Mechi kali ya Patashika ya ligi kuu Tanzania bara kupigwa leo February 11, 2020 kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro, ambapo Wakata Miwa, Wana Tamu Tamu, Mtibwa Sugar wanamkabili Mfalme wa...
Kama ilivyo ada, leo tena timu ya wananchi YANGA SC itakuwa dimbani ikipambana na wana wa Mbeya, MBEYA CITY. katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam saa 1 kamili usiku.
Mechi hiyo kali dhidi...
Kuelekea mechi ya VPL' Kikosi cha Simba SC, leo Jumapili ya February 9, 2020 kimewasili salama mkoani Morogoro kikitokea jijini Dar es salaam wakiwa tayari kuwakabili Mtibwa Sugar, Jumanne ya...
Edson Arantes Nascimento "Pele" ambae ni "TUNU" kwa taifa la brazil na mchezaji pekee alieshinda "WORLD CUP" kwa mara tatu (1958, 1962, 1970) anatambulika kwa wengi kama ndio mchezaji bora ambae...
HBD Young Africans Sports Club YANGAAAA
[emoji172]Mabingwa mara 27 LIGI KUU TANZANIA (RECORD)
[emoji169]MABINGWA mara 5 CECAFA KAGAME CUP
[emoji172]Mabingwa mara 6 LIGI YA MUUNGANO(RECORD)...
Habari za muda huu waungwana.
Kuna vishilingi mbili nimevipata sehemu kwa haraka haraka nimefikiria kuviwekeza kwenye uwakala wa betting.
Kimsingi kuna kampuni nyingi za betting Tanzania ila...
Shabiki nguli wa Arsernal Bizzo amefunga pingu za maisha akiwa ametupia uzi wa Arsenal.
Arsenal fan Barry Jenkins took the the unusual step of getting married in his full Arsenal kit including...
Salaam!
Nimesoma taarifa kwenye gazeti la Mwanaspoti la jana tarehe 10.02.2020, kwamba Simba SC inajiandaa kuwachukulia hatua wachezaji wake wanaoonekana kucheza chini ya kiwango, wanadai...
JOHN GEORGE TERRY TOKA GHETTO LA BARKING LONDON MPAKA MITAA YA DARAJANI:
Ukitaja Viongozi bora wa timu uwanjani (Captain) na wenye mafanikio kwenye nyasi za kijani huwezi kumuacha John Terry...
Basi Bhana Wakat Naperuzi Zangu Mitandaon Nikakutana Na Mtaalam Wa Kupiga Mitungi Huko Marekan, Daah Nikasema Huyu Ni Nani Ambay Anaweza Kuwa Mpigaji Mzur Wa Mipira ILiyokufa Kiasi Hiki Mpaka...
Ingependeza Kama tungetambuana kwa ushabiki wa timu tunazoshabikia ili hata ukitoa wazo tujue kabisa hapa Simba au Yanga ,,,Liverpool au Arsenal. Trebla hapa Tanzania Shabiki wa Simba,,,Ulaya nipo...
Simba sasa tumekuwa kama pombe ya ngomani kila mtu anataka ainywe.
Hakuna timu sasa inayoogopa kucheza na Simba. Inashangaza sana kuona timu zinafunguka mbele ya Simba wakati nakumbuka ukiwa...
Mzuqa wanajamvi!
Liver inaweza kuweka rekodi ya aina yake kama itashinda mechi zake zote sita zinazofuata na kutwaa ubingwa katikati ya mwezi wa tatu March. Ikifanikiwa itaweka historia ya aina...
Aston Villa ya Samatta yapanda nafasi ya 16 katika Ligi Kuu ya Uingereza na kujiweka sehemu salama kwa kuichapa Watford bao 2 kwa 1.
Mpaka sasa Aston Villa imecheza michezo 24 ya ligi na kupata...
Nashindwa kuelewa kwanini azam jana na KMC walicheza na leo hakuna game Taifa japo sijajua taifa Kuna nini Angalieni ratiba zenu TFF. Watu J. Pili Na J.mosi wako home wanasubiria burudani