana na Prisons. Prisons wamecheza Mpira wa...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Mabingwa wa Nchi, Simba Sports Club "Mnyama" leo atakuwa uwanja wa nyumbani wa Uhuru kujiuliza dhidi ya Ruvu Shooting wa Mlandizi, Pwani. Mechi iliyopita mabingwa hao wa Nchi ilikung'utwa bao...
1 Reactions
147 Replies
14K Views
Hapo chini kwenye picha hiyo, kushoto ni Thobias Kifaru ambaye ni msemaji/mhamasishaji wa timu ya mpira wa miguu ya Mtibwa Sugar ya huko Morogoro. Kulia ni msemaji wa timu ya mpira wa miguu ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Endeleeni tu 'Kuwanyamazia' hawa 'Waamuzi' wenu na 'Maupuuzi' yao Uwanjani kama huyu wa Leo kati ya Yanga SC na KMC ili Siku akina GENTAMYCINE wenye 'Historia' za 'Kuwakung'uta' hawa 'Waamuzi'...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…