Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tatizo la wapenzi na mashabiki wa Simba kutoweza kuingia uwanjani kutokana na malfunction ya mfumo mpya wa ulipiaji wa tickets kwenye uwanja huo limejirudia tena leo na kuwafanya mashabiki wengi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Mihimili mikuu ya karate ni: Kihon,Kata na Kumite. Ujumbe: Karateka usiogope kutojua kwako kata nyingi jidhatiti kwnye Kihon na Kumite utasimama kama Bruce Lee.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo saa 18:30 kuna mechi ya Chelsea na Liverpool halafu saa moja mechi ya Simba na biashara. Nina hamu kuona Simba anafanyaje leo lakini itabidi tu nilazimike kuangalia mechi ya Liverpool. Huu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hatimaye Timu ya Yanga imegusa nafasi ya Kuongoza msimamo wa ligi ya VPL, jambo hili halijawahi kutokea kwa timu ya Yanga takribani miaka Miwili nyuma. Pongezi kwa Timu ya Yanga japo lolote...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Baada ya kuvinjari kileleni Kwa masaa kadhaa kwenye ligi Ya VPL hatimaye Yanga yaporomoka tena mpaka nafasi ya 4, hii ni baada ya S.S.C kushinda 4G, hata hivyo pongezi kwake kocha mpya Zlatko...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeangalia mpira wa Kagera Sugar mechi mbili za mwanzo kwakweli wana uwezo wa hali ya juu, wachezaji wana morali ya mchezo, wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu na wanaonekana kabisa wapo ground...
3 Reactions
76 Replies
7K Views
Naangalia hapa mechi kati ya RB Leipzig na Mainz, lakini lugha inayotumika ni kiswahili, ukibadilisha ili kupata lugha ya mabeberu inakuja lugha nyingine. Namuona hapa Yousuph Poulsen mwenye asili...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
1.Dominic calvert-Lewing (Everton)-30+ 2.Piere Aubameyang (Arsenal)-25+ 3.Mo salah (Liverpool)-25+ 4.Harry Kane (Totnaham)-25+ 5.Marcos rashfod -(Man u)-22+ 6.Dan ings (soton)-20+ 7.Vardy...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hakika nisiwe mnafiki mimi kama mwanachama na mshabiki kindakindaki wa timu ya Wananchi au kwa jina lingine mabingwa wa kihistoria hadi dakika hii sijaona cha maana walichofanya timu yangu...
7 Reactions
48 Replies
4K Views
Dah Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
496 Views
kwangu mimi naona huku ni kuchemka kabisa kama EPL imeshindikana ni bora tungebaki Spain, na la liga yetu, ambapo walau kuna mabingwa wawili, Barcelona na Real Madrid, kuliko huku ambapo unaona...
4 Reactions
43 Replies
8K Views
Je, imetokeaje mpira umetoka nje kisha ukarudi ndani na beki akaushika inakuwa penalty? Hakuna faida yoyote kuibeba yanga kwenye mechi ya kirafiki
2 Reactions
19 Replies
2K Views
mbona yanga inakiuka kanuni ligi na mko kimya Na nyie vodacom na gsm mmekosa wekedi mpaka kukubali nembo zenu kuharibiwa Sent from my SM-G530T using JamiiForums mobile app
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wana Jamiiforums Baada ya kuifunga Mbeya city, leo mabingwa wa kihistoria wa Tanzania tunaenda kucheza na Kagera sugar katika uwanja wa kaitaba mkaoni Kagera. Nawakaribisha mashabiki wa...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Nahodha wa klabu ya Aston Villa ya nchini Uingereza Jack Grealish amesaini mkataba mpya wa miaka mitano na klabu yake ya Aston Villa utakaomfanya asalie klabuni hapo Hadi mwaka 2025. Jack Amekuwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau karibuni tujaribu kuchambua uzuri na udhaifu wa marefa wa VPL na wale wa EPL. Kwa vile hapa nchini kumekuwa na malalamiko kuwa kuna watu wanabebwa. Pia huko EPL kumekuwa na malalamiko juu ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tumekuwa tukishuhudia michezo mbalimbali ikifanyika kwenye sub standard sports arena katika nchi yetu. Na hii inatokana na labda kutokuwa na financial resources au ni utashi tu wa wahusika wetu...
2 Reactions
0 Replies
931 Views
Salaam Wananchi, Kwa Masikitiko makubwa Mimi nikiwa Yanga kindakindaki sikubaliani na hili, Yani Simba watengenezewe Jezi halafu sisi tutengenezewe Vijora? Kwa Vijora hivi sisi hatukubaliani...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…