Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Uzi huu ni wakueleweshana sheria za mpira wa miguu pamoja nakutoa update za mabadiliko pamoja na sheria mpya. Naomba kwa mwenye ufahamu kwa nini match ya jana Chelsea vs Arsenal kwa nini refree...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mshambuliaji na Nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta hali imeanza kuwa tete katika klabu yake ya KRC Genk. Hii ni kufuatia kupigwa benchi mara mbili mfululizo katika mechi za ligi. Mechi ya kwanza...
3 Reactions
52 Replies
8K Views
Naomba kuuliza ni kwa nini goal la pili pa Salah limekubaliwa? wakati kuna VAR. Maana wakati United wanashambulia Mata alikuwa offside na linesman alishanyoosha kibendera Inakuwaje offside kick...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Kuna mpango wa Simba kutakiwa kuidai Aston Villa hela ya uhamisho wa Mbwana Samatta kutoka Genk kwenda Aston Villa kwa mujibu wa Aden Rage. Sheria za uhamisho wa wachezaji zinaruhusu Simba kudai...
0 Reactions
85 Replies
12K Views
Dar es Salaam. Ripoti kutoka nchini Ubelgiji zimeeleza kuwa klabu ya soka ya Aston Villa imepanga kutumia Pauni 8.5 milioni kumsajili mshambuliaji Mbwana Samatta kutoka klabu ya RC Genk...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
UPDATES Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ametangazwa rasmi kujiunga na timu ya Aston Villa ya Uingereza kwa mkataba wa miaka minne na nusu Hongera. Kapige kazi. £10M si...
9 Reactions
150 Replies
19K Views
Kwa kawaida huwa haichukui zaidi ya masaa 48 baada ya vipimo vya afya mchezaji kutambulishwa na klabu, fuatilieni sajili zote mtaona lakini huyu ndugu yetu Samatta tokea tuskie yupo Uk akifanya...
7 Reactions
69 Replies
7K Views
Manu inatia huruma haina tena mvuto mashabiki wake wengine wamejificha kwenye timu zingine. timu yenye thamani kuliko timu zote duniani, timu yenye mashabiki kuliko timu zote duniani inakufa nini...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Hadi kufikia leo tarehe 20 January 2020 mchezaji wa ndani wa Man United Jesse Lingard ktk mmsimu wa EPL wa 2019/20 anazidiwa goal assist na golikipa wa Liverpool Alisson Becker, baada ya mchezaji...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wadau, Mara nyingi mchezaji anaposajiliwa hupimwa afya akifuzu ndio husajiliwa ,naomba kuulza ni vitu/mambo gan hupimwa kwa mchezaji husika ? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Unafikiri hapo kesho Tanzania apangwe na timu zipi ili atoboe?!!!! NB: Kila pot inatoa timu moja kuunda kundi la timu nne. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natoa wito kwa TFF na hata club ya Yanga,kumdhibiti kocha Luc mapema iwezekanavyo. Nimemsikiliza mahojiano yake baada ya kupigwa na Azam ameonyesha dhahiri kwamba ni kiburi na mzushi kuliko...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Bondia Floyd Mayweather ametangaza pambano la marudiano na Conor McGregor kuwa litafanyika mwaka huu 2020. Kupitia instagram akaunti yake Floyd ameanika hilo kwa kuweka picha inayoonekana juu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL, Kuendelea kupigwa tena leo January 19, 2020 ambapo Alliance FC, wakiwa nyumbani wanawakabili Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali...
7 Reactions
138 Replies
12K Views
Huyu mchezaji anayecheza juventus ni wazi wakati wa kutundika daluga umefika ila bado anataka kubishana na mwili wake Akili inataka mwili hautaki, Siku hizi uwanjani amegeuka mdhururaji...
9 Reactions
66 Replies
7K Views
Wakuu Habari zenu? Wamenishangaza hawa mashabiki wa Manchester United,Yaani leo kabla ya mechi yao na Liverpool walikuwa wanamini watashinda hiyo mechi,nikawa najiuliza hawa kunanguvu tofauti...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, nasikia klabu ya Simba inafukuzia asilimia ishirini toka kwa klabu ya T. P. Mazembe kwa mchezaji wake (Mazembe) Mbwana Samata kuuzwa (?) Ubelgiji. Hivi historia ya mchezaji huyo tumeambiwa...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Baada ya Sadio Mane kuporwa goli lake na VAR, eti paja sijui kwapa lake limezidi last defense line humu jukwaani na JF na mitandao mingine imekuwa kimya kabisa. Mara ya pili hii VAR inasema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Irishman Conor McGregory anatarajiwa kupanda Octagon kupigana na Mmarekani Donald Cerrone 'Cowboy' mnamo jumapili alfajiri kwa masaa ya EA. Ni pambano linalokuja baada ya Conor kukaa nje ya ulingo...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom