Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hatimaye timu yetu ya TAifa (Taifa stars) yaishinda Kenya 2-0 lakini kiwango cha vijana wa Maksimo wana kiwango au Fluke
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Timu za leo Mechi ya kwanza kwa kocha wa Spurs Juande Ramos na ushindi kwa Gunners leo utaiweka kileleni mwa Premier League hata wakti wa Xmas! Arsenal: Almunia, Sagna, Toure, Gallas, Clichy...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimemfuatilia sana na kujiridhisha huyu ni Uto anaejielewa
4 Reactions
11 Replies
380 Views
Ahmed Ally ameweka video yenye tuhuma nzito dhidi ya Young Africans kwamba wanataka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wakifanya uchawi, baadaye wakahamia vyumbani wakijichoma choma mauchafu...
11 Reactions
92 Replies
4K Views
Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African). Wajiulize tu maneno haya katika...
1 Reactions
5 Replies
314 Views
Kitendo cha CCTV camera za Azam complex kuwaumbua,kumewafanya waamini kuwa hawatatoboa licha ya kuwa na wachezaji bora. Inashangaza wao kuamua kuhama uwanja kwa sababu za kishirikina na si za...
8 Reactions
33 Replies
944 Views
Wazee wa Simba wameitisha mkutano na waandishi wa habari na kulaani mambo mengi yaliyotokana na kipigo kutoka yanga. 1. TFF wanapokea maagizo kutoka Kwa mawaziri wakiongozwa na Mwigulu...
14 Reactions
65 Replies
5K Views
“Kwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi. Sina la kuongea nae maana yeye alisema mimi ni Mwanachama tu hivyo siwezi kumtafuta nalinda brand yangu” “Tulikuwa...
8 Reactions
76 Replies
3K Views
Hata alipokosana na Simba na kuondoka sikushangaa hata kidogo. Nikajisemea tu kuwa hata huko Yanga anapokwenda hataweza kudumu. Manara anapenda sifa na umaarufu. Lakini kibaya zaidi ni Mnafiki...
1 Reactions
13 Replies
602 Views
Wanayanga sasa andaeni furaha... Na kububujikwa na machozi ya furaha. Mtafurahi nyie.... We acheni tu. Muda huu tunamalizia kumtengeneza Dube na mwenzie Aziz Ki. Kisha na Chama naye kesho zamu...
2 Reactions
24 Replies
906 Views
Pamoja na kuwa ligi hii ina timu zinazoongoza ligi hadi sasa. Kuna mechi moja tu iliyojaza watazamaji wengi. Utafiti unaonyesha mechi pia imerushwa kwenye runinga nyingi zaidi ulimwenguni. Ni...
5 Reactions
6 Replies
514 Views
Naskia jamaa wa nyuma mwiko wanahamisha makao , haya ndo madhara ya kuwa na fikra za kishirikina , Kila muda unahisi unarogwa tu na kufitiniwa. Tabia za nyuma mwiko ni kama nyuki, Kila siku...
3 Reactions
6 Replies
367 Views
Binafsi najua hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi kwenye mechi za ligi pamoja na ile ya Club Bingwa dhidi ya Al hilal ya Sudan. Swali: Kwakuwa hawa mabwana huwa hawakosi sababu, safari...
4 Reactions
21 Replies
775 Views
Wanabodi hizi ninazowapa ni za ndani kabisa. Unaambiwa Gudiola kawekwa kikahangoni usiku mnene, habari zinasema wachezaji wake wanajiboost na sindano, na sasa kashatafutiwa mbandala wake soon tu...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Haji Manara anaweza kudhani ana maadui wengi wanaomfanyia fitina, lakini ukweli ni kwamba adui wake mkuu kwa sasa ni wakati. Wakati unapobadilika dhidi yako, unaweza kushangazwa na mambo...
25 Reactions
28 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa...
12 Reactions
64 Replies
3K Views
Tathmini yangu inaonesha Aziz K hakuonekana hatari kipindi Mayele amesimama kama lone striker lakini baada ya Mayele kuondoka Combination bora ilozakiwa yaani Aziz K, Max, Mzize na Mudathir. Sasa...
0 Reactions
3 Replies
289 Views
Mimi siyo mtaalamu wa soka wala siyo daktari wa michezo. Hapa nitaweka mtazamo wangu kwa hisia tu hivyo mkiona nipo sahihi fuateni, mkiona sina hoja puuzeni tu. Nikiangalia muenendo wa viwango...
3 Reactions
13 Replies
707 Views
Set up inapangwq vizuri tu, na inawezekana siku "atakayoongea" Tutajua mengi, kwa sasa ni suala la pasenti atakayopata kutoka kwa tajiri na kila mchezaji, Manara "anawadalalia" Wachezaji wa Yanga...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
1. Inadaiwa Wachezaji Aziz K na Kibwana Shomary WALIPIGANA Vyumbani baada ya Mechi kumalizika huku kila Mmoja akimlaumu Mwenzake. 2. Kuna tetesi zinasema Mwanachama Mwandamizi Mmoja mwenye Bifu...
17 Reactions
73 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…