Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu ya Manchester City imefungiwa kushiriki mashindano ya European Champion League na Europa League katika misimu inayokuja ya mwaka 2020 / 2021 na 2021/ 2022. Hii inatokana na timu hiyo tajiri...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Amkeni amkeni..hatimaye Yanga wameanza kutumia GPS vest na kuwa klabu ya kwanza nchini na ukanda wote wa kusini mwa Jangwa la Sahara kuwahi kuzitumia.. GPS vest moja inagharimu milioni...
8 Reactions
49 Replies
46K Views
Nasema mpaka sasa TFF ishajiingiza kwenye mtego wa Simba na Yanga na kujinasua itakuwa ngumu sana. Lineman aliyeshindwa kung'amua offside ya kagere amefungiwa miaka 3. Offside hii ilikuwa ngumu...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Tukiwa pale nyumbani nou mestalla leo saa tano usiku wale wenye nia mbaya na atletico madrid basi wasijali tunawaripia kisasi na bila kusahau kisasi chetu binafsi maana kanionea sana .. -all is well-
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mheshimiwa Waziri wa Michezo nakuomba sana usifikirie Kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni kwenye timu zetu za ligi kuu. Kwa hivi karibuni timu zetu za Simba na Yanga zimekuwa zikishindana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kocha wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa sababu iliyopeleka kushindwa kupata pointi tatu dhidi ya Mbeya City ni kutokana na aina ya mchezo waliocheza wapinzani wao. Mchezo huo uliopigwa katika...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameweka rekodi ya kuongoza kikosi hicho kufunga mabao mengi ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu 2019/20 akiwa ameongoza kwenye jumla ya mechi 11, alishinda 9...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Tabia mpya ya kukemea; kama mwana jf kemea tabia ya watanzania kutukana katika page ya aston villa kwa sababu tu Kuwa hapostiwi Sasa cha kushangaa watz wenzangu na cha kuuma je samatta ndie...
0 Reactions
1 Replies
802 Views
(1) Simba kufika robo fainali CAF Champions League. Hii imewaongezea hamasa mashabiki wa Simba kufuatilia vpl huku wakiiombea timu yao ichukue ubingwa wa VPL na kupata tiketi ya kushiriki tena...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa wale ambao wana decoder ya dstv na azam..mechi kati ya Ac milan Vs Juventus inaonyeshwa Live kupitia channel ya RAI ITALIA Hii channel pia huonyesha gemu zote za ligi ya italy Sent using...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna nusu final leo ya copa italia. Ila batle kubwa ni hawa watu wawili. Mreno Cr7 na m Sweden Zlatan Ibramovc. Lete mtazamo wako Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chelsea imekubali kumsajili kiungo mchambuliaji hatari wa Ajax Hakim ziyech kwa Paundi Milioni 40. Hakim Ziyech amekuwa mchezaji tegemezi aliyebaki kwenye kikosi cha Ajax baada ya kuondoka De...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Duniani FIFA na umoja wa wachezaji FIFPRO unaandaa mfuko utakaosaidia kuwalipa wachezaji wasio na mishahara na wale ambao hawapati mishahara pindi klabu zao zinapopitia...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Mohammed Dewji 'MO' amekutana na kuzungumza na Rais wa Shirikisho la Soka duniani FIFA Gianni Infantino kuhusu masuala ya maendeleo ya mpira wa miguu...
7 Reactions
26 Replies
7K Views
Ma Shaa Allah. Kijana wetu amevunja rekodi zifatazo mpaka sasa. 1) Mtanzania wa kwanza kucheza Premier League ya Uingereza. 2) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la Premier League. 3) Mtanzania...
41 Reactions
124 Replies
11K Views
Hii timu siku hizi inalalamika mfano hakuna, kila ikipatwa na dhahama Simba kwao anahusika. Hakuna jema kwao kila kitu lawama.
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Sio kua hawajui kuna kupoteza mechi, bt hawaitaki hali hiyo coz wanaithamini club yao na hawataki iwe mazoea ndo maana wanaripuka sana ikipoteza/kutoa sare... kwa hili nawapongeza coz wanaonesha...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nadhani kwa Manara kuwa msemaji wa klabu kama Simba wakati umemtupa mkono asukuriwe kwa aliyofanya na sasa apewe jukumu hilo mtu atakaye kwenda kisasa. Uswahili swahili wa Kariakoo level hiyo...
2 Reactions
60 Replies
7K Views
Huwa mnapenda kutoa visingizio kila mkicheza. Sasa leo mtuambie kwanini mmefunga magoli yote mawili na mkahesabiwa mna goli moja? Mmehongwa nyie leo. Haiwezekani kila siku wahongwe marefa tu...
1 Reactions
5 Replies
980 Views
Leo Simba imetakata uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa ushindi mnono wa magoli matatu kwa sifuri. Kocha wa Simba leo amemrejesha Aishi Manula katika kikosi cha kwanza na kufanikiwa kutoka na cleen...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…