Wakuu habari zenu?
Wakuu nilikuwa nataka niwashauri na wewe pia toa ushauri wako nini kifanyike ili marefa wetu wa ligi yetu pendwa ya bongo wawe wanatoa uamuzi sahihi na wa ukweli kama ilivyo...
Vilabu vya kama Man United,Juventus ,Man city, Inter Millan,PSG zinasaka saini ya Messi.
Kwenye chapisho la gazeti inayoita La Gazzete Lionel Messi amekaririwa akisema anataka kwenda kwenye...
Wakuu naomba kuuliza. Hivi TFF hawaoni madudu yanayoendelea katika League ya Mpira wa Miguu Tanzania?
Timu zinapewa ushindi kwa makosa ya wazi.
Wachezaji kuwa offside. Muda wa nyongeza kuzidishwa...
Jezi ya nyumbani ya Aston Villa kwa UK inauzwa kwa paundi 55.
Kumbuka paundi moja ni shilingi 3013.67.
55*3013.67=165715
Halafu hapa mnatuuzia jezi Tsh 30000 na kutuambia original.
Bongo...
Mechi zote zina makosa mengi ya namna hiyo.Kuna wengine wamenyimwa kufunga kwa kupigiwa kipenga cha offside wakati ukweli hawakuwa wamezidi.
Na inakuwaje kuwa mwamuzi anaona mpira umetoka...
Mpira unaendelea uwanja wa Taifa,
Matokeo mpka sasa YANGA 2 , LIPULI 1
Wafungaji.
Balama 13,
Morrison 31,
Mwaseba 58,(lipuli)
Na mpira umeisha,
FT YANGA 2,LIPULI 1
Cc Zero iq
Sent...
Ukiwa nje aikuumi
Ila ukiwa ndan ya uwanja utaelewa upuuzi na ujinga uuvumilie ama umalizane na refa
Hapo nyuma wachezaji wa yanga kadhaa walipiga mwamuzi pamoja na kukimbia bado aliyapata...
Kiukweli timu ya Simba inashinda mechi zake kwa mbinde ikionekana kupata matokeo kwa bahati na sibu tu, pengine kwa kusaidiwa na udhaifu wa waamuzi na mipango ya nje ya uwanja.
Kama TFF na...
Pengine camera zitegwe usawa wa kona za uwanja hasa eneo la pitch,kwenye vibendera kuelekea golini nyuzi 90,inaweza kusaidia warefa wetu kujua kama ni goli ama vinginevyo maana sasa hata timu...
Kwakweli hadi inaboa sio kwa mbeleko hizi aiseee kweli mpira wa bongo utachelewa sana kuendelea ndo mana marefa wa tanzania hawachezeshi michuano mikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu jamaa mimi nilishamshtukiaga, maana alikua anampost sana samatta, kwenye kipindi chake cha michezo clouds anampigia sana debe samatta, sisi wataalamu tukahisi kabisa huyu jamaa atakua ndie...
Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Mshambuliaji wa club ya Juventus Cristiano Ronaldo ambaye ametimiza miaka 35.
Mshambuliaji huyu ni miongoni wa wanasoka mahiri walio na wafuasi wengi zaidi...
Hakika nimekuwa nashangazwa na kauli ya Yanga na Mashabiki wake kuwa Simba inabebwa na Marefa.Binafsi napinga kwa sababu Uwanjani kuna Watu wengi wenye dhamana na mpira wanaofuatilia mambo...
Mimi ni shabiki wa Simba,ila aina ya uchezaji wa Simba kwa dunia ya sasa unaweza kufungwa hata na timu ya umitashumta.
Mchezo upo slow,skills duni,na kushindwa kujituma ipasavyo.
Kuna timu...
Imekuwa nitabia kwa waamuzi kwenye mechi nyingi za Simba na Yanga wakiwa wamefungwa na mechi inaenda ukingoni wanakuwa wanaongeza dakika nyingi ikifika dk 90 na hili nimeona mechi ya Simba vs...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL, kuendelea tena leo February 4, 2020 ambapo, Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, wanawakaribisha Maafande wa Polisi Tanzania, mchezo...
Samatta ni mchezaji mkubwa aliepitia changamoto nyingi hadi kufika pale alipo. Sidhani kama anapaswa kuhangaika na maoni ya mashabiki wake kwenye mitandao.
Hakuna kocha au mchezaji mkubwa makini...
Mahakama moja ya Korea Kusini imeambia mwandalizi wa mechi kuwalipa fidia mashabiki wawili baada ya Cristiano Ronaldo kutocheza katika mechi ya kirafiki ya Juventus kama ilivyotangazwa.
Mashabiki...
Kwanini laliga ni ligi bora?
Imetoa mchezaji bora wa dunia kwa miaka kumi mfululizo
Mwaka huu ya mchezaji bora wa ulaya imeenda kwa mchezaji wa Uingereza ligi Namba mbili kwa ubora
Ilà. Tuzo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.