Yanga wanajua pasi na shaka kwamba hawana tena uwezo wa kupambana na Simba uwanjani kutokana na ubora wa vikosi na wanajua kikosi na cha Simba ni mbingu na Ardhi.
Ndipo wanapoamua kuja na hoja za...
Ile rematch iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa masumbwi duniani hatimaye imekuwa confirmed baada ya pambano lao la kwanza lililofanyika Dec1, 2018 kuisha kwa sare. Tyson Fury mara kadhaa...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ile rematch iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa masumbwi duniani hatimaye imebakia siku 1 tu tuishuhudie.
Pambano hilo la ubingwa wa mkanda wa WBC (uzito wa...
Taarifa zinadai Mchezaji huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast, amefutwa kazi baada ya kushindwa kutimiza majukumu yake chini ya Rais wa CAF, Ahmad Ahmad.
Inadaiwa Drogba hakwenda...
Patashika ya Ligi Kuu ya Tanzania Vodacom Premier League VPL, kuendelea kusukumwa leo February 22, 2020 ambapo Wekundu wa Msimbazi, Mnyama Mkali, Simba SC wanawakabili Biashara United kwenye...
Solidarity Rule ni sheria ya Fifa inayosema kwamba kama mchezaji atauzwa kwenda klabu ya ligi kubwa duniani basi asilimia 5 ya mauzo ya mchezaji huyo itagawanyishwa kwa timu zote alizochezea akiwa...
Hapa naangalia game ya Namungo vs Azam, kusema ukweli Namungo wanampira mmoja mzuri sana.
Namungo ka-dominate game nzima, Azam wanasakwa kwenye goal lao kama Polisi anamtafuta mhalifu.
Mzuqa wanajamvi,
Mvua kubwa na kali inayoendelea kunyesha nchini Uingereza inaiweka Timu ya Liverpool pabaya na njia panda kutokutwaa ubingwa wa EPL ambayo wameisubiri miaka 30.
Mvua iyo kubwa...
Bila shaka unalikumbuka jina la beki wa kushoto wa zamani wa Timu ya Vijana ya Chelsea U-21, Adam Nditi mwenye asili ya Tanzania. Hakuna aliyedhani angeweza kupotea kwenye ramani ya soka tena...
Hili jambo hunitatiza sana. Kwanini wachezaji wawekwe kambini? Tutasema hawana nidhamu, lakini kama mchezaji hana nidhamu itakayomfanya awe kwenye kilele cha kucheza mpira basi huyo hastahili kuwa...
Ni jambo la kushangaza kidogo, unaweza kujiuliza alitoa wapi ujasiri na maono hayo?
Kabla ya kuanza msimu wa Ligi Kuu Uingereza wa 2019/2020 meneja au kocha mkuu wa Liverpool FC akiwa katika...
Jadon Sancho
Amani iwe nanyi wakuu,
Ukweli lazima usemwe. Jana ndiyo mara yangu ya kwanza kumshudia huyu kijana kutoka kwa Queen Elizabeth ukimutizama ni kama vile mlaini kumbe jamaa ni mapafu...
Kutokana na makosa waliyokutwa nayo nakupelekea kufungiwa kutoshiriki michuano ya Europe kwa kipindi cha misimu miwili, tutajarie haya kwa baadaye endapo rufaa yao ikikataliwa au kushindwa.
1...
Kiukweli mdhamini mpya wa club ya Yanga anajitahidi sana kutimiza majukumu yake lakini kuna sehemu bado hajafika na sidhani kama atafika.
Yanga ilipata mafanikio chini ya Manji sababu ya ununuzi...
Yes polepole wanaume halisi wanaanza kuonekana.
Sio wale wa kupigiwa upatu au wale wenye wachezaji wenye majina makubwa. Alianza Juve, watu wakatuaminisha hana mpinzani Serie A ni kweli wachezaji...
Mpira wa miguu (pia soka au kandanda ) ni mchezo unaochezwa na jumla ya wachezaji ishirini na wawili katika timu mbili, kila timu ikiwa na wachezaji kumi na mmoja. Lengo hasa la mchezo huu ni...
Hello Tanzania na Kote Duniani...!
Naaam mwendelezo wa patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL, kuvurumishwa leo February 18, 2020 ambapo Mfalme wa Nyika, Mnyama Mkali, Simba SC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.