Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Namnukuu Tukiacha ushabiki, kwa sasa Simba ina kikosi imara ndani ya uwanja na nje ya uwanja. Yanga hawana kikosi imara ndani ya uwanja wala nje ya uwanja. Yanga kutaka kushindana na Simba kwa...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
Kila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba? Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria...
8 Reactions
58 Replies
6K Views
Huenda hatumtazami Mikel Arteta kwa jicho poa,ila ni kocha mmoja wa viwango sana. Hanawachezaji wa kiwango cha juu sana, ilaamehazana kuitengeza timu yahe ili kupata uborawa kila mchezaji...
5 Reactions
5 Replies
964 Views
Sio uongo vilabu vya Simba au hata Yanga vina Waswahili wengi sana ambao % kubwa shule ni zero na wanacho penda ni kusikia wakikandiana, na kutambiana wachezaji, kutambiana makocha, ndo maana...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Sipati picha nyomi kama hii ikisheheni kwenye mkutano wa Chama cha Siasa hali itakuwaje huko mitandaoni. Je, mapenzi ya vilabu vya mpira hasa Simba na Yanga yanazidi yale ya vyama vya siasa...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Simba SC ya Tanzania ndani ya PES CAF, zipo teams 51 tu za africa ,ikumbukwe simba ni ya 16 afrika kwa ubora hivyo ni lazima iiingie kwenye issue hiyo
2 Reactions
31 Replies
10K Views
Kadi nyekundu wamepewa kiulaini sana na imewaua na kuharibu ladha ya mpira Tunataka kuona ubora wa wachezaji wetu na timu yetu yanga Hatuwezi kuona ubora kwa usahihi kwa kucheza na timu pungufu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naona mnacheza rafu nyingi na refa hawapi kadi.Matokeo yake mnasababisha wageni wawe na hasira na kupelekea mmoja kupewa kadi mbili za njano. Hivi mnampango wa kupima wachezaji wenu kweli?
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimecheka mno kumbe ndio hivi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimepita nimekuta taarifa iliyotolewa na Bumbuli kuwa Yanga inakishikilia kibali cha kazi cha Benard Morrison mpaka swala litakapoisha. Sasa nikashangaa liishe vipi wakati lilishaisha TFF...
2 Reactions
86 Replies
10K Views
Habari wadau Inasemekana gsm wamegoma kutoa jezi mpya mpaka za zamani ziishe..
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Kwanini hapa Tanzania boxing iwekwe saa 8 au saa 10 usiku/alfajiri? Watu wengi wanaangalia ngumi kwenye kumbi na vibanda umiza na wale wanaokwenda kuhudhuria mubashara mapambano hayo wanatoka...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Naam Leo ndio ile siku tuliyokuwa tukiisubiri kwa hamu ya ufunguzi wa ligi pendwa barani ulaya, maarufu kama English Premier League (EPL). Tutashuhudia mtanange wa kukata na shoka kati ya vilabu...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari yako, nakumbuka mwaka jana mwezi May nilipata bahati ya kutembelea jiji la London nilienda kwa shughuri zangu binafsi lakini nilipata nafasi ya kutembelea mgahawa mmoja kwaajili ya kupata...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Katika ukurasa wao rasmi wa twitter Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) Waliendesha zoezi la kura kujua ipi ni team giant inayovaa jezi nyekundu kwenye Bara hili la Africa. Matokeo yametolewa na...
11 Reactions
22 Replies
4K Views
Serikali imesema Vilabu vinaweza kuwatumia wachezaji, makocha na wafanyakazi wengine ambao ni raia wa kigeni katika kipindi hiki ambacho Ligi Kuu haijaanza. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Sera...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar jf, Niwapongeze gsm kwa kufanikiwa kumnyofoa aliyekuwa ceo wa simba hongeleni sana. Lakini pia mmefanikiwa kuzima maswali yote ya uongo wenu kuhusu kuwadanya mashabiki kwamba mmewasajili...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Ikiwa Ulaya uchawi upo basi naona moja kwa moja huyu golikipa wa Bayern achunguzwe. Japo anaweza kutetewa na wengi kuwa ni bora sawa hatukatai yeye ni bora lakini si kwa kiwango hiki cha kukosa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Sisi Liverpool Sadio mane amekosa tuzo amepewa Jordan Henderson Mzungu mwingereza. Sasa huko Man City ndo komesha. Washaamua kumjengea sanamu David Silva...na baadae Aguero akistaafu. Leo hadi...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
'Injinia' Hersi Said acha kudhani kuwa Watanzania hawafatilii mambo ya Michezo kama hao wana Yanga SC wako ambao kila mara unapenda 'Kuwadanganya' na sijui umewapa 'Sumu' gani ambayo aliyekuwa...
5 Reactions
31 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…