Kuna Watu Watatu kutokea Mbagala alipokuwa akiishi Mchezaji ' Mahiri ' kwa sasa wa Kitanzania Mbwana Ally Samata a.k.a Popa wamenifanya nianze Kuamini kuwa Watanzania tuna ' Nongwa ' na ' Uswahili...
Leo Yanga ilikuwa ikicheza na Mtibwa lakini katika mechi ikatokea offside upande wa Mtibwa ambayo haikuwa ya kweli lakini jambo hili halijawa gumzo sana.
Tukio lile ingelikuwa limetokea upande wa...
Tuweke pembeni Usimba na Uyanga na tutoe mawazo ili ligi yetu iweze kuwa ligi bora na sio Bora ligi. Mana kumekuwa na malalamiko Mengi katika ligi kuu Tanzania Bara, na Mengi yanatoka kwa...
Samatta akazane na mpira tu Haya mambo ya mashabiki ni ngumu sana kuzuia, Mfano; ukienda page ya Man City ni full kiarabu na kila mada huhusishwa na Mahrez hiyo imetokana na uwepo wa Algeria wengi...
Katika mashindano ya “CAF Champion League” 2019/2020 Tanzania iliingiza timu mbili ambazo ni Yanga FC na Simba Sc.
Kutokana na mafanikio ya Simba Sc katika msimu uliopita wa mashindao haya...
Samatta awachoka Watanzania wakorofi mtandaoni
Mshambuliaji wa klabu ya Aston villa na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Mbwana Samatta ameeleza masikitiko yake kufuatia maoni...
Serikali imesema itaendelea kuwabana wafanyakazi na wachezaji wote ili walipe kodi stahiki na Serikali iweze kupata mapato yake.
Akijibu swali la Mbunge Bungeni leo Januari 4, 2020 Naibu Waziri...
Kampuni ya GSM imepanga kuiendesha Klabu ya Yanga kisasa kwa kuleta Mtendaji Mkuu (C.E.O), mpya wa timu hiyo atakayeifanya kuwa ya kisasa ili kufikia mafanikio yao.
GSM ni kati ya wadhamini wa...
[emoji1621] Machache toka OT ( Manchester United V Wolves )
[emoji736] Fred ni mdhaifu sana katika ukabaji kuna wakati mipira ambayo yeye alipaswa kuizuia tangu juu alikuwa anafeli na kufanya...
Leo kutakuwa na game ya kukata na shoka kati ya Young Africans, Watoto wa Jangwani wakikutana na team ngumu na mabingwa wa Kombe la Mapinduzi a.k.a wazee wakulambisha sukari Mtibwa kwenye Uwanja...
Hii tabia ya kujifanya tunaujua mpira saaaaana hadi kwenda kuchafua page ya Aston villa na wachezaji, hakika tunamharibia kijana wetu tunayempenda saana. Atakosa ushirikiano kwenye timu na mwisho...
Samatta angalia usije kuwa kama Emmanuel Eboue na wengine kama yeye.
Tumeona kilichompata aliyekuwa mchezaji mahili wa washika bunduki wa London mchezaji Emmanuel Eboue. Mafanikio aliyoyapata...
Sisi wadau hatuongei sana na hatukufundishi ila utakuwa
ushaelewa kinachoendelea hapo Mbele....hivi ana matatizo gani huyu kijana wako Glealish?
Sasa kaa na kijana wako umwambie kabisa kwamba...
Wapenzi wa ngumi kuna mtu bado anamkumbuka Razor Ruddock? Miaka ya mwisho ya 80 na mwanzo mwa miaka ya 90. Alipigana na Tyson mapambano 2 ingawa yote Mike alishinda.
Pambano la marudiano na...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Vodacom Premier League VPL kuendelea kutimua vumbi leo February 1, 2020 kusaka alama tatu muhimu, ambapo Vinara wa Ligi Wekundu wa Msimbazi, Mnyama Mkali...
PETER DRURY NA KINYWA KILICHOTAKASA BURUDANI YA SOKA
Utamu wa Drury chumbani kwa David Cameroon.
Ukifika viunga vya St John's School katika utawala wa mama mpendwa Malikia wetu Elizabeth ndani...
Michuano mikubwa ya Tennis kwa upande wa Gland Slam imeanza kutimua vumbi hii leo huko Australia katika jiji la Melbourne. Michuano hiyo mikubwa inatarajiwa kufika ukomo hapo tarehe 2 ya mwezi wa...
Mzuqa wanajamvi!
Kuna wasiwasi wa Liver kutokutwaa ubingwa wa EPL kutokana na homa ya mafua Coronavirus kuingia Uingereza na kuthibitika leo watu wanne wanayo huko Scotland baada ya kutoka nayo...
Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia...
Mchezaji mwenzako wa Orlando Pirates amefedheeka sana kwa kuiga stail yake wakati mkicheza timu moja huko South.
Kumbe wakati wewe kakuweka Benchi ulikuwa na kazi ya kukopi haki zake za kucheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.