Nakumbuka kwamba Timu ya Kimbangulile FC ya Mbagala ndiyo iliyomlea Mbwana Samatta hadi kufikia kuonwa na vilabu vikubwa , na kuna wakati iliambulia mgawo kwenye mauzo ya Mbwana , sina kumbukumbu...
Liverpool baada ya kulikosa kombe kwa sababu za miujiza msimu wa 2013/2014, kisha kulikosa tena mwaka jana hata baada ya kuongoza ligi muda mrefu. Mwaka huu gundu jingine tena limetokea..!
Gundu...
Mwanahabari mkongwe na mjumbe wa usimamizi na uwendeshwaji wa ligi bwana Baruani Muhuza ameamua kujiuzulu siku ya leo baada ya kutoridhishwa na baadhi ya mambo yanayoendea ndani ya bodi hiyo.
Simba ya msimu uliyopita ndo ilikuwa yenye ubora na sio hii ya sasa.Kuna mambo yaliyochangia Simba hii isiwe na ubora
USAJILI
Baada ya Simba kufanikiwa kuingia robo fainal kwenye CAF...
YANGA, MWEZI 1 MECHI 9
**RATIBA YA YANGA FEBRUARY**
1) 02/02/2020 Yanga SC vs Mtibwa Sugar-National Stadium 1600hrs;
2) 05/02/2020 Yanga SC vs Lipuli FC- National Stadium 1600 hrs;
3)...
Posted at 19:2719:27
GOAL - Bournemouth 2-1 Aston Villa
Mbwana Samatta (70 mins)
GAME ON!
It is that man Mbwana Samatta on his Premier League debut.
A real poacher's instinct from the Tanzania...
Team kali ya simba inadaiwa kuwahonga wachezaji Ally ally na Raphael daudi Noah za milioni 10 kila mmoja ili wakatae kwenda kwa mkopo katika team wasizozitaka walizokuwa wanalazimishwa na team...
*Manchester United inajiandaa kumuuza Pogba!?*
Kwa akili ya kawaida unaweza ukaonekana mwehu unaposema Manchester United imeanza kujiandaa kuishi bila kiungo wake ghali muite Poul Pogba.
Ni...
Sasa ndiyo tumeona busara ya Mo kumteua Makonda kuwa Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba.
Najua wana Simba wenzake wakifadhaika sana na uteuzi huo.
Hili la kupigwa marufuku kwenda Marekani kwa sababu ya...
Nimetazama kwa umakini mkubwa na kwa utulivu gori la Kagere,nimejiridhisha kuwa Kagere alikuwa onside.
Tazama wakati Shibob anapiga kichwa huku beki alikuwa amemkaba Kagere akimchomoka...
Nchimbi taratibu kaanza kupotea pale Yanga. Alipokua Njombe mji Nchimbi alikua akiibeba timu mabegani mwake. Azam wakamtamani wakamsajili. Hakuna alichokifanya pale Azam complex hadi wakaamua...
Mkataba wako MO Dewji na klabu ya Simba haukuhusisha kutuletea kwenye timu watu upendao/wanaokushinikiza ili wawe sehemu ya timu.
Huwezi kumleta Paulo Makonda ndani ya timu yetu hata kidogo...
Je makosa ya waamuzi huwa yanatokea kwenye match za Simba tu?
Tumeona makosa ya waaamuzi yakitokea kwenye match za Simba na malalamiko huwa ni Simba wamewalipa marefa...
Je malalamiko kwenye...
Naishangaa sana hii TFF, Yanga ndio timu yenye viporo vingi kwenye ligi kwasasa lakini cha kushangaza timu ambazo hazina viporo kama Simaba anacheza leo na Namungo then Jumamosi anacheza tena...
RC Paul Makonda: "Kuna jambo nimelibaini nilipokwenda Misri, ipo ofisi moja iliyochangisha fedha kwa ajili ya Taifa Stars lakini wakazitumia kwa matumizi yao na wengine kutumia kwa shughuli za...
Niliwahi kusema hapa hapa kuwa kwa Tanzania ya sasa hakuna na sijaona Kiungo bora wa nyuma kama Mdogo wangu mwenye wa Kinondoni Biafra na Muslim Jonas Gerald Mkude ambaye Mimi hupenda Kumuita na...