Champions bonus
Inahusika kwenye usiku wa mabingwa kuanzia 2000/= weka ubashiri wako kwenye mechi za Uefa na Europa, sisi tutakupatia Bonus yako kibabe.
Shinda zaidi.
#cashout
#princessbet...
Ni kiungo wa nkana crispin mulenga kafariki jana kwa ajali kacheza juzi meci ya charity shield dhidi ya indeni team iliopanda daraja ambayo anachezea mcheaji wa zamani wa utoplo fc Juma...
Yule shabiki Maandazi yule ametusababishia matatizo makubwa sana, yeye mjinga sana, yeye aliiita timu yake UTOPOLO FC, ona sasa jina limetugeukia wenyewe! na yeye kapotea katuachia balaa
Yanga ni...
Kutokuwepo kwa Chama limekuwa ni pengo kubwa katika club hiyo na kuwafanya wachezaji kucheza bila ya kujiamini.
Hili likiendelea litapelekea kwa Simba kuwa na msimu mbaya.
The pitch was like a battle ground where numerous wreck less playing went unpunished. We witnessed all kind of martial arts techniques like dangerous tackling, kick boxing, jiu jitsu, wrestling...
Leo hii bodi ya ligi nchini(TPBL)imetangaza kufungia UWANJA wa Benjamin Mkapa kwa muda USIOJULIKANA hadi hapo matengenezo yatakapo kamilika..hivyo mechi zote za msimu2020/21 zilizopangwa...
Kwanzia Leo taarifa rasmi za simba sc za lugha ya kingereza zitatoka kupitia official page yao ya lugha hiyo itakayo julikana kama "Simba sc English"
Utopolo mpooooo?
Mambo ya Barbara Gonzalez...
Leo kuanzia saa 1:30 usiku kutakuwa na mtanange mkali Kati ya Chelsea na Man United mchezo utachezwa Old Trafford.Kwa utabiri wangu Man United ataibuka kidedea shida kuu ya Chelsea hawana kocha...
Baada ya pambano la Israel Adesanya na Costa kufanya vizuri sana kwenye ulimwengu wa 'combat sports' kwenye UFC253, kesho tena tunatarajia kushuhudia pambano ambalo pengine ndio kubwa zaidi kwa...
Hapa naangalia Aston Villa anavyotoka jasho dhidi ya Leeds United.
Hawa vijana wa Marcelo Biesla ndio wananiburudisha kuliko timu yoyote EPL kwa sasa. Japo mie shabiki wa Manchester United ila...
Nimemkumbuka huyu mtu --Ander Herrera -- alikuwa mmoja wa wachezaji ambao walipumua na kunywa maji ya bendera ya United haswaa!! na walionyesha mapenzi sana kwa timu kila anapoingia uwanjani...
Kwa kweli mie nakereka mno kumsikia huyu jamaa kwenye vipindi vya michezo radio E FM ya Dar.
Huyu ndo anajifanya mchambuzi wa michezo hasa soka hapa nchini lakini hata neno jepesi tu la Kiswahili...
Karibuni tufuatilie mechi hizi pamoja
Tushuhudie vigogo hawa watakavyofanya hii Leo
Utaburi wangu
Prison 0- 3 Simba
Yanga 1- 3 Tanpolis
OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE @Forteleza na wengine toka...
1: WHAT A MATCH[emoji119] Kimbinu, Kiufundi, wachezaji na makocha walijitahidi sana kuthamini viingilio vya mashabiki. Mechi ilikuwa ya wazi na Timu imepata matokeo
2: Mwanzo mzuri Cedric...
Kuanzia kocha, kipa mpaka foward
Wachezani watoe kutoka club yoyote duniani ili kuwapata first 11 yako. Yaani namaanisha changanyachanganya wachezaji. Wasitoke timu moja.
Nilikuwa namjua mchezaji wa Man city anaitwa Mendy ..halafu nikaona Real Madrid Wana ndugu yake kama sikosei anaitwa Mendy pia..
Mara nikaona Leicester Wana Mendy pia Juzi nimeona kipa chelsea...
Bernard Morison ni Mali ya Simba, TFF wanachelewesha sakata kwa Maksudi, Mkataba wa Morison Simba waliupokea wao TFF halafu sasa hiv wanauchunguza tena hapo walivyotoa kibali kuwa Morison ni...
STORI YA KUFURAHISHA YA MAREHEMU SYLLERSAID MZIRAY!
Syllersaid Mziray alikuwa kocha wa Simba mwaka 1986 wakati huo mwenyekiti wa Simba ni Emmanuel Makaidi na katibu mkuu ni Jimmy David Ngonya...
Tusisubiri mpaka mtu afe ndio tumpe sifa.
Kwa heshima na taadhima, leo nimeona tumpe sifa zake mtangazaji bora wa mpira hapa Tanzania kwa upande wa televisheni, ndugu Baraka Hudson Mpenja wa Azam...