Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yanga wanajua pasi na shaka kwamba hawana tena uwezo wa kupambana na Simba uwanjani kutokana na ubora wa vikosi na wanajua kikosi na cha Simba ni mbingu na Ardhi. Ndipo wanapoamua kuja na hoja za...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Ile rematch iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa masumbwi duniani hatimaye imekuwa confirmed baada ya pambano lao la kwanza lililofanyika Dec1, 2018 kuisha kwa sare. Tyson Fury mara kadhaa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ile rematch iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa masumbwi duniani hatimaye imebakia siku 1 tu tuishuhudie. Pambano hilo la ubingwa wa mkanda wa WBC (uzito wa...
8 Reactions
360 Replies
34K Views
Taarifa zinadai Mchezaji huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast, amefutwa kazi baada ya kushindwa kutimiza majukumu yake chini ya Rais wa CAF, Ahmad Ahmad. Inadaiwa Drogba hakwenda...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Patashika ya Ligi Kuu ya Tanzania Vodacom Premier League VPL, kuendelea kusukumwa leo February 22, 2020 ambapo Wekundu wa Msimbazi, Mnyama Mkali, Simba SC wanawakabili Biashara United kwenye...
5 Reactions
145 Replies
19K Views
Solidarity Rule ni sheria ya Fifa inayosema kwamba kama mchezaji atauzwa kwenda klabu ya ligi kubwa duniani basi asilimia 5 ya mauzo ya mchezaji huyo itagawanyishwa kwa timu zote alizochezea akiwa...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Hawa jamaa wapo vizuri sana aiseeh japo hawapandi mipira, watu wanagalagazwa vibaya.
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Hapa naangalia game ya Namungo vs Azam, kusema ukweli Namungo wanampira mmoja mzuri sana. Namungo ka-dominate game nzima, Azam wanasakwa kwenye goal lao kama Polisi anamtafuta mhalifu.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mzuqa wanajamvi, Mvua kubwa na kali inayoendelea kunyesha nchini Uingereza inaiweka Timu ya Liverpool pabaya na njia panda kutokutwaa ubingwa wa EPL ambayo wameisubiri miaka 30. Mvua iyo kubwa...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Bila shaka unalikumbuka jina la beki wa kushoto wa zamani wa Timu ya Vijana ya Chelsea U-21, Adam Nditi mwenye asili ya Tanzania. Hakuna aliyedhani angeweza kupotea kwenye ramani ya soka tena...
1 Reactions
22 Replies
10K Views
Hili jambo hunitatiza sana. Kwanini wachezaji wawekwe kambini? Tutasema hawana nidhamu, lakini kama mchezaji hana nidhamu itakayomfanya awe kwenye kilele cha kucheza mpira basi huyo hastahili kuwa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Ni jambo la kushangaza kidogo, unaweza kujiuliza alitoa wapi ujasiri na maono hayo? Kabla ya kuanza msimu wa Ligi Kuu Uingereza wa 2019/2020 meneja au kocha mkuu wa Liverpool FC akiwa katika...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Jadon Sancho Amani iwe nanyi wakuu, Ukweli lazima usemwe. Jana ndiyo mara yangu ya kwanza kumshudia huyu kijana kutoka kwa Queen Elizabeth ukimutizama ni kama vile mlaini kumbe jamaa ni mapafu...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Kutokana na makosa waliyokutwa nayo nakupelekea kufungiwa kutoshiriki michuano ya Europe kwa kipindi cha misimu miwili, tutajarie haya kwa baadaye endapo rufaa yao ikikataliwa au kushindwa. 1...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Sikuu nilikuja kuandika shida uwanjani siyo refa, waamuzi walipwe hela zao. Chanzo kilekile, nimekuja leo kuwajulisha Yanga mjiandaae marefa wamepanga kusahau kabisa faulo za Morrison na hata...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kiukweli mdhamini mpya wa club ya Yanga anajitahidi sana kutimiza majukumu yake lakini kuna sehemu bado hajafika na sidhani kama atafika. Yanga ilipata mafanikio chini ya Manji sababu ya ununuzi...
6 Reactions
29 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app Timu zipi zitapita hapa?
4 Reactions
84 Replies
9K Views
Yes polepole wanaume halisi wanaanza kuonekana. Sio wale wa kupigiwa upatu au wale wenye wachezaji wenye majina makubwa. Alianza Juve, watu wakatuaminisha hana mpinzani Serie A ni kweli wachezaji...
8 Reactions
58 Replies
5K Views
Mpira wa miguu (pia soka au kandanda ) ni mchezo unaochezwa na jumla ya wachezaji ishirini na wawili katika timu mbili, kila timu ikiwa na wachezaji kumi na mmoja. Lengo hasa la mchezo huu ni...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Hello Tanzania na Kote Duniani...! Naaam mwendelezo wa patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL, kuvurumishwa leo February 18, 2020 ambapo Mfalme wa Nyika, Mnyama Mkali, Simba SC...
7 Reactions
112 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…