Lipuli wanachezeshwa lizombe kwa kasi ya ajabu, ama kweli timu nyingine bila kubebwa na marefa na magoli yao ya offside wangekuwa wapi sijui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), hatua ya 16 bora, kupigwa leo February 25, 2020 ambapo Stand United Chama la Wana, wanawakabili Simba SC, Wekundu wa Msimbazi...
Timu ya Wananchi Yanga inacheza jamani, cha ajabu leo hata ka uzi kakuonesha kuwa wananchi wapo mawindoni hamna.
Hivi nyie Yanga ni timu yenu ikiwa na matokeo mazuri tu? Mmekimbia leo kwenda wapi...
Ukiwa mzee wa mikeka hakika hakuna magumu yatakayokushangaza maana huku ndiko kuna supprise za kutosha mfano maajabu niliyowai kutana nayo..
Umeweka 2+ ndani ya dkk 5 limepigwa goli moja.. hapa...
Wakati anaanza kufundisha Timu ya Barcelona kutoka kwa mtangulizi wake Frank Rijkaard mwaka 2008, wengi nikiwemo mimi hawakuamini kama Josep Pep Guardiola anaweza kufanya makubwa hasa kutokana...
Samatta hana la kupoteza ndio maana akija timu ya Taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi.
Kuna mechi Taifa Stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake, mtu ligi kubwa anafunga...
Huyu jamaa kwenye nyundo za Baruan Mhuza kasema anapoenda kufanya kitu au kuongea kwenye media lazima awashirikishe wake zake na kumshauri nini anaenda kusema. Baruan akamwuliza: Je, wake zako...
Kwa wale wapenzi wa masumbwi naomba kuulizia kama mpambano wa hao mahasimu utaonyeshwa live, na kama ndio ni kwenye king'amuzi kipi? Naomba kuwasilisha.
======
UPDATES:
Tyson Fury...
Hakika Yanga yenye umri wa miaka 85 kila mmoja wetu angeamini ilipaswa iwe na mafanikio makubwa sana lakini ni kinyume chake. Yanga bado ipo kwenye mfumo wa kizamani cha uongozi. Yanga imeshindwa...
Nimependa Sana huu ubunifu wa Sport Arena walikuja nalo la kuwa na mtu mwenye takwimu kwenye kipindi.Mtu huyo anahusika na kuchukua takwimu za mchezo pamoja na mchezaji mmoja mmoja kwa kuangalia...
Kutana na Mdukuaji Rui Pinto, aliyewaweka Manchester City matatizoni baada ya kudukua barua pepe za Man City mwaka 2015 akiwa nchini kwao Ureno na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na kuibua...
Watanzania wengi ni wapenzi wa michezo haswa Soka, lakini pia ni washabiki wa timu za taifa na vilabu vilevile haswa Simba, Yanga na Azam.
Watanzania hupenda burudani ya mpira kwa kutazama...
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragije amempa ruhusa kiungo Jonas Mkude kuondoka katika kambi hiyo kwenda kushughulikia masuala yake ya kifamilia yanayomkabili.
Taarifa iliyotolewa na...
Uzi maalumu wa mashabiki wa Aston Villa aka blue army toka siku ya kwanza.
Huku kijana wetu Mbwana Ally Samatta akiwa amemwaga wino hii inatupa sababu zaidi ya kulisuport hili chama.
Kuwa around...
Marefa wanatuonea na TFF.
Pia Simba wamepuliza dawa kwenye chumba cha kupumzikia wachezaji ndio maana coastal wametuzidi sana.
Ila Mungu yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
SHIRIKISHO la Mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limemfungia miezi sita na kumpiga faini ya Sh 500000 kocha wa timu ya Miembeni Suleiman Mohamed kwa kitendo cha utovu wa nidhamu.
Juzi wakati timu yake...
Yamebaki masaa machache tushuhudie lile pambano litakalosimamisha dunia kwa dakika kadhaa lililopewa jina CLASH ON THE DUNES ambapo litafanyika Saudi Arabia.
Pambano hili limekuwa likisubiriwa...
Wadau kumetokea nini kwa Mabingwa wa Kihistoria YANGA? Inaonekana kuna mtu anaibeba kutoka SARE, je atakuwa nani au yule Anayetembea na MPIRA? Yanga mna Makocha wengi wakiongozwa na Mzee Msolwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.