Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa wadau wanaifahamu vyema haya mambo,nauliza kule utube,naona kuna klipu za video zikionesha mapigano kadhaa ya bruce lee na wapiganaji wa kick boxer na maboxers wengine,hivi hizo ni video za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ndio ratiba baada ya mechi za kimataifa, ikumbukwe Uefa ndo inaanza rasmi, Man Utd atakuwa na ratiba hii inamkabili, unadhani Man Utd ataambulia ushindi kwenye mechi ngapi kati ya hizi?
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Aston villa walitakiwa kucheza na Manchester united mechi ya kwanza kwenye ligi, Hawakucheza kutokana na Manchester united kuongezewa muda wa mapumziko pamoja na Manchester city Am sure kama sio...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi ni collage gani nzuri inaetoa online shortcourse za ukocha wa football kwa ulaya lakini ziwe certified? Na je gharama zake zipoje? Naomba mnisaidie aisee niwe kocha nichukue kibarua cha mtu...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Sorry wadau mtu akitaka kujifunza na kua certified na official football coach anapaswa kufuata atua gani?
1 Reactions
2 Replies
836 Views
Mwandishi uchwara aliandika hivi Beno akamchana
5 Reactions
94 Replies
8K Views
Aston Villa haina hadhi inayosababisha Mimi nivae jezi yake. Nilinunua jezi yake kwasababu ya kijana wetu Mbwana Samatta kuwa pale. Sasa Mbwana hayuko najisikia vibaya kuivaa ile jezi ambayo...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Aliyekuwa kocha wa Mtibwa sugar amejiuzulu nafasi yake na kuamua kuhamia timu ya Ihefu Fc ya mbarali. Je, unaonaje huko kuhama? Zuber kapatia ama kapotea?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ushakutana na zile meme wanasema "tunaangukia keki ya harusi ya ex wako kwa bei nafuu" [emoji23][emoji23] Kwa tafrisi ya haraka ni wengi wetu hatupendi maex wetu watusue ..ni tunatamani wasotee...
2 Reactions
0 Replies
505 Views
Kitendo Cha Westham kumsajili jana Said Benrahma kutoka Brentford fc kwa mkopo kimenivutia Sana nakuanzia sasa HIV nitakuwa mfuatiliaji mzuri wa Westham. Huyu mwamba (Said Brentford) nilikuwa Ni...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
"Biashara United inaonekana imejipanga msimu huu ikiwa inajua timu 4 zitashuka mwisho wa msimu na kuna ushindani mkubwa kule juu ambapo kila mmoja anataka kushinda mechi zake. Hawajafungwa...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni kama mechi isingeairishwa muda huu utopolo wangekuwa kimya wamechanganyikiwa na kipigo ambacho wangepata hakuna cha calinyo wala mwamnyeto wangekuja kuibuka baada ya wiki mbili na sababu kibao...
0 Reactions
4 Replies
936 Views
Karibu ujionee pira biriani ,pira ngamia hadi timu flani zimeamua kuhama nchi
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Usiku wa tarehe 17 october 2020 kinanuka pale MGM grand las vegas kati ya wababe wawili mmoja kutokea Ukraine wanamwita VASYL lomachenko na dogo fulani hivi wa makamo aliyekulia marekani mwenye...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Mchango wa Mbwana kwenye timu ya Taifa lazima uvae miwani ili kuuona, Nini kinamfanya awe ndiye captain wake siku zote na Mara zote?
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari JF, Huu Ni kwa ajili ya ku share picha, taarifa na matukio mbali mbali kuhusu Riadha. Michezo kwa afya, Ajira na kudumisha urafiki, Leo Niko Atlas School Madale Campus, Njoon tugonge...
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Ninafarijika kwa Startimes kutuletea La Liga, ivo tu.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tukiwa tunaongoza ligi after 3wins and 1 draw,kesho tunaenda kuongea point 3 muhimu kwan soton hawana uwezo wa kuchinja jogoo....!Mliotubeza baada ya 2-2 draw v swansea napenda kuwajuza swansea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kufuli la chuma, ufunguo wa Chuma na Dirisha la chuma. Kila kitu kimefungwa tayari tangu ile mida ya usiku wa saa sita na dakika sifuri usiku wa kuamkia leo. Dirisha kubwa la usajili lilifungwa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu Salaam: Unakumbuka hili Game? Uliwahi licheza? Tupe mbili tatu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…