Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mechi kali ya Patashika ya ligi kuu Tanzania bara kupigwa leo February 11, 2020 kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro, ambapo Wakata Miwa, Wana Tamu Tamu, Mtibwa Sugar wanamkabili Mfalme wa...
5 Reactions
135 Replies
13K Views
Kama ilivyo ada, leo tena timu ya wananchi YANGA SC itakuwa dimbani ikipambana na wana wa Mbeya, MBEYA CITY. katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam saa 1 kamili usiku. Mechi hiyo kali dhidi...
2 Reactions
122 Replies
14K Views
Kuelekea mechi ya VPL' Kikosi cha Simba SC, leo Jumapili ya February 9, 2020 kimewasili salama mkoani Morogoro kikitokea jijini Dar es salaam wakiwa tayari kuwakabili Mtibwa Sugar, Jumanne ya...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Edson Arantes Nascimento "Pele" ambae ni "TUNU" kwa taifa la brazil na mchezaji pekee alieshinda "WORLD CUP" kwa mara tatu (1958, 1962, 1970) anatambulika kwa wengi kama ndio mchezaji bora ambae...
6 Reactions
21 Replies
5K Views
HBD Young Africans Sports Club YANGAAAA [emoji172]Mabingwa mara 27 LIGI KUU TANZANIA (RECORD) [emoji169]MABINGWA mara 5 CECAFA KAGAME CUP [emoji172]Mabingwa mara 6 LIGI YA MUUNGANO(RECORD)...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna kila harufu ya chapaa ushindi wa ajabu ajabu, ohh ili hali iwe njema utulivu sijui nini, nimerusha jiwe Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
771 Views
Habari za muda huu waungwana. Kuna vishilingi mbili nimevipata sehemu kwa haraka haraka nimefikiria kuviwekeza kwenye uwakala wa betting. Kimsingi kuna kampuni nyingi za betting Tanzania ila...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Shabiki nguli wa Arsernal Bizzo amefunga pingu za maisha akiwa ametupia uzi wa Arsenal. Arsenal fan Barry Jenkins took the the unusual step of getting married in his full Arsenal kit including...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwendelezo wa mgomo malefa cheki hii Yanga kunyimwa penati waziwazi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Huyu ndiye Bongozozo, anajiita Mtanzania shabiki namba moja wa Taifa Stars na mbuga ya Serengeti, vunja mbavu.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam! Nimesoma taarifa kwenye gazeti la Mwanaspoti la jana tarehe 10.02.2020, kwamba Simba SC inajiandaa kuwachukulia hatua wachezaji wake wanaoonekana kucheza chini ya kiwango, wanadai...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Player ratings Aston Villa: Nyland (9), Konsa (6), Hause (6), Mings (7), Guilbert (7), Nakamba (7), Luiz (6), Targett (7), El Ghazi (6), Samatta (5), Grealish (9). Subs: Davis (7), Trezeguet...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
JOHN GEORGE TERRY TOKA GHETTO LA BARKING LONDON MPAKA MITAA YA DARAJANI: Ukitaja Viongozi bora wa timu uwanjani (Captain) na wenye mafanikio kwenye nyasi za kijani huwezi kumuacha John Terry...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Basi Bhana Wakat Naperuzi Zangu Mitandaon Nikakutana Na Mtaalam Wa Kupiga Mitungi Huko Marekan, Daah Nikasema Huyu Ni Nani Ambay Anaweza Kuwa Mpigaji Mzur Wa Mipira ILiyokufa Kiasi Hiki Mpaka...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Ingependeza Kama tungetambuana kwa ushabiki wa timu tunazoshabikia ili hata ukitoa wazo tujue kabisa hapa Simba au Yanga ,,,Liverpool au Arsenal. Trebla hapa Tanzania Shabiki wa Simba,,,Ulaya nipo...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Simba sasa tumekuwa kama pombe ya ngomani kila mtu anataka ainywe. Hakuna timu sasa inayoogopa kucheza na Simba. Inashangaza sana kuona timu zinafunguka mbele ya Simba wakati nakumbuka ukiwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Au Nye mnaona yuko poa tu Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
39 Replies
6K Views
Mzuqa wanajamvi! Liver inaweza kuweka rekodi ya aina yake kama itashinda mechi zake zote sita zinazofuata na kutwaa ubingwa katikati ya mwezi wa tatu March. Ikifanikiwa itaweka historia ya aina...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Aston Villa ya Samatta yapanda nafasi ya 16 katika Ligi Kuu ya Uingereza na kujiweka sehemu salama kwa kuichapa Watford bao 2 kwa 1. Mpaka sasa Aston Villa imecheza michezo 24 ya ligi na kupata...
9 Reactions
20 Replies
4K Views
Nashindwa kuelewa kwanini azam jana na KMC walicheza na leo hakuna game Taifa japo sijajua taifa Kuna nini Angalieni ratiba zenu TFF. Watu J. Pili Na J.mosi wako home wanasubiria burudani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom