Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya tetesi kwamba kasaini Yanga, leo yeye mwenyewe kathibitsha hawezi kuacha kurudi nyumbani. Sent using Jamii Forums mobile app ===== Hapa chakuangalia labda kiwango chake Kama kipo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Huyu ndie aliye leta habari zinazo onekana ni za uongo kuhusu Msuva ametupa pressure na furaha ya uongo sijui lengo lake hasa ni nini. Unaweza kuta hata Rais wa nchi naye alishngilia kuhusu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau wa soka..!! Ukiwa msimu mpya ligi kuu Tanzania Bara Vodacom Primier League (VPL)Umeanza baada ya Msimu uliopita kumalizika na Bingwa kuwa Simba Sc. .. Ikumbukwe msimu uliopita...
5 Reactions
56 Replies
9K Views
Mpk saa hii ni dakika ya 70! Kagera wako mbele Kwa bao 2. Watani zangu mpira hauna mwenyeji! Ligi kuu inaendelea kunoga! FT: Yanga Kala miguu ya bajaji Aina ya TVS Yanga 0-3 Kagera suger...
9 Reactions
120 Replies
14K Views
Mengine yanaumiza hayasemeki. Nafurahi kuona boss Mo is back na amekiri yaliotokea jana n bahati mbaya yameisha back to league. Yule ni mtu mzima ana moyo wa binadamu jamani; hana moyo wa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Patashika ya ligi kuu Tanzania Kuendelea kupigwa leo January 16, 2020 kunako Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo Mbao FC wakiwa nyumbani wanawakaribisha Mabingwa wa Nchi Simba SC. Mchezo...
7 Reactions
120 Replies
12K Views
Sikujua majirani wamejitutumua na kuwa na timu ya mpira wa vikapu (basketball), ila wakathubutu kuisogelea Kenya na kuingia kwenye kumi na nane zetu, kichapo walichokipa nadhani watasimuliana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbwana Samatta huenda akawa mchezaji wa kwanza wa Tanzania kuchezea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Timu za ligi hiyo za Brighton, Crystal Palace na Norwich wote wameonesha nia ya kumsaini...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Penye moshi kuna moto, muda sio mwingi Mh. MO atakaa pembeni maana inaonekana anatoa pesa yake kishingo upande. Kuna siku alisemega kuwa 20 bil zake zinaweza kununua bank, na sasa anasema 4bil...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Binafsi me ni mshabiki wa Simba na namna timu yangu inavyocheza ni ngumu Sana kupata matokeo mechi za mikoani tupo slow, atutumii energy kubwa kwenye game na ukiangalia na mbao wanavyocheza Leo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kazuyoshi Miura: Japanese striker, 52, signs new Yokohama FC contract Kazuyoshi Miura made his professional debut in 1986 - the year MK Dons manager Russell Martin was born Japanese striker...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kushabikia hizi timu kuna raha sana hasa mtani wako akifungwa furaha inazidi kua maradufu. Juzi Simba walikua wanalia leo wanacheka huku Yanga wakilia na si ajabu leo jioni Yanga wakacheka tena...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Yanga ikifungwa basi Refa kaibeba timu pinzani,Je na leo Kagera kabebwa na Refa? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Simba akiwa mbele kwa mchezo mmoja tu; Yanga wako nafasi ya 8 Yanga iko nyuma kwa point 10 Goal difference ya Simba ni 24 huku ile ya Yanga ikiwa ni 3. Swali la kujiuliza Yanga wanapata wapi...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Huyu kocha mzungu inawezekana asidumu kabisa maana analeta mambo ya ubishi. Wachezaji leo waliambiwa namna ya kufanya ili washinde na kamati ya Ufundi. Kocha amekataa yale masharti anasema...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sio muda kidomodomo cha kutoa sare na timu kubwa Simba Sc kitakwisha. Eeeh Mungu nisaidie ombi langu. Striker katili MK 14 akiwa na "hirizi " yake shingoni akielekea Zanzibar na wenzake leo mchana
6 Reactions
156 Replies
15K Views
Sizungumzii matokeo ya juzi kati ya Simba na mtani wetu Yanga bali hizi ni lawama za muda mrefu kwamba kocha mkuu hua anaingiliwa majukumu yake, kwanza ya kuchagua wachezaji wanaosajiliwa na pili...
6 Reactions
50 Replies
6K Views
Usiku mmoja wa 1987 kitongoji cha Rosario Centro nchini Argentina alizaliwa Lionel Andres Messi Cucittini 'La Purga' binadamu mmoja mlaini na mfupi aliyekuja duniani kutueleza mana ya soka. . Wala...
9 Reactions
16 Replies
3K Views
Sijawahi ona timu ya hovyo hivi,wataloga hata kutembea uchi,watasajili bwembwe kukutana na dro ila uwezo mdogo,aibu sana Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau tupeni updates mbona kimya...wengine bado tupo magengeni! ==== SIMANZI na hali ya sintofahamu imeanza kuingia pale Msimbazi. Ndio, Simba imepoteza taji la kwanza msimu huu...
3 Reactions
340 Replies
26K Views
Back
Top Bottom