Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hawa wenzetu wamekuwa na vurugu na kuzomea badala ya support ,wamekuwa washamba sana kwenye soka na kusababisha vurugu . Mechi za simba za kimataifa hapa nyumbani watangaze kwamba huingii...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine timu Yanga imeendeleza WIMBI la ushindi baada ya kuikung'uta bila huruma timu 'NGUMU' kutoka ZNZ ya KMKM. Sifa zimwendee Tonombe ambaye leo amekua mwiba MKALI baada ya kupasua...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Soka la Bongo lina viroja sana. Watu waliokosa ustaarabu hadi kung'oa viti uwanja wa Mkapa leo wanadai Yanga ifungiwe kwa vurugu za mashabiki wake. Waanze kuangalia kwenye mboni ya jicho lao. Na...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna wanaosema ni bora aende Uturuki akapate nafasi ya kucheza na kuna wanaosema kutokana na umri wake kiwango chake kimeshuka na kinakwenda kushuka zaidi huko Uturuki bora angebaki tu EPL...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Ni mara ya pili leo baadhi ya wahuni kutoka mashabiki wa utopolo wamewafanyia fujo wenzao wa Simba waliokwenda kuangalia mechi. Ninalaani vikali vitendo hivyo na ninaomba mamlaka ziingilie kati...
2 Reactions
64 Replies
5K Views
Kama tunavyofahmu asilimia 80 ya viwanja vinavyotumuka kwa ligi kuu Tanzania VPL ni mali ya CCM baada ya kuvibinafsisha toka kwa umma mara baada ya mfumo wa vyama vingi kuingia nchini. SINA...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Simba wameitwa 5 hadi sasa Miquissone, Msumbiji Chama, Zambia Bwalya, Zambia Kahata, Kenya Onyango, Kenya Namungo 3 wameitwa Burundi Azam pia wameitwa kadhaa Ila Yanga hadi sasa 0
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Tayari mnaendeleza kufungia viwanja mlianza na Gwambina sasa mmesha shika kasi. Hiyo haitakuja kuwa dawa ya viwanja viwe vizuri sehemu za kuchezea pamoja na vyumba vya kubadilishia nguo Never...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimeangalia mechi zinazohusu timu yangu ya Simba, Simba walicheza na Ihefu Mbeya halafu wakaja kucheza na Mtibwa Moro baadae Dar es salaam Simba itaenda kucheza Sumbawanga na Prison baadae itaenda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mechi zote ambazo Klabu yangu 'pendwa' ya Simba SC imekuwea ikicheza hasa hizi zinazoitwa 'Mechi Mazoezi' tukishinda tu utaona katika Kurasa mbalimbali za Mitandao ya wana Simba SC na hata Klabu...
11 Reactions
82 Replies
7K Views
Kwangu mimi usajili bora uliofanyika ni usajili wa Luis na Bwaliya.Baada ya mechi ya jana dhidi ya Gwambina nmekuuliza maswali mengi sana juu ya kiwango cha Morrison. 1. Huyu ndo alikuwa nyota wa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Vipi wale waliotoa kauli za kwamba Yanga inashinda kwa tabu kwenye uwanja wa mkapa, akienda mkoani hawaambulii kitu.
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Nampongeza sana Makaka kwa kazi nzuri. Amepangua goli kama 7 hivi
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Cristiano Ronaldo added to his highlight reel with a leap out of the NBA playbook and a stunning header that helped Juventus sink Sampdoria. Cristiano Ronaldo amefunga bao la aina yake baada ya...
21 Reactions
60 Replies
9K Views
VAR imekuwa kituko Leo nchini England baada ya kutoa penalty baada ya kipenga cha mwisho, wakati Brighton and Hoves walipowaalika Man United. Hivi vituko vya marefa vipo nchi 3 tuu,Vpl ya Tz...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna kabwana mdogo nimekaambia Yanga ikishinda namnunulia bia moja na ikifungwa basi aninunulie hata fanta orange ntainywa hivyo hivyo, kalivyo kajeuri kasema "broo angu kama vipi tuweke bia 2 kwa...
1 Reactions
4 Replies
872 Views
Kwa namna Beki yetu haipandishi mashambulizi mbele, naomba mrudisheni Juma Abdul. Nimejikuta nawakumbuka hawa wachezaji maana walikaa hata mda wa shida ya pesa.
3 Reactions
62 Replies
7K Views
Huwa mnapoonyesha Mechi kumekuwa na timing mbovu pale mnapotaka kurudia tukio fulani kama la faulu, kosakosa ya goli, Golikipa kuokoa mpira wa hatari n.k. Sidhani kama ni mara zote kuna ulazima...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Haya haya leo ni leo kwa wale wazee na wabibi wa mchezo wa kupigana kutumia chochote kiungo kuua mwenzako (mixed martial arts) kihalali UFC leo tupo fight island Abu Dhabi huko. Adesanya hajawahi...
1 Reactions
7 Replies
900 Views
Hongera zenu Gwambina kwa kuonyesha mchezo laukama nyie ni wageni kwenye league ukilinganisha na wale jamaa wa kuanua kinu kila wakipata mpira. Keep it up na mjitahidi mbakie kwenye league na...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…