Singida United waliokuwa wanatajwa kwa jina la ' Wa Mochwari ' hasa baada ya kuangushiwa kipigo cha mabao 8 - 0 na S.S.C leo wamepiga chafya baada ya kuivurumisha Mbeya City 2 - 1 . Hii ni...
Kwema Wakuu,
Azam TV ndio king'amuzi pekee kwa tanzania wenye Hakimiliki ya Kuonyesha moja kwa moja Mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara, maarufu kama VODACOM PREMIER LEAGUE.
Leo Hii Jumamosi tarehe...
"Kushinda washinde #Simba wakishinda #Yanga
wameroga Yaani siku zote mchawi akishindwa
anajua amerogwa mawazo ya wachawi yanakua
ni yakichawi tu...nani asiejua SIMBA ndo timu
inaroga kuliko timu...
Ni golikipa namba 1 wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Slovenia.
Ni mmoja wa magolikipa hodari na mahiri kwasasa barani Ulaya kando ya Neuer, De Gea na Buffon.
Ila kutokana na kuwa...
Michuano ya FA ya Wanaume, Ligi Kuu Soka ya Wanaume, Ligi Kuu ya Soka ya Wanawake, Michuano ya FA ya Wanawake imesimamishwa hadi Aprili 03
Kusitishwa huko kuna husisha michezo yote katika Ligi za...
Tanzania ilikua imelitawala soka la kike la Afrika Mashariki kwa zaidi ya miaka 10 au zaidi. Kwa kifupi tulikua hatuna mpinzani si Kenya wala Uganda. Lakini miaka ya hivi karibuni wenzetu...
Habari zenu wanasports,
Kwa kuweka kando ushabiki nimechunguza na kufanya analysis Kwa timu zilizobaki mpka Jana kwenye michuano ya kombe la ulaya ngazi ya vilabu (UEFA CHAMPIONS LEAGUE)...
Mke wangu anajisikia maumivu sehemu ya juu ya papuchi. Maumivu yanaanzia sehemu ya juu ya K Kupanda juu na sehemu ya Kati ya matiti Kwa chini kidogo. Maumivu husambaa mpaka na maeneo Mengine ya...
Hatimaye yametimia,tarehe 8/3 mlibahatisha kagoli ka Uchawi,leo kimyaa ni kulala mapema,hakuna cha Morisini wala Fey Toto Kmc kapiga mtu 1-0.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni angalizo ninalolitoa kwa Timu yangu ya Simba , Tusithubutu kudharau yanga kwa sababu ya dhiki waliyonayo , tutaumia ! Inapofika siku ya mazishi Masikini wanakuwa na umoja wa ajabu sana ...
Katika kipindi hiki ambacho ligi nyingi za ulaya zimesimama kutokana na mlipuko wa Corona virus ni muda muafaka wa Dstv kujitathmini namna gani matumizi ya kingamuzi chao kiwe...
Binafsi nimelipia...
Ni balaa kubwa jaamani nahisi wachezaji wa arsenal kibao watakuwa nao maana walisalimiana hata na yule owner wa olympiacos,duh balaa gani hili huku africa si waahirishe tu hayo mashindano ya CHAn...
Vipimo vimeonesha jamaa ana corona, klabu yake imethibitisha.
======
Juventus and Italy international defender Daniele Rugani has tested positive for the coronavirus (COVID-19) and is...
Jumatano ya Oktoba 30, kipindi cha dira ya dunia cha BBC - Swahili, kwenye habari za michezo kulikuwa na habari ya mechi ya Liverpool na Arsenal...na kuandika MAJOGOO.
KUZUIA BUNDUKI?
Haya ni...
Patashika ya Ligi Kuu kuwania Taji la Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kupigwa leo Jumatano ya March 11, 2020 ambapo Mabingwa wa Nchi, Simba SC, ambao ni vinara wa VPL, wakiwa na alama 68...
Goli 4-0 ni kipigo kikubwa kwa timu iliyo kwenye hatari ya kushuka zaidi. Nimeifuatilia kwa karibu klabu hii hivi karibuni tangu alivyotua ndugu yetu pale, na nilichokigundua kuna tatizo katika...
Honestly sielewi kwanini Officials wa hizi league wamekuwa wazito kwenye kufanya maamuzi.
Hizi habari za kwamba mchezaji fulani ameambukizwa corona au kuna wachezaji wanaonesha symptoms zinatisha...