Samatta uwanjani, kesho nitashare live stream kwaajili ya wale wanaotaka kistream ili kuchek ball. Tujuane mapema.
Kizuri share na mtanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
EDIBILY JONAS LUNYAMILA RASHFORD ALIEZALIWA SHINYANGA
Rashfoooord ........he scored his dream goal he was looking for and maybe he will never ever forget .......ilikuwa ni saut ya mtangazaji wa...
Kwa nini Yanga hawalalamiki sasa hivi kama wanaona ratiba imepangwa na wao hawamo?
Kwa nini wanasubiri bodi yenyewe ishituke ndio waanze kuja na hisia eti watapangiwa mechi za karibu karibu...
Simba hasa Mo na Manara wawe makini takukuru wapo kazini maswala ya kuonga waamuzi muache tuna mchongo wote wa kuhonga mechi. Acheni iyo tabia chezeni mpira uonekane. takukuru itawashughulikia...
Akizungumza na Moja ya Wahariri wazuri wa soka, Muhariri huyu ametanabaisha kuwa.
Yanga wameamua kupambana na Simba nje ya uwanja kuliko uwanjani. Na wameamua hawataki tena kuzungumzia ubora wa...
"Kiukweli mimi na vijana wangu tulipitiwa
(kuwasahau) kuwapangia Yanga SC mchezo toka
wacheze mchezo wa FA dhidi ya Prisons, Yanga
nao walipaswa kutukumbusha kupangiwa
mechi"
Steven Mguto...
Huyu kaingia kwenye 18 zetu na bahati mbaya wanaomtumia wameshaanza kumkana na wanalaumu TFF eti wamekuwa wakali sana kwenye suala hili.
Dogo anasema line alishavunja baada ya kushauriwa na watu...
Hello Hello...!
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea kutimua vumbi leo Jumatano ya January 29, 2020 ambapo Mabingwa wa Nchi Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, vinara wa VPL wakiwa na alama 41 kwa...
Kocha wa Namungo wakati anafanya press baada ya kumaliza game yao dhidi ya Simba wameeleza kwanini walikaa nje ya dress room kipindi wameenda kupumzika baada ya first half.
kocha wa Namungo...
Samatta: Huyu ndie anaefaa kuwa rafiki yako Aston Villa.
Kwanza natoa pongezi nyingi kwake Mbwana Samatta jana tumeona akicheza mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi ya Tim yake mpya ya Aston...
Dogo hajahongwa na mtu..Mwalimu Nyerere wakati Tanzania na Malawi tunagombea mpaka wa ziwa nyasa..na Kamuzu Hastings Banda akiwa na uungwaji mkono mkubwa wa mabeberu (Afrika ya Kusini, Ureno...
Wahamasishaji wetu hawa kupitia michezo ifikie pahala serikali iwape heshima ya kuwatambua na kuwasaidia katika njia moja au nyingine kwani wayafanyayo mbali ya kuonekana ni comedy lakini wamekua...
Hata mimi nimetokea kumkubali mbali ya kuwa naishabikia Yanga,lakini nimewaza tu hizi sifa na covearage kubwa anazopata na ugeni wake asije akavimba kichwa akashindwa ku deliver hasa kile...
Hakika bila mashabiki, mchezo wa mpira wa miguu si kitu!
Timu ya Valencia imeweka sanamu katika kiti cha shabiki wake (sasa ni marehemu) ambaye alihudhuria uwanjani hapo kutazama kila mchezo hata...
Kwenye pita pita zangu leo mitandaoni nilifanikiwa kuingia kwenye page ya Sky Sport ya Instagram, Source ya michezo ambayo naiamini kuliko zote. Achana na hao wakina Shafii Dauda, maana kwenye...
Jana ilikuwa ni siku ya kipekee sana kwa watanzania. Jana, mamilioni ya watanzania kwa namna mbalimbali macho yao yalikuwa katika jiji la Birmingham. Macho yao yalikuwa huko kwasababu moja tu...
Ukiistaajabu ya uwanja wa CCM Sokoine Mbeya utayaona ya CCM Kirumba.
Nimeskia tangazo redioni kuwa Harmonize atakua na Show ya bure Kirumba tarehe 7 February km sjakosea chini ya udhamini wa...
Leo nd'o leo.
Macho ya watanzania wengi wapenda michezo yataelekezwa katika jiji la Birmingham. Katika uwanja wa Villa Park unaomilikiwa na klabu ya Aston villa kutakuwa na mtanange wa nusu...
Mbwana Alli Samatta ‘Captain Diego’ leo anaanza kukiwasha ardhi ya Malkia.
Wakenya mnanuna sana poleni. Wanyama kazeeka. Mariga sijui yuko wapi?
Wakenya ndo mjue kama ni mvua basi hii rasha...