Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wenye kuelewa, kwanini FIFA linaitwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani, wakati IOC Inatambuliwa kama Kamati ya Olimpiki Duniani?
0 Reactions
1 Replies
634 Views
Hii ndiyo profile ya anayesemekana kuwa CEO Mpya wa Simba Sc. Je kwa kuiangalia CV huyu jamaa ana jipya? Ahsante https://za.linkedin.com/in/senzo-mazingiza-1b451a27
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Klabu ya Simba leo Septemba 7, 2019, imemtambulisha rasmi Senzo Mazingiza kutoka Afrika Kusini kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa klabu hiyo, akichukua nafasi ya Crescentius Magori ambaye...
5 Reactions
85 Replies
15K Views
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia anadaiwa kuwa miongoni mwa walionufaika na TZS milioni 46 ($20k) zilizogawiwa na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Ahmad Ahmad...
9 Reactions
49 Replies
7K Views
Habar wakuu Rais wa shirikisho LA mpira baran afrika anashikiliwa na polis nchini ufaransa kwa tuhuma Za rushwa Hii inatokana na mkataba aliokuwa ameingia na kampun ya kijeruman ya kusambaza...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Bondia Mmarekani Deontay Wilder ameamua kutemana na mkufunzi wake au mwalimu wake (Kocha) Mark Breland baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Muingereza Tyson Fury. Kupitia ukurasa wa Twitter...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
Hatimaye club ya Liverpool Leo imekubali kichapo kingine katika FA Cup wakiwa ugenini dhidi ya vigogo wa London the Blues. Huu ni muendelezo tu wa pale walipoishia Watford. Living my dreams
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Liverpool wameshindwa kufikia rekodi ya Arsenali ya kumaliza ligi bila kufungwa baada ya kupokea kichapo kizito kutoka kwa Watford. Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
26 Replies
3K Views
England ina utajiri wa kikosi kipana kama zilivyo nchi nyingine za ulaya kama vile Ujerumani, Spain na Ubelgiji. Hata hivyo kwa upande wa England suala hilo linaleta utamu zaidi badala ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani, mbona tunatia aibu hivi. Ukipitia page ya Aston Villa kuhusu mchezo wao na Man City jana (hasa pale walipoiweka picha ya Samatta), matusi ya vijana wa Bongo yameendelea kurindima. Hii ni...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
January 20, 2020 Birmingham England NEW SIGNING MBWANA SAMATTA Exclusive haya ni mahojiano ya Mbwana Samatta akiongea na chaneli rasmi ya klabu ya Aston Vill FC baada ya kukamilisha mkataba...
15 Reactions
141 Replies
24K Views
Kila mechi kwenye ligi kuu yetu unaona mtu aliyevalia koti lake au shati lake la kitenge anaingia na timu uwanjani na kupiga picha na marefa na makapteni. Huu utaratibu tumeoutoa wapi au sisi...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Si tu kuwa kutapatikana mwelekeo wa wapi tunaenda katika football world, bali pia kutafungua vichwa na kuleta kujitambua kwa mamilioni ya Watanzania ambao mawazo yao na upeo wao katika uelewa wa...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa kiwango cha uchezaji cha kiuongo mahiri Said Ndemla hastahili kufanyiwa haya anayofanyiwa. Kumuweka benchi kijana huyu kwa miaka mitatu (03) haiko sawa na kuto mtendea haki. Inanawezekana...
7 Reactions
49 Replies
7K Views
Wakuu, Salaam. Hapa tunakutana mashabiki wote wa Samatta, lengo ni kumsapoti pamoja na kupeana Feedback katika mechi zake zote. Tutamjadili jembe letu na kumtia moyo bila kusahau kupost picha...
7 Reactions
59 Replies
10K Views
Toka majuzi nimekua nafuatalia mitandao ya kijamii hasa kwa habari za michezo na burudan. Tukio moja lililovuta hisia zangu ni lile la majibizano ya kimaneno baina ya ndugu...
12 Reactions
45 Replies
5K Views
Baada ya kuwa wamepigwa bao 6-0 dhidi Buyern mashabiki wa Hoffeinem eti wanaonekana kufanya mgomo kwa bosi wa timu kwa sababu ndiye anayeikwamisha. Kumbuka Hofeinem ni moja ya timu bora kabisa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika dakika ya 41 ya fainali ya Kombe la Carabao kati ya Manchester City na Aston Villa, Villa walipewa zawadi ya goli moja na Mbwana Samatta, goli alilofunga kwa kichwa. Hata hivyo Man City...
8 Reactions
24 Replies
7K Views
Unbeaten anabak Wenger pekeeeee Sent using Jamii Forums mobile app
11 Reactions
21 Replies
2K Views
Roy Keane mchezaji wa zamani wa Red Devils, anadai kosa la kijinga kizembe la keeper De Gea lisingemuacha salama. Alionyesha kuchukizwa kwa kitendo cha mchezaji aliyekuwa mile nzima akufikie...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…