Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Lipuli wanachezeshwa lizombe kwa kasi ya ajabu, ama kweli timu nyingine bila kubebwa na marefa na magoli yao ya offside wangekuwa wapi sijui. Sent using Jamii Forums mobile app
7 Reactions
41 Replies
6K Views
Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), hatua ya 16 bora, kupigwa leo February 25, 2020 ambapo Stand United Chama la Wana, wanawakabili Simba SC, Wekundu wa Msimbazi...
4 Reactions
189 Replies
14K Views
Timu ya Wananchi Yanga inacheza jamani, cha ajabu leo hata ka uzi kakuonesha kuwa wananchi wapo mawindoni hamna. Hivi nyie Yanga ni timu yenu ikiwa na matokeo mazuri tu? Mmekimbia leo kwenda wapi...
5 Reactions
87 Replies
8K Views
Ukiwa mzee wa mikeka hakika hakuna magumu yatakayokushangaza maana huku ndiko kuna supprise za kutosha mfano maajabu niliyowai kutana nayo.. Umeweka 2+ ndani ya dkk 5 limepigwa goli moja.. hapa...
24 Reactions
48 Replies
10K Views
Wakati anaanza kufundisha Timu ya Barcelona kutoka kwa mtangulizi wake Frank Rijkaard mwaka 2008, wengi nikiwemo mimi hawakuamini kama Josep Pep Guardiola anaweza kufanya makubwa hasa kutokana...
16 Reactions
80 Replies
9K Views
Kama jibu ni ndiyo, je akipewa timu yetu ya Taifa tutapata matokeo ya kiwango chake cha ubora?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
. . . 🇫🇷 FRANCE Zinedine Zidane— Algeria 🇩🇿 Kylian Mbappe— Cameroon 🇸🇳 Steven Tatenda Nzonzi- Zimbabwe 🇿🇼 Karim benzema— Algeria 🇩🇿 N’Golo Kante— Mali 🇲🇱 Paul Pogba— Guinea 🇬🇳 Adil Rami— Morocco...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Samatta hana la kupoteza ndio maana akija timu ya Taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi. Kuna mechi Taifa Stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake, mtu ligi kubwa anafunga...
30 Reactions
139 Replies
14K Views
Huyu jamaa kwenye nyundo za Baruan Mhuza kasema anapoenda kufanya kitu au kuongea kwenye media lazima awashirikishe wake zake na kumshauri nini anaenda kusema. Baruan akamwuliza: Je, wake zako...
7 Reactions
45 Replies
7K Views
Kwa wale wapenzi wa masumbwi naomba kuulizia kama mpambano wa hao mahasimu utaonyeshwa live, na kama ndio ni kwenye king'amuzi kipi? Naomba kuwasilisha. ====== UPDATES: Tyson Fury...
1 Reactions
127 Replies
16K Views
Hakika Yanga yenye umri wa miaka 85 kila mmoja wetu angeamini ilipaswa iwe na mafanikio makubwa sana lakini ni kinyume chake. Yanga bado ipo kwenye mfumo wa kizamani cha uongozi. Yanga imeshindwa...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimependa Sana huu ubunifu wa Sport Arena walikuja nalo la kuwa na mtu mwenye takwimu kwenye kipindi.Mtu huyo anahusika na kuchukua takwimu za mchezo pamoja na mchezaji mmoja mmoja kwa kuangalia...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Kutana na Mdukuaji Rui Pinto, aliyewaweka Manchester City matatizoni baada ya kudukua barua pepe za Man City mwaka 2015 akiwa nchini kwao Ureno na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na kuibua...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Watanzania wengi ni wapenzi wa michezo haswa Soka, lakini pia ni washabiki wa timu za taifa na vilabu vilevile haswa Simba, Yanga na Azam. Watanzania hupenda burudani ya mpira kwa kutazama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragije amempa ruhusa kiungo Jonas Mkude kuondoka katika kambi hiyo kwenda kushughulikia masuala yake ya kifamilia yanayomkabili. Taarifa iliyotolewa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Uzi maalumu wa mashabiki wa Aston Villa aka blue army toka siku ya kwanza. Huku kijana wetu Mbwana Ally Samatta akiwa amemwaga wino hii inatupa sababu zaidi ya kulisuport hili chama. Kuwa around...
28 Reactions
212 Replies
19K Views
Marefa wanatuonea na TFF. Pia Simba wamepuliza dawa kwenye chumba cha kupumzikia wachezaji ndio maana coastal wametuzidi sana. Ila Mungu yupo. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
16 Replies
3K Views
SHIRIKISHO la Mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limemfungia miezi sita na kumpiga faini ya Sh 500000 kocha wa timu ya Miembeni Suleiman Mohamed kwa kitendo cha utovu wa nidhamu. Juzi wakati timu yake...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Yamebaki masaa machache tushuhudie lile pambano litakalosimamisha dunia kwa dakika kadhaa lililopewa jina CLASH ON THE DUNES ambapo litafanyika Saudi Arabia. Pambano hili limekuwa likisubiriwa...
4 Reactions
798 Replies
60K Views
Wadau kumetokea nini kwa Mabingwa wa Kihistoria YANGA? Inaonekana kuna mtu anaibeba kutoka SARE, je atakuwa nani au yule Anayetembea na MPIRA? Yanga mna Makocha wengi wakiongozwa na Mzee Msolwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…