Natumia kisimbusi cha startimes na hivi karibuni waliahidi kuonyesha mashindano ya emirates kwa kuanzia kifurushi cha 21,000/=
Ajabu ni kuwa mi sioni chochote, kila nikitembelea channel zao za...
Mashabiki wengi wa soka walishangazwa na uwezo mdogo uliooneshwa na klabu ya soka ya Simba na kujikuta wakitolewa mapema katika michuano ya kombe la Kagame huku ikidhalilishwa na klabu ya Azam FC...
Kobe Bryant's glittering 20-year NBA career ends with season-high 60 points as Los Angeles Lakers legend leads win over Utah Jazz
Los Angeles Lakers icon Kobe Bryant's final NBA match came...
Nimejaribu kuangalia hii clip alipokutana na wachezaji Samatta na Ulimwengu nadhani ni Airport nimegundua JK alikuwa kiongozi mtia matumaini na sio mtishaji watu.
Hakuwa mtu wa kujimwambafai...
Ukweli mchungu. Ila mwenye macho haambiwi tazama. Mikoani. Dar kila maali ni simba brother.
kama nimfuatiliaji mzuri wa mechi utagundua simba ndio tim yenye washabiki wengi bara na visiwani...
Nikirudi kwenye match yenyewe.
Tumepata kocha kwa hizi match tatu kwa upande wang a xxu nimeridhika naye ingawa match mbili tulipoteza. Na tulipoteza kwa mistake za kitoto za wachezaji, team kama...
Kutokana na matokeo ya kutoridhisha naushauri Uongozi wa Yanga uhamishie mechi zake za nyumbani Kwenye Uwanja wao wa Kaunda Sports Arena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakereketwa wa chama jipya ama timu ya taifa ya Aston Villa wameamua kufungua tawi jipya ya mpira huko BUZA KWA LULENGE.
Lengo likiwa ni kusapoti chama. Aidha, wanachama wa tawi hilo wameomba...
Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.
Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio...
Nimesikia wazungu wamekutafuta uwape details kuhusu Mbwana Samatta. Na wewe ukaahidi utawaambia kuwa tunao wachezaji aina ya Samatta wengi.
Sina tatizo kabisa na details za Samatta. Sina shida na...
Nimekaa na kutafakari sana juu la hili jambo, Shaffi Dauda ameweza kufanya vitu vingi Sana kwenye mchezo wa soka hapa nchini,
Nakumbuka mwaka 2014 aliweza kubuni soka la ufukweni wakishirikiana...
Kwa mujibu wa takwimu ambazo zimetolewa na mtandao wa Result Sports ambao unajihusisha na utoaji takwimu za wanamichezo, klabu, ligi na mashirikisho, umeitaja klabu ya Simba SC kuwa ya 151 duniani...
LIONEL MESSI KATIKATI YA FURAHA KUBWA NI MAJONZI MAKUBWA MWISHONI
.
Usiku mmoja wa 1987 kitongoji cha Rosario Centro nchini Argentina alizaliwa Lionel Andres Messi Cucittini 'La Purga' binadamu...
Mashabiki wa soka hatarini kupata msongo wa mawazo
.
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa Oxford umebaini kuwa mashabiki kindakindaki wa mpira wa miguu hupata msongo wa mawazo wanapokuwa wakitazama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.